Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tisaย
Siku iliyofuata nilitakiwa kuelezea kilichoendelea baada yaย kuhamishwa kwenye ile nyumba na kupelekwa nyumba nyingine,ย niliketi kwenye kiti nikiwa nimezungukwa na wale Mawakiliย akiwemo yule aliyeajiliwa na Mama Sofia ambaye alikuwaย akimlea Mtoto wangu kwa sasa.ย
“Hujazungumzia Maisha ya Jonas akiwa kwenye mahusiano na Mamaย yako?”ย
“Vipi kuhusu Anko wako! Alikufa au alikimbia?”ย
“Je, uliwezaje kutoka?” Endelea
SEHEMU YA KUMI
Yalikuwa ni maswali machache yaliyoelekezwa kwangu na waleย Mawakili, nilivuta pumzi kisha niliendelea kuwasimulia jinsiย ilivyokuwa.
Nyumba ile ilikuwa nje ya Mji pia, ilikuwaย tulivu na kulikuwa na mlinzi, Anko Sanga alikuwa haishi paleย tofauti na ilivyokuwa mara ya kwanza nilikuwa nikiishi naeย kule kwenye nyumba nyingine, alikuwa akija kutimiza haja zakeย za kimapenzi kama kawaida kwani ndio ulikuwa msingi wao waย kuendelea kuwa Matajiri.ย
Upande wa Jonas alikuwa akiishi na Mama, naye alikuwaย akitumika lakini utofauti wa yeye na mimi ni kuwa yeyeย alikuwa kama Msukule tu alifanya vitu kwa dawa alizowekewa naย Mama na sio kwa moyo wake, mimi nilikuwa nikifanya kwaย lazima.ย
Mlinzi wa pale Nyumbani alikuwa akizunguka huku na kule,ย nyumba hii haikuwa ya ghorofa bali ilikuwa ya kawaida tuย lakini ilitegemea pia nitoke kwa kutumia mlango, siku mojaย nilimuita yule Mlinzi, hata yeye hakujua ni kwanini nilikuwaย sitakiwi kutoka ndani, alipokuja tulianza kuongeaย
“Bosi amesema sipaswi kuongea na wewe, natakiwa nihakikisheย hautoki” Alisemaย
“Sasa haujamuuliza kwanini?”ย
“Sijamuuliza”ย
“Unamzuia Mtu na hujui kwanini?”ย
“Natakiwa kuifanya kazi iliyonileta hapa”ย
“Sikia, Mimi ni Mke wake ndio maana hataki sababu amegunduaย nina mwanaume mwingine” Nilianza kumuongopea ili kutengenezaย ukaribu maana nilijua nikimwambia ukweli ataanza kuniogopa.ย
“Oohoo! Wanawake bwana. Sasa unamsaliti Mtu ana hela namnaย hii?”ย
“Unafikiria pesa ndio kila kitu? hapana Mapenzi yana umuhimuย Mkubwa kuliko hata hiyo pesa unayoiongelea”ย
“Ha!ha! usinichekeshe mie, ina maana wewe Mke wa tajiriย unaweza ukatoka kimpenzi na mimi mlinzi eti kisa Mapenzi?”ย aliongea akiwa anajipigia debe, sasa nilifanikiwa kuujuaย udhahifu wake ulipo
“Anhaa! kumbe kupitia huyu ninaweza kikatoka hapa nikiwa haiย kabisa” Nilijisema nikiwa nimeangusha tabasamu, tulikuwaย tukizungumza kupitia dirisha.ย
“Sasa kisichowezekana ni nini? Mnajidanganya wanaume kwaย kuamini pesa ndio inafanya wanawake wakupendeni, au labdaย uzuri wa sura ndio humvutia Mwanaume, si unaona kama mimiย napenda mapenzi ya kweli tuu na sio pesa” Yule Mlinziย alicheka cheka kama Zuzu vile, kwenye mpira wanasema kosaย moja unaadhibiwa kwa kufungwa goli moja, sasa kosa mojaย alilolifanya Anko Sanga ni kuweka yule mlinzi pasipoย kumuelekeza mazingira yalivyo.ย
“Unaitwa nani?” nilimuulizaย
“Joji”ย
“Nashukuru kukufahamu Joji” nilisema kisha nilihakikishaย namvuta kwangu ili anisaidie baada ya maongezi aliondoka naย kurudi getini, haikuchelewa sana alikuja Mtu wa pikipikiย akampatia mzigo Joji, Mzigo ulikuwa wangu.ย
