Ilipoishia sehemu ya nane ya In the name of LOVE
Ghafla tu, wazo la kumpigia simu Zaylisa lilinijia, nilihitaji kujua kamaย alikua amefika kwa Baba yake. Nilipopiga niliambiwa simu ya Zaylisa ilikuaย haipatikani, nilipatwa na hasira sanaย
Niliketi nikitafakari zaidi, hamu ya kuendelea kua ndani iliniisha. Nilionaย ni Bora niende mgahawani ambako nilikua nikifanya kazi, japo nilikuaย nimefukuzwa lakini niliamini huko ningepata mwanga zaidi wa Maishaย yanguย ย
Niliondoka, nikaita Taxi. Safari ya kuelekea mgahawani ilianza. Nafsi yanguย ilikua kwenye Giza nene, hapakua na mwanga mithiri ya Handaki. Endelea
SEHEMU YA TISA
Nilimkumbuka rafiki yangu Sudi, Nilitamani sana kuonana naye maanaย tokea nilipofukuzwa kazi wiki chache zilizopita sikuonana naye tena,ย nilikua na uhakika kua alishiriki mazishi ya Mdogo wangu Melisa. Nilitakaย kujua mengi sana kutoka kwake, basi Taxi ilitembea taratibu Hadi ilipofikaย Mgahawani.ย
Nilimlipa pesa dereva Kisha aliondoka zake, aliniacha nikiwa nimesimamaย mbele ya Mgahawa. Nilikua nimevalia suruali ya kaki yenye mifukoย mikubwa, ilikua fupi, chini nilivalia sendozi nyeusi huku juu nikiwa naย tisheti nyeupeย
Nilitabasamu kidogo maana Mgahawa huo ulikua na kumbukumbu yaย safari ndefu ya Maisha yangu. Ilinijia kumbukumbu ya Siku ambayoย nilizungumza na Zaylisa Kuhusu kumuowa. Nilikumbuka siku hiyo Ndiyoย siku ambayo Mama yangu alifariki kwa kujinyonga, lile tabasamu liligeukaย kua huzuni nyepesi, chozi kidogo lilinilenga lakini sikuruhusu lidondokeย
Macho yangu yalikua yakichemka ukali wa fukuto la chozi huku kope zanguย zikicheza haraka haraka, nilivuta hewa nzito ili kufungua zaidi pua zangu.ย
Muda huo jua lilikua likianza kua Kali kidogo, nilitoa kitambaa na kufutaย jasho pamoja na matone madogo ya machozi yaliyoganda kwenye kopeย zangu.ย
Halafu niliutazama zaidi Mgahawa, wakati huo Meneja alikua akikatizaย kwenye kiunga, aliniona nikiwa nimesimama. Taratibu alisogea Hadiย karibu na Mimi, nilipomwona nilitabasamu
Lakini yeye alitoa tabasamu la Mshangao kama vile alikua akijiulizaย maswali mengi yasiyo na Majibu.ย ย
โOoh Jacobโ aliita kwa sauti ya Wasiwasi kidogo. Kisha alisogea zaidi โNi Mimi hapa Meneja wanguโ nilisema, nilizidi kumfanya anishangae.ย
โKaribu tuโ alinikaribisha huku akinipa ishara kua niingie Mgahawani,ย tuliongozana huku nikiangalia huku na kule lakini sikufanikiwa kumwonaย hata Mfanyakazi mmoja niliyemfahamu, Kila Mfanyakazi alikua mpyaย machoni pangu kitu ambacho kilinishangazaย
Nilihisi kutembea kwenye sakafu isiyonifahamu Mimi, niliona wakiwaย wanahudumia Wateja tofauti tofauti, hata mpangilio wa meza, pazia naย mapambo ulikua wa tofauti sana kama vile ulipitia muda mrefuย nisioukumbukaย
