Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
NAITWA ZAINABU ALIYU! Hii ni Hadithi ya Maisha yangu…..!! Mimi ni Mtoto wa kwanza kati ya Watoto wanne, ni Mtoto wa kike wa pekee katika Familia…
Huu ni mkeka wa leo ambapo ni siku ya maamuzi kwa wapenzi wa ubashiri! 🔥 Takwimu zimekaa mezani, form za timu zimechambuliwa, na kila dalili inaonyesha…
Ilipoishia Kwanza nilijiuliza ni Nani anayeweza kuja kwetu, kama Mama Amida tayari tulishazungumza. Nilimeza funda zito la mate Kisha nilitembea taratibu kuelekea Mlangoni bila hata kutoa…
Ilipoishia Niliitazama tena ile Pete huku chozi lilikaribia kunitoka, sikujua ni kwanini nilipaswa kuivaa ile Pete, ni Mikoba gani ambayo nilipaswa kukabidhiwa? Nilijiuliza yote huku nafsi…
Ilipoishia “Nani ananiita?” niliuliza kwa Ujasiri sana japo kwa ndani nilikua mwoga lakini sikuruhusu yule Mtu anielewe, nilimkazia macho yangu huku nikichezesha Mguu mmoja. “Bosi” “Bosi?” …
Ilipoishia “Ina maana Salehe yupo na ananifuatilia?” nilijiuliza. Nilishagundua pale hapakua salama kwangu, nikageuka ili niondoke lakini ghafla mlango ulijifunga wenyewe. Pakawa na kigiza Fulani hivi …
Ilipoishia Angalau eneo Hilo lilikua na taa, nilitembea haraka haraka Hadi nilipofika nyumbani, ila nilikua naogopa sana kuingia ndani, nikapata wazo la kumuamsha Mama Amida nimuombe…
Ilipoishia “Saida, si unaona? Yule siyo Kichaa na ukitaka kuamini jiulize kwanini alienda kituo Cha Polisi?” aliniuliza Veronica akiwa amenishika bega, mara alisimama yule Kichaa Kisha…
Huu ni mkeka wa leo ambapo ni siku ya maamuzi kwa wapenzi wa ubashiri! 🔥 Takwimu zimekaa mezani, form za timu zimechambuliwa, na kila dalili inaonyesha…
Ilipoishia “Saida Amka ule chakula, Amka Mwanangu. Amkaaa usilaleee” Mara ghafla nikajikuta nikizinduka kutoka kwenye Yale mawazo. Nilijikuta nipo pale pale kitandani nikiwa Nimekaa, nilikumbuka ni…