nilipoufungua nilikuta picha za Mtoto wangu Moyo,ย nilifarijika sana kwani nilimuomba Anko Sanga anisaidie hiloย jambo ili niweze kumuona binti yangu japo kwa picha tuu.ย Nilimuita Joji na kumuonyesha zile picha kwa kutumia dirishaย
“Hivi Joji si unifungulie tuongee vizuri?”ย
“Sina funguo za hapo Dada ningekufungulia angalau uote jua”ย
“Anhaa usijali” Nilianza kugundua baadhi ya vitu, na ndichoย nilichokuwa nakihitaji.ย
Kilikuwa kipindi cha masika na mvua zilianza kunyesha, Jojiย akakimbilia kwenye kibanda chake, nikasema nitahakikishaย ananisaidia ili nitoke pale. Nilivua nguo zangu na tayariย giza lilikuwa limeingia, nilimuona akiwa anapika kwenyeย kibanda chake ambacho kilikuwa karibu na geti, nilichukuaย sturi nikasimama nikiwa Uchi wa mnyama nikiwa nimewasha taa.ย
Nilikuwa karibu na dirisha, nilifungua pazia zote ili tuย kumuonyesha Joji mwili wangu. Sikuuona uthamani wa mwiliย wangu ikiwa Anko Sanga alikuwa akiutumia atakavyo. Nilikuwaย nikijishikashika mwilini kama vile mnenguaji wa bendi fulaniย kwenye kumbi za starehe.ย
Nilifanya hivyo kwa dakika kadhaa kisha nilishuka na kuzimaย taa, nilipochungulia dirishani nilimuona Joji akikimbiaย kukatiza mvua kurudi kwenye kibanda chake!
“Mtego wa Mwanaume ni ngono” Nilisema nikiwa ninavalia nguoย zangu, kwa ishara ile niliona ni kweli nilifanikiwa kumfanyaย Joji kama toi la kuchezea Watoto, sikuwa na nguvu ya kusemaย nipambane nae ili nitoke bali niliutumia udhaifu kutafutaย njia ya kutoka pale ndani.ย
Asubuhi mapema Joji aligonga dirisha langu, niliposikia sautiย yake nilienda dirishani.ย
“Umeamkaje Dada Vero?”ย
“Salama sijui wewe kipenzi” Nilivyomuita kipenzi ndio akawaย anacheka chekaย
“Nimeamka poa nikasema nije kukujulia hali yako” “Anhaa! sasa Joji ninashida ya simu”ย
“Mbona mimi sina simu? boss amesema sitakiwi kuwa na simu”ย
“anhaa kumbe! huwagi na hamu ya kwenda kutafuta mabinti hukoย nje au unaogopa kumsaliti Mkeo”ย
“Ha!ha!ha! sina Mke mimi, hata hivyo kutoka hapa hadi kwendaย kwenye makazi ya Watu ni zaidi ya Kilomita 90”ย
“Unasemaje? kwani hapa ni wapi?” nilikumbuka hata nilipoletwaย pale nilikuwa nimefungwa kitambaa usoni ili nisijue naendaย wapiย
“Msituni karibu na mpaka wa Kenya” Kauli ya Joji ilinivunjaย Moyo kabisa niliona ugumu ulio mbeleniย
“Mbona umeshtuka hivyo kwani hakukwambia?”ย
“Tuachane na hilo Joji, nataka nikaoge alafu nitakushtuaย baadae” Joji aliondoka nami nilienda kuoga kisha nilipikaย chakula, kilipokuwa tayari nilimpa Jojiย
“Ahsante sana, Boss ameniambia nisichukue kitu kutoka kwakoย wala mimi kukupa chochote”ย
“Anhaa! sasa Joji, nimekaa huku kwa takribani wiki sasaย natamani sana kuwa na mtu karibu nimevumilia nimeshindwa”ย Nilianza kumtega makusudi kabla hajanijibu tulisikia honi yaย gari, haraka Joji alikimbilia geti.ย
Alimfungulia geti Anko Sanga, hapana shaka alikuwa anatakaย penzi maana ndicho ambacho huwa kinamleta, lakini alikuwa naย mizigo ya chakula. Joji alimsaidia kuingiza ndani, ikawa ndioย mara ya kwanza kwa Joji kuingia ndani.ย
Nilimuonesha sura ya kikauzu ili asilete mazoea mbele ya Ankoย Sanga, aliketi akaniambia kuwa Jonas ana hali mbayaย amepelekwa hospitaliย
“Anaumwa nini?”ย
“Amepata ajali ya gari”ย
“Nilijua mnanitaka mimi tu, kumbe hata Jonas pia?”ย