Nilitembea nyuma ya Meneja huku nikiwa na maswali mengi sana, machoย yangu yalikua yakishuhudia vitu vingi vilivyonipa maswali mengi.ย ย
Tulielekea Moja kwa moja kwenye ofisi ya Meneja, alinikaribisha tenaย Kisha aliketi kitini huku akinitazama kwa Udadisi sana. Nilitabasamuย kidogo huku nikiyapa nafasi macho yangu kubarizi ofisi ya Meneja, ilikua niย ofisi tofauti na ofisi niliyoifahamuย
โKaribu sana Jacobโ alinikaribisha tena, alikua ni Mtu wa kurudia maneno.ย
โNimesha karibia Meneja wangu, wiki chache tu Kila kitu kimebadilika.ย Naona una sura ngeni Kila Kona ya Mgahawa, sioni wale Watuย niliowafahamuโ nilisema, Kauli hii ilimfanya anitazame kwa jicho la tofautiย kidogo, alizidi kuonekana ni mwenye maswali mengi ya kuniuliza.ย
โAah! Kwani Jacobโฆโ alisema kwa kusitasita, nikamwahiย
โBosi usijali, najua ulinifukuza. Nimekuja hapa Nina maswali kadhaa, hataย hivyo sikupanga kuonana nawe, nilikuja kwa ajili ya Sudi. Unajua nilipataย ajali siku Moja baada ya kunifukuza hapa, angalau sasa najisikia nafuuโย nilisema, niliuwona Msongo wa maswali ambao Meneja alikua akipambanaย naoย
โJacob upo sawa?โ aliniuliza.ย
โNdiyo Meneja wangu, vipi Sudi amefika kazini Leo?โ niliuliza. โSudi?โย
โNdiyo, maana sikumwona baada ya ajali. Hata hivyo nimempoteza Mdogoย wangu Melisa sijui kama unalifahamu Hilo?โ nilimuuliza, akameza fundaย
zito la mate huku akiniangalia kwa jicho la wasiwasi. Alianza kuwa mwogaย na wala sikujua ni kwaniniย ย
Nilijitazama labda nilikua na kitu kilichoanza kumpa hofu lakini sikuona. โAah Unajua Sudiโฆ.aaahโผโ alijiuma uma, nikamuuliza tena โAu naye ulimfukuza?โย
โAaahโผ Ndiyo, aliacha kazi mwenyewe hivyo sikujua hata alielekea wapiโย alinijibu, nilishusha pumzi zanguย
โBasi sawa, nilikuja kumtazama yeye tu. Maana nimeshauriwa na Daktariย kua siruhusiwi kutumia simu hivyo nimeshindwa kufanya mawasilianoย nayeโ nilisema Kisha nilinyanyuka, naye alinyanyuka huku akinitazamaย sanaย
โJacob, upo sawa?โ aliniuliza swali lile lile, nilijua pengine alisikia kuaย nilipata ajali na labda alikua akijali kuhusu afya yangu.ย ย
โUsijali nipo sawa, Wacha nikamwangalie anapoishiโ nilisema Kishaย niliondoka pale ofisini, kitu pekee nilichotaka ni kuonana na Sudi maana niย Mtu pekee ambaye angeliweza kuniambia mambo mengi nisiyoyaelewaย katika Maisha yangu baada ya ile ajali.ย
Kutoka pale Mgahawani Hadi anapoishi Sudi palikua na Umbali kiasi,ย wastani wa dakika kama ishirini na tano kwa usafiri. Nilitumia usafiri waย Bajaji, kichwa kilianza kuniuma kwa mbali lakini niliona ni Bora niendeย kwa Sudi ili kufahamu mengi nisiyoyajua kuhusu Mimi.ย
Nilijiona ni Mtu niliye gizani, wiki chache za ajali zilibadilisha mamboย mengi sana. Sikua na tofauti na kitabu kilichopoteza baadhi ya kurasa kwaย kuungua na Moto, tumaini pekee lilikua ni Sudi.ย ย
