Browsing: riwaya mpya

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya nne Wakiwa wanaendelea kujibizana, walianza kusikia sauti ya Bi. Lugumi ikisema  “Kufaaaaa‼ kufaaaa‼” kila aliyeisikia sauti hii alianza kutetemeka huku…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tatu Mke alipoisoma ile karatasi aligeuza macho kumtazama Mume wake kisha kwa  mshangao akamwambia  “Mume wangu unatokwa na Damu puani”…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya pili Alipiga magoti na kujiinamia huku chozi likimtoka Zahoro, yeye na Baba yake pekee  ndiyo ambao walikua wa kwanza kutambua…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya kwanza  “Baba” aliita Zahoro, Mzee Miroshi alimtazama Zahoro bila kusema chochote huku sura  yake ikionesha utayari wa kumsikia.   “Naogopa Mimi”…

Utangulizi “Fungua” Wadudu wa Usiku walikua wanalia, sauti kavu iliyojaa ubabe ilisikika ikisema  huku ikiambatana na kishindo kizito cha Kugonga Mlango.   “Mnataka nini?” Sauti iliyotoka ndani…

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba kingine  ikisema  “Safi” wakimaanisha kuwa vyumba vyao vipo salama hapo ndipo …

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya saba  “Naomba niongee na Shayo haraka” Alisema Rais, mara moja  Waziri Mkuu alipiga simu kwa mkuu wa kitengo cha Usalama…

Ilipoishia sehemu ya tatu  “Ndio, ni Mwanangu! Miaka mingi sasa tangia Martin  alipofariki kwa ajali ya gari akiwa anaelekea Mjini, tangu  siku hiyo sikuwahi kuamka na…

Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tisa  Siku iliyofuata nilitakiwa kuelezea kilichoendelea baada ya  kuhamishwa kwenye ile nyumba na kupelekwa nyumba nyingine,  niliketi kwenye kiti…