“Nitolee upuuzi wako hapa, nimeamua tu kukupa taarifaย vinginevyo usingejua chochote, heshimu hilo”ย
“Tafadhari naomba nimuone japo mara moja tu, najua haweziย kupona hadi unakuja kuniambia hapa, ikishindikaana mimiย kumuona basi hata binti yake amuone Baba yake japo kidogo,ย amjue kama ndio Baba yake” Tulikuwa tukiongea chumbani wakatiย huo Joji akiwa ameondoka.ย
Hakunijibu sababu hakupenda sana kujibu masuala mengiย niliyomuuliza hasa yaliyohusu familia yangu. Badala yakeย nilimuona akivua nguo zake na kupaka dude lake mafuta,ย alilichezea hadi likasimama na jinsi lilivyo refu, alinifuataย na kunilaza chali kisha aliniondoa chupi, Nilishazoea hayaย maisha lakini kipaumbele changu kilikuwa ni kutoroka sikuย moja.ย
Aliniingiza dude lake hadi lilipozama lote akawa ananifanya,ย nikaanza kupiga kelele za mahaba ili tu Joji asikie kuwaย nikilikuwa nikiliwa, lengo langu ni kumhamasisha ili nioneย atatumia akili gani ya kiume kuingia ndani wakati ambao Ankoย sanga atakuwa ameondoka.ย
Alinifanya kwa dakika 15 tu kisha alivalia suruali yake naย kuwasha gari, akaondoka zake. Nikaenda dirishani kumuangaliaย Joji akiwa anafunga geti, akaja hadi dirishani kuniita maanaย alishaanza kupenda kupiga stori na mimi.ย
“Mbona unatabasamu hivyo jamni Joji”ย
“Hapana nimefurahishwa tuu”ย
“umefurahi na nini?”ย
“Kukuona tu Dada Vero”ย
“Njoo Basi ndani Joji ukate kiu yako
“Kiu? yanini”ย
“Kuniona alafu nikupe kitu kitamu zaidi”ย
“Sasa nitaweza vipi kuingia ndani jamani wakati mlangoย umefungwa na geti la nje pia?”ย
“We mwanaume Bwana unashindwa hata kutumia mawazo machacheย uliyonayo, sio kila kizuri huliwa kwa sheria vingine huliwaย kwa kuvunja sheria” Niliongea kwa kurembua sana, nililazimikaย kufanya hivi sio kwa Mapenzi yangu bali nipate kutoka mleย ndani.ย
Nilimuona Joji akiwaza jambo, nilimtazama kisha aliniambia “Ngoja nizunguke huku nyuma niangalie cha kufanya”ย
“Sawa mpenzi nakusubiria wewe tu” Kweli Joji alizunguka nyumaย ya nyumba kisha nilimsikia akiniita kutokea chooni alinitakaย nimfungulie mlango, nilikimbilia Chooni nilimuona akiwaย anapenya kwenye dirisha dogo la juu kabisa mwa ile choo,ย alikuwa akipita kwa kujilazimisha sana nilimuona jinsiย alivyokuwa akiumia hadi akafanikiwa kuingia ndani tena kwaย kuanguka, nilimsikia akilalamikaย
“Oooh! Mkonoooo”ย
“Pole jamani Kidume, pole sana” nilisema kisha tulielekeaย chumbani, akaenda pale dirishani kuchunguliaย
“Anhaa! kumbe huwa unaniona kwa staili hii Dada Vero?”ย
“Ha!ha! Usiniite Dada, niite jina langu” Niliongea hukuย nikimpiga busu, palepale nikaona jinsi dudu lakeย lilivyosisimka, alikuwa akiniangalia kwa uchu sana, nilijuaย tu alikuwa amekaa kitambo bila kufanya mapenzi.ย
Nilimvua shati kisha nilimwambia anisubiri kidogo nakuja,ย alikubali nilitoka pale chumbani, nilienda hadi kwenye begiย langu nikatoa Picha ya Mtoto wangu, nikaipeleka chooni, kishaย nilichukua vidonge vya usingizi nikaviponda na kuvitia kwenyeย juisi, nilikuwa nikivitumia vidonge hivi kwasababu nilikuwaย nakosa usingizi kabisa. Niliogopa kutia vidonge vingiย angeweza kushtuka hivyo nilimtilia kidogo tu, nilitakaย kuondoka Siku hiyo maana nilijua kama nitamwambia Jojiย ingechukua siku nyingine kutoka pale na sikuwa tayari kumpaย Uchi wangu!