Tulipofika, nilimpa hela dereva Kisha pole pole nilitembea kutokaย Barabarani kuelekea mtaani, ndani huko ambako hata Bajaji lisingeliwezaย kupita kirahisi. Mitaa ile haikua mipya kwangu, nilikua naifahamu vizuriย sana.ย ย
Basi nilitembea kwa dakika kama mbili hivi, nilihisi kiu ya Maji tena yaย Baridi, niliona Duka nikaingia nikanunua Maji Kisha nikanywa na kusongaย mbele Hadi nilipofika anapoishi Sudi. Ilikua ni nyumba ya uswahilini yenyeย geti dogo Jekundu, niligonga na kusubiria lifunguliweย
Mara nilisikia sauti ya kufunguliwa Kisha nilimwona Mwanamke mmojaย mfupi mweusi, aliyejifunga kilemba chekundu, alivalia Dera la rangi yaย kahawia
โKaribuโ alisema, sura yake ilikua ngeni machoni pangu ila sikutakaย kulijadili Hilo sababu wapangaji hasa nyumba za Mijini huama Kilaย kukicha. Nilitabasamu kidogo maana Ndiyo ilikua Haiba yangu kubwaย
โAhsante, samahani. Namuulizia Sudi, sijui nimemkuta?โ alistaajabu kwaย kuguna kidogo Kisha akaniambiaย
โMh! Kaka yangu Mimi ni mgeni tu hapa, nimehamia juzi. Simjui huyo Sudiย labda uingie kama unakifahamu chumba chakeโ alisema, basi niliingiaย nikiwa nyuma yake Hadi eneo la Uwani, maana Sudi alikua akiishi chumbaย Cha Uwani.ย
Chumba chake kilikua kimefungwa kufuli kubwa, nilishusha pumzi maanaย nilijua atakua ametoka na kwa jinsi alivyofunga basi alikua mbali naย nyumbani.ย
โChumba chake ni kile pale lakini kimefungwaโ nilimwonesha yuleย Mwanamke.ย ย
โKwani mbona nilisikia kua kile chumba kina Siriโ alisema, kidogoย nilishtuka.ย
โSiri, una maanisha nini?โย ย
โMh! Samahani , nimesikia kile chumba hakipangishwi. Huu ni mwaka waย Tano sasaโ alisema, nilijikuta nikicheka maana kwa ninavyofahamu nilikuaย nikiishi mle Mimi, Sudi na Mdogo wangu Melisa tena ni wiki kadhaa tuย zilizopita.ย
โHebu acha utani Bwana, kile chumba anaishi rafiki yangu Sudi. Labda tuย ulisikia vibayaโ nilisema lakini sura ya yule Mwanamke haikubadilika Baliย iliendelea kuonesha kua alichokisema alikimaanishaย
โKaka yangu, Mimi nimeelezwa na Mwenye nyumba maana lengo languย lilikua nipange kile chumba. Niliambiwa kua ndani ya kile chumba alifiaย Msichana tena aliuawa na huyo unayemsema sijui ni Sudi kama sikoseiย ย
Kisha akakimbia, tangu hapo hakuna aliyeishi tena hivyo mwenye nyumbaย aliamua kukifunga.โ Alisema kwa sauti ya Msistizo, nilijikuta nikiishiwaย nguvu Hadi nilipepesuka. Kizungu-zungu kiliniandama Hadi Niliketi juu ya ndooย
โKwani huyo Sudi wewe ni Nani Yako?โ aliniuliza, nilimeza funda zito laย mate. Nilihisi kuzidi kupagawa, nilichokisikia ni kama kilikua kwenyeย filamu au vitabu vya Riwaya. Ingewezekana vipi kifungwe kwa Miakaย mitano kisa Sudi alifanya Mauwaji wakati Meneja aliniambia aliacha kazi,ย kama angelikua amefanya tukio Hilo ningejua sababu Mimi ni rafiki yake.
