Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Ilipoishia “Usiku Lucia aliondoka Hospitalini akiwa hoi Bin taabani, alipitia baa akaagiza pombe akanywa maana jambo lile halikuwa la kawaida hasa kwa Mawanaume ambaye alimpenda ila…
Ilipoishia “Ndani ya masaa matano Desmond alifanikiwa kufika Kijijini hapo. Alikijua vizuri kijiji hicho sababu yeye ndiye aliyemfuata Sanga akawe mfanyakazi, alivalia kofia kisha alishuka kwenye …
Ilipoishia “Desmond wewe ni Mzuri sana, Hakika Mke wako anajivunia kuwa na Mwanaume kama Wewe” Alisema Lucia kisha Desmond alitabasamu kidogo alafu hakusema chochote kile hadi…
Usiku mmoja, Mwanaume mmoja alikuwa akitoka Hospitalini, alionekana kwenda hapo kwa ajili ya kumuona Mtu mmoja aliyemfahamu sana tena alikuwa Mtu wa karibu sana kwake. Mwanaume…
Ilipoishia “Scola nijibu alikuja Mgeni si ndiyo?” Nilimuuliza tena baada ya kuona alikuwa hanipi jibu “Lakini Dada..” alisema Scola, nikahisi kuna jambo “Sitaki cha lakini nataka…
Ilipoishia “Kwanza pole sana Jacklin, Dunia yako imekugeuka lakini ndivyo ilivyo sababu siyo Watu wote wanakuwa na simulizi tamu za Maisha yao, yako chungu sana. Osman…
Ilipoishia “Lakini Mosses mbona hukuniambia kama unafungua Biashara? Unafikiria ndani ya huo mwezi Mimi na Mama tutakuwa tunaishi wapi?” Nilimuuliza Mosses “Sasa Jacklin unafikiria pesa inahifadhiwa…
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa orodha ya wateule kwa vipengele vya wanaume kwa ajili ya #CAFAwards24, huku shauku ikizidi kwa hafla ya Tuzo iliyopangwa…
Ilipoishia “Umenisaliti eeh?” Aliuliza Mosses kama kawaida yake alikuwa na tabia ya wivu sana “Siwezi kukusaliti Mosses, unanijuwa vizuri. Sina ujanja kwako” nilisema lakini bila kumaanisha…
Ilipoishia “Lakini sikushauri kabisa kwenda huko Mzee Kwasasa yupo Macho angalau anajisikia vizuri mgesubiria kidogo basi” alisema Dokta Simon “Mimi ni Baba yake Osman, najuwa nini…