Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: riwaya mpya
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya kwanza “Baba” aliita Zahoro, Mzee Miroshi alimtazama Zahoro bila kusema chochote huku sura yake ikionesha utayari wa kumsikia. “Naogopa Mimi”…
Utangulizi “Fungua” Wadudu wa Usiku walikua wanalia, sauti kavu iliyojaa ubabe ilisikika ikisema huku ikiambatana na kishindo kizito cha Kugonga Mlango. “Mnataka nini?” Sauti iliyotoka ndani…
Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba kingine ikisema “Safi” wakimaanisha kuwa vyumba vyao vipo salama hapo ndipo …
Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya saba “Naomba niongee na Shayo haraka” Alisema Rais, mara moja Waziri Mkuu alipiga simu kwa mkuu wa kitengo cha Usalama…
Ilipoishia sehemu ya tatu “Ndio, ni Mwanangu! Miaka mingi sasa tangia Martin alipofariki kwa ajali ya gari akiwa anaelekea Mjini, tangu siku hiyo sikuwahi kuamka na…
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Kumi “Veronica najua unanisikia, usifanye jaribio la kuondoka tafadhari” Aliongea Joji akiwa anapanda atokee kwenye lile dirisha, nikasema liwalo…
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tisa Siku iliyofuata nilitakiwa kuelezea kilichoendelea baada ya kuhamishwa kwenye ile nyumba na kupelekwa nyumba nyingine, niliketi kwenye kiti…
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Nane “Mama! Mama! Umenizaa wewe mwenyewe kweli? Unyama gani huu unanifanyia Veronica wako? Ulinizaa peke yangu na huna binti …
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Saba Vishindo vya miguu vilikoma kwenye mlango wa Chumba nilichopo kisha funguo ilianza kufungua kitasa taratibu, nilifumba macho yangu…
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Nne “Lengo la kuja huku ni kumpa taarifa Mama lakini hatuwezi kuondoka bila yeye kiridhia, Veronica mpenzi tuvumilie tu …