Jasho lilikua likinitoka, nilimuuliza yule Mwanamke aliyekua mbele yangu โHuyo Msichana aliyemuuwa alikua ni Nani?โย ย
โNitajuaje Mimi, hata hivyo sikupaswa kuyasema yote haya. Hujajibu, huyoย Sudi ni Nani Yako?โย
โRafiki yangu, Ona Dada yangu. Mimi nilipata ajali wiki chache zilizopita,ย nilimwacha Mdogo wangu na Sudi, unaposema chumba hakitumiki kwaย Miaka mitano sasa nastaajabu. Ni ndoto ya aina gani hii?โ nilisema, maraย Simu ya yule Mwanamke iliita.ย
โMume wangu ananipigia, hicho ndicho nilichokisikia na wala Sina Chaย ziadaโ aliondoka akiwa anaongea na simu, aliniacha nikiwa nimekaa juu yaย ndoo, nilitamani kuamini lakini uhalisia ulinikataza.ย ย
Nilipata wazo la kurudi Mgahawani kwa meneja, niliamini sasa ni yeyeย ndiye anayeweza kufumbua Fumbo hili, nilinyanyuka taratibu kamaย Mgonjwa. Nilitembea kwa kujiburuza huku jasho likinitoka, nilikuaย nimechanganyikiwa sana. Kila kitabu nilichofungua ili nifahamu mengiย kilikua na mapungufu ya kurasa muhimu, sasa nilirudi Mgahawaniย
Nilielekea Moja kwa moja Hadi ofisini kwa Meneja, nilimkuta akiwaย anaendelea na majukimu yake. Aliponiona alinyanyuka kitini naย kunitazama kwa Mshangao, alionekana kama Mtu aliyetarajia kuaย ningerudi kwakeย
Nilikua navuja jasho, nilichoka sana. Nikaketi nikiwa kimya sana, shingoย yangu ilikua ikiangalia chini, Jasho lilidondokea kwenye Suruali yanguย
โJacobโ aliita Meneja, taratibu nilinyanyuka kichwa changu nilimtazama,ย alinitazama bila kusema chochote kile.ย
โNaishi Dunia ipi?โ nilimuuliza, aliinamia chini. Alionesha kujutia kwaย jambo Fulani ambalo hakuniambia nilipofika kwa mara ya kwanzaย kumuulizia Sudi.ย ย
โJacob, samahaniโย
โSamahani ya Nini?โ nilimuuliza, alipoanza kunyanyuka Mdomo wakeย ghafla alikatishwa na sauti ya kufunguliwa kwa Mlango, Nami nilishtuka.ย ย
Niligeuka haraka kutazama mlangoni, Zaylisa alikua mbele ya machoย yangu. Nilimtazama kwa kustaajabu sana, aliwezaje kujua nilipo?ย ย
โJacobโ aliniita kwa sauti ya taratibu, Kisha alimtazama Meneja.
โNitakueleza Kila kitu, naomba turudi nyumbaniโ alisema, nilijawa naย tumainiย ย
Kitu pekee nilichohitaji ni kujua mengi yaliyokua yakizunguka kichwaniย kwangu, Basi. Mimi na Zaylisa tuliondoka pale Ofisini kwa meneja bilaย kusikia chochote Cha umuhimu kutoka kwa Meneja, ni kama Zaylisa alikuaย amekatisha mazungumzo yetu lakini kwakua alikua ameniambia atanielezaย Kila kitu ilikua rahisi kwangu kukubali.ย
Tulitumia usafiri wa Taxi Hadi nyumbani kwa Clara, palikua kimya sanaย hakuna aliyezungumza na mwenzake. Palitulia kimya mithiri ya Usiku waย Giza nene, nilitembea taratibu huku kichwa changu kikiwa kimejaa maswaliย mengi, nyuma yangu nilikua nikizisikia hatua za Zaylisa, kiatu chake kirefuย Cha kuchongoka kilikua kinamtoka sauti ya โKO! KO!โย ย
Nilitekenya kitasa huku mkono mmoja ukiwa nyuma ya kiuno changu,ย nilielekea Kuketi kwenye sofa kama Mtu aliyepoteza tumaini, Zaylisa nayeย aliingia Kisha aliufunga mlango. Pole pole naye alisogea kando yangu Kishaย akafungua kinywa chake kwa sauti ya utulivu sanaย
โJacobโ aliniita, niligeuza shingo nikamtazama. Alikua amebana midomoย yake Kisha akanishika bega taratibu, mguso wa kunitulizaย
โPole, najua una maswali mengi lakini nitayajibuโ alisema Kishaย alinyanyuka, nilikua namtazama kama Mtu aliyekua na mengi niliyokuaย nikiyatafuta. Kisha aliekea kwenye friji, akatoa Maji ya baridi akayamiminaย kwenye glasi, akarudisha jicho kwanguย
Halafu pole pole akaja nilipokua nimekaa, naye akakaa na kuniambiaย
