Ilipoishia Tukaendelea kutembea huku tukiwa makini. Njiani tulikuta magari mengi yakiwa yametelekezwa, yakiwa yamejaa vumbi na yanaonyesha kwamba hayajatumika kwa muda mrefu. Ndani ya magari hayo…
Ilipoishia “Ka-kaka! Kwasasa ardhi yetu haina makazi. Namaanisha kwamba tangu mwaka mmoja uliopita, virusi visivyo fahamika vimetawala, na sasa watu wengi sana wamekuwa mazombi. Wakikung’ata, lazima…