Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: riwaya mpya
Ilipoishia sehemu ya nane ya In the name of LOVE Ghafla tu, wazo la kumpigia simu Zaylisa lilinijia, nilihitaji kujua kama alikua amefika kwa Baba yake.…
Ilipoishia sehemu ya sita ya In the name of LOVE Mara mlango uligongwa, Zaylisa aliinuka Kisha alinitazama. Sote tulijiuliza ni Nani aliyekua anaugonga mlango, Mimi nilinyanyuka…
Ilipoishia sehemu ya nne ya In the name of LOVE “Basi hakuna shida Zaylisa, mnaweza kuishi wote ikiwa jambo lako la talaka litakamilika” maneno ya Clara…
Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE Basi, niliendesha gari kwa mwendo wa kawaida sana maana mvua ilikua ikinyesha tena haikua mvua ndogo…
Ilipoishia sehemu ya pili ya In the name of LOVE “Sikumbuki chochote Clara, natamani nikumbuke ili nijuwe tunapoelekea” “Hofu ondoa, Kila kitu kinahitaji muda kukifahamu. Jipe…
“Jacob, nataka kuujua Msimamo wako kwangu. Utaniowa lini?” Aliuliza Zaylisa, Nilishusha pumzi zangu. Nikageuka huku na kule kama Kuna Mtu alikua anatusikiliza pale Mgahawani. Nilikua nimevalia…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 07 “Unajua nini wewe?” Wakati huo Damu nyingi zilikua zikimtoka Mfalme Selasi, akamwambia Anna “Unaenda kutafuta Pete ya Baba Yako, Mimi…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 06 Walipofika shangwe liliibuka kwa Wananchi waliamini kua kumwaga Damu kutawasaidia Mji wao kuendelea kua na nguvu zaidi. Miongoni mwa Walioletwa …
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 05 Lakini walijua wazi… safari ya kuelekea Patiosa haikuwa tena ya kutafuta msaada. Ilikuwa safari ya maisha au kifo. Kutupwa kwa…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 04 “Nina amini, Mji wa Patiosa una majibu ya maswali mengi. Siri nyingi zitafunguka” alisema akimtazama Anna ambaye alianza kuonesha Mashaka…