โTafadhali kunywa kwanza haya Maji Mpenzi wangu Kisha nitazungumzaย naweโ nilimtazama nikiwa kimya, sura yangu ilikua na uchovu mwingi.ย Akanipatia glasi, nikatumia mkono Wangu wa kushoto kupeleka glasiย kinywani Kisha nikaruhusu koo langu kupitisha Maji ya baridiย
Nilipiga funda Nne za nguvu, kweli nilijisikia utulivu. Zaylisa akaichukuaย glasi kutoka kwangu na kuiweka juu ya meza ya halafu akanitazama hukuย akitabasamu.ย
โUlijuaje kama nilikua pale?โ nilimuuliza kwa sauti ya umakini, Kishaย nilimtumbulia macho.ย
โJacob, najua una maswali mengi sana. Nitajibu Moja baada ya jingineโย alisema Zaylisa
โNataka kujua, Mimi ni Nani Zaylisa? Kwanini Kila kitu kimebadilika ndaniย ya wiki chache tu?โ nilimuuliza maswali mawili yaliyomfanya apumue kwaย kina kabla ya kuitumia sauti yake tulivu kunijibu.ย ย
โWewe ni Jacob wangu, yule yule niliyempenda na ninayempenda. Jacob,ย baada ya ajali Kuna kitu hakipo sawa kwakoโ alisema Kisha alisitaย kuendelea, nikamuulizaย
โHicho kimefanya Kila kitu kibadilike? Sudi alimuuwa Mdogo wangu naย siyo kama ulivyoniambia kua Melisa alikufa kwa mshituko?โย
โHapana, Melisa alikufa kwa Mshituko Jacob. Nilikuwepo kwenye Mazishi,ย Jacob Bado haujapona vizuri unapaswa kutuliza akili Kisha Kila kituย kitakua sawa. Kila unachokiona hakipo kama unavyofikiria, jipe mudaย Kisha ukipona utaona mambo yanaenda inavyotakiwaโ alisema Zaylisa,ย hakukata kiu ya maswali yangu. Ni kweli nilipata mtikisiko wa Ubongoย kidogo kutokana na ajali lakini Bado akili yangu ilikua sawa Kwani nilikuaย natambua lakini nilihisi Kuna Sehemu ya Maisha yangu ilikua imerukwa.ย
Chozi lilinidondoka taratibu, upande mmoja wa akili yangu uliniambia kuaย nilikua ninaishi kwenye Dunia iliyojaa siri na Giza lakini upande mwingineย uliniambia kua nilikua Pengine akili yangu ilikua inapitia changamotoย kidogoย
โLakini Zaylisa, ni kwanini Watu huniita Bosi? Mimi ni Nani hasa, kitu ganiย sikijui kuhusu Mimi?โ nilimuuliza, hakunipa jibu, alinisogeza na kunilazaย kifuani pake huku akipapasa nywele zangu taratibu.ย ย
**ย
ย SURA YA 8ย
(Mpango wa Siri)ย
Jioni ilipoingia ilinikuta nikiwa nimeketi valandani, nilikua nabarizi kidogoย huku nikipigwa na jua jepesi lililokua likielekea kuzama. Kila nilichokionaย mbele yangu kilikua kina rangi nyekundu ya jua, upepo ulikua ukivumaย taratibu sanaย
Palikua kimya, nilihitaji ukimya huo ili kunituliza akili yangu iliyokuaย ikipotea mara kwa mara. Nilikua nimekunja Nne nikiwa nimeketi kwenyeย kiti Cha nyavu kilichonipa utulivu, nilivalia singlendi nyeupe na Surualiย nyepesi
Alikuja Zaylisa, alikua ameshikilia sahani yenye matunda. Nilipomwonaย nilimwonesha tabasamu, naye alinirudishia tabasamuย ย
Zaylisa ni Mwanamke mzuri sana ambaye Kila Mwanaume alihitaji kuaย naye, tabasamu lake lilikua tiba isiyoonekana ya Moyo Wangu.ย Nilimtazama kidogo Kisha alisemaย
โUsiwaze sana kuhusu Dunia Yako Jacob. Kila kitu kitakua sawaโ alisemaย huku akivuta kiti na Kuketi.ย
โKaribu matunda Mpenziโ alisema tena, alinipatia sahani yenye matundaย pamoja na Uma. Nilichoma kipande Cha tiki Maji Kisha nilikitia Mdomoniย na kukitafuna pole poleย
โAsante My love. Uwepo wako ni tulizo tosha kwanguโ nilisema hukuย nikimalizia kutafuna, akanishika mkono akaniambiaย
โNitakua na wewe Maisha yangu yote Jacob, sitakuachilia hata kama penziย letu litapitia njia yenye Milima na mabondeโ maneno yake yalinifanyaย nitabasamu tu, Kila Mwanaume hutulizwa kwa Maneno mazuri na matamuย kama hayaย ย