“Samahani kwa kuchelewa” niliongea baada ya kuwa nimekwishaย ingia chumbani, nilimuona akiwa ameshavua nguo zoteย amejifunika taulo tu, yaani alikuwa amejiandaa kwa mchezo.ย
Nilimpa ile juisi kisha nilimwambia anywe apunguze presha,ย kwa jinsi alivyo na papara aliinywa yote kisha nilimfuata naย kuanza kumchezea, nilimchezea hadi nilipohakikisha ana anzaย kulegea, hadi alipopitiwa na usingizi.ย
Haraka nilivalia nguo zangu, nikaenda chooni nikaichukua ileย picha na kuiweka kwenye mfuko wa suruali niliyoivaa.ย Nilipoangalia pale alipopitia Joji palikuwa juu sana nikaendaย kuchukua Viti nikavibebanisha kisha nikapanda, wakatiย nahangaika pale nilijikuta nikitereza kutoka juu ya kiti hadiย nikaangukia chini kama mzigo, nikahisi maumivu ya mguu lakiniย nikasema nitajitahidi hadi nitakapo fanikiwa kuondoka zangu,ย nilifanya jaribio la kupanda tena juu ya vile viti.ย
Nilishika bomba la maji ambalo lilinisogeza hadi kwenye lileย dirisha dogo nikapitisha kichwa changu, nilijikuta natokwa naย machozi baada ya kupigwa na kaupepo, nilivuka nikajirushaย hadi nje. Kwanza nilimshukuru Mungu kwa ile hatua niliyofikiaย maana ndio ilikuwa nafasi pekee ya kutoka pale.ย
Japo nilikuwa na maumivu ya Mguu, ndipo niliposikia sauti yaย Joji ikiniita, hata kabla sijapiga hatua nilisikia honi yaย gari pale getini, ni wazi kuwa kulikuwa na gari iliyokuwaย ikitaka kuingia, nilijua tu atakuwa ni Anko Sanga maanaย alikuwa na machale sana.ย
Nilijibanza pale pale, Joji aliposikia ile honi akataka atokeย haraka akafungue geti ili ionekane hakuniona nikiwaย ninatoroka,ย
“Veronica najua unanisikia, usifanye jaribio la kuondokaย tafadhari” Aliongea Joji akiwa anapanda atokee kwenye lileย dirisha, nikasema liwalo na liwe pembeni kulikuwa na kipandeย cha mti uliokauka niliuchukua na kukaa makini nikitazama paleย ambapo angetokea, Honi ilipigwa zaidi ya mara saba hatimayeย ukimya ulitawala.ย
Joji alipotokeza kichwa chake nilimpiga na kile kipande chaย Mti, nilimpiga tena na tena akiwa hawezi hata kurudi nyuma,ย nilihakikisha nampiga hadi azimie na ndicho kilichotokeaย nilimpiga hadi nikamuaribu ile sura yake, damu zikawaย zinamtoka kama bomba la maji lililo pasuka, kwakuwa ilikuwaย ni nyuma ya nyumba hakukuwa na shida yoyote, nilimuacha akiwaย juu ananing’inia.ย
Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA KUMI NA MOJA
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย
28 Comments
Story nzuri admn sema fupi Sana leo
Leo fupi admin
Nzuri ila fupi Mwandishi
Umetisha mwandishi
7pn83j
https://shorturl.fm/XIZGD
https://shorturl.fm/oYjg5
https://shorturl.fm/XIZGD
https://shorturl.fm/j3kEj
https://shorturl.fm/bODKa
https://shorturl.fm/a0B2m
https://shorturl.fm/TbTre
https://shorturl.fm/TbTre
https://shorturl.fm/j3kEj
https://shorturl.fm/m8ueY
https://shorturl.fm/oYjg5
https://shorturl.fm/9fnIC
https://shorturl.fm/bODKa
https://shorturl.fm/N6nl1
https://shorturl.fm/YvSxU
https://shorturl.fm/N6nl1
https://shorturl.fm/0oNbA
https://shorturl.fm/f4TEQ
https://shorturl.fm/0EtO1
https://shorturl.fm/retLL
https://shorturl.fm/JtG9d
https://shorturl.fm/uyMvT
https://shorturl.fm/ypgnt