โLakini Zay, Bado nahisi Kuna kurasa ya Maisha yangu imeondolewaย kwenye kitabu changuโ nilisema, Zaylisa alinisugua mkono Wangu taratibuย akaniambiaย
โNajua na ninakuelewa, unavyojihisi kwasasa hata Mimi najisikia vibayaย Jacob. Kamwe sitakua sawa Hadi pale nitakapo hakikisha upo sawaโย ย
Licha ya maneno mazuri na ya matumaini kutoka kwa Zaylisa Bado nilikuaย na wasiwasi kuhusu Mimi. Nilifikiria kuhusu ile Bahasha, sikujua ilikuaย imepotelea wapi?ย ย
Kama Matilda hakuichukua sasa Nani mwingine aichukue, kwanini ipoteeย ina nini ndani yake? Nilijiuliza yote lakini mwisho nilijiuliza kuhusu Mtuย ambaye Zaylisa alikua amempigia simu asubuhi โMZEE WA MIPANGOโย ย
โBabeโ nilishtuliwa na Zaylisa baada ya kuona nilikua nimezama mawazoni,ย nilishtuka Kisha niliigiza kama vile nilikua sawa tu. Kabla hajasema nenoย lingine mara Simu yake iliita, haraka aliangalia ni Nani alikua akimpigiaย ย
Ghafla sura yake ilipoteza uchangamfu, akaonekana kua na wasiwasi.ย
โSamahani naongea Na simuโ alisema Kisha aliondoka pale akaelekeaย ndani, sikutaka kujishughulisha sana. Niliendelea kula matundaย
Haikuchukua muda mrefu, Zaylisa alirudi akiwa na furaha.
โKulikoni mbona unafurahia sana, halafu hujanambia kuhusu Hali ya Babaย Yakoโ nilimuuliza.ย
โKumbe haikua inshu kubwa sana Mpenzi, Presha ilipanda kidogo. Ah!ย Mama yangu naye akalikuza sanaโ alisema huku naye akichukua kipandeย Cha tunda kwa kutumia mkono wake Kisha akaliweka Mdomoni.ย
โNa vipi kuhusu hiyo simu, una furaha sanaโย ย
โEeh! Mama alikua akinipa mrejesho kuhusu Hali Babaโ alisema Zaylisa.ย Niliguna tu Kisha niliendelea kula matunda.ย
Siku iliyofuata asubuhi mapema, Zaylisa aliniaga kua anaenda kumjuliaย Hali Baba yake, tukakumbushana kua ilikua ni siku ya Clara kurudi kutokaย Arusha.ย
Nini Kitaendelea? Usikose sehemu ya KUMI
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย
Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Loveย




88 Comments
https://shorturl.fm/I3jXn
vpj4ud
Daahhh hii simulizi ni funzo tosha kabisa Sema tu namuonea huruma crala na mtoto wake jamani dahh
Admin tupe vitu aseee hata sindano 2 kwa simu turashukuru sisi
Nzuri ila binadamu ni wabaya sana
Admin ushauri wangu hii simulizi inafaa kua script ya movie kabisa Fanya kitu
https://shorturl.fm/n86WM
https://shorturl.fm/vxvy1
https://shorturl.fm/3Gj9N
https://shorturl.fm/gSXb3
https://shorturl.fm/sCVne
https://shorturl.fm/VhFSs
https://shorturl.fm/5kieq
https://shorturl.fm/1T7Hb
1jh5az
nlxsey
8mpfr8
https://shorturl.fm/xYwPv
https://shorturl.fm/fk479
https://shorturl.fm/6rpqR
https://shorturl.fm/BKECl
https://shorturl.fm/zMiCD
https://shorturl.fm/iKOVH
https://shorturl.fm/ZT56P
**๏ปฟmindvault**
mindvault is a premium cognitive support formula created for adults 45+. Itโs thoughtfully designed to help maintain clear thinking
https://shorturl.fm/yOLj9
**prostadine**
prostadine is a next-generation prostate support formula designed to help maintain, restore, and enhance optimal male prostate performance.
**sugarmute**
sugarmute is a science-guided nutritional supplement created to help maintain balanced blood sugar while supporting steady energy and mental clarity.
https://shorturl.fm/TKc1B
**gl pro**
gl pro is a natural dietary supplement designed to promote balanced blood sugar levels and curb sugar cravings.
**zencortex**
zencortex contains only the natural ingredients that are effective in supporting incredible hearing naturally.
**mitolyn**
mitolyn a nature-inspired supplement crafted to elevate metabolic activity and support sustainable weight management.
**yu sleep**
yusleep is a gentle, nano-enhanced nightly blend designed to help you drift off quickly, stay asleep longer, and wake feeling clear.
**๏ปฟprodentim**
prodentim an advanced probiotic formulation designed to support exceptional oral hygiene while fortifying teeth and gums.
**synaptigen**
synaptigen is a next-generation brain support supplement that blends natural nootropics, adaptogens
**๏ปฟvittaburn**
vittaburn is a liquid dietary supplement formulated to support healthy weight reduction by increasing metabolic rate, reducing hunger, and promoting fat loss.
**๏ปฟnitric boost**
nitric boost is a dietary formula crafted to enhance vitality and promote overall well-being.
**glucore**
glucore is a nutritional supplement that is given to patients daily to assist in maintaining healthy blood sugar and metabolic rates.
**๏ปฟwildgut**
wildgutis a precision-crafted nutritional blend designed to nurture your dogโs digestive tract.
**pineal xt**
pinealxt is a revolutionary supplement that promotes proper pineal gland function and energy levels to support healthy body function.
**๏ปฟenergeia**
energeia is the first and only recipe that targets the root cause of stubborn belly fat and Deadly visceral fat.
**boostaro**
boostaro is a specially crafted dietary supplement for men who want to elevate their overall health and vitality.
**๏ปฟprostabliss**
prostabliss is a carefully developed dietary formula aimed at nurturing prostate vitality and improving urinary comfort.
**๏ปฟpotentstream**
potentstream is engineered to promote prostate well-being by counteracting the residue that can build up from hard-water minerals within the urinary tract.
**hepato burn**
hepato burn is a premium nutritional formula designed to enhance liver function, boost metabolism, and support natural fat breakdown.
**๏ปฟbreathe**
breathe is a plant-powered tincture crafted to promote lung performance and enhance your breathing quality.
**๏ปฟhepato burn**
hepato burn is a potent, plant-based formula created to promote optimal liver performance and naturally stimulate fat-burning mechanisms.
**๏ปฟcellufend**
cellufend is a natural supplement developed to support balanced blood sugar levels through a blend of botanical extracts and essential nutrients.
**prodentim**
prodentim is a forward-thinking oral wellness blend crafted to nurture and maintain a balanced mouth microbiome.
**neuro genica**
neuro genica is a dietary supplement formulated to support nerve health and ease discomfort associated with neuropathy.
**revitag**
revitag is a daily skin-support formula created to promote a healthy complexion and visibly diminish the appearance of skin tags.
**flow force max**
flow force max delivers a forward-thinking, plant-focused way to support prostate healthโwhile also helping maintain everyday energy, libido, and overall vitality.
**๏ปฟsleeplean**
sleeplean is a US-trusted, naturally focused nighttime support formula that helps your body burn fat while you rest.
**๏ปฟmemory lift**
memory lift is an innovative dietary formula designed to naturally nurture brain wellness and sharpen cognitive performance.
https://shorturl.fm/qxUlN
https://shorturl.fm/0KHsv
https://shorturl.fm/QdNUM
Excellent breakdown of the topic. Really appreciate the detail!
https://shorturl.fm/cjuTK
https://shorturl.fm/pZAHp
https://shorturl.fm/AkAhP
https://shorturl.fm/6b5bA
https://shorturl.fm/sJLt6
https://shorturl.fm/XydhT
https://shorturl.fm/unc9b
https://t.me/Top_BestCasino/137
https://shorturl.fm/WP1Y6
7lmbct
https://shorturl.fm/F1r4N
https://shorturl.fm/K9wnC
https://shorturl.fm/9n835
https://shorturl.fm/4aQaM
https://shorturl.fm/ahYca
https://shorturl.fm/uad74
https://shorturl.fm/gXifh
https://shorturl.fm/IAjby
https://shorturl.fm/zTFyG
https://shorturl.fm/747tY
https://shorturl.fm/pqCKz
https://shorturl.fm/6CU8J
https://shorturl.fm/Ru0Bf
https://shorturl.fm/dmcqn
You made some decent points there. I looked on the web for additional information about the issue and found most individuals will go along with your views on this site.
There’s definately a lot to know about this issue. I like all of the points you made.
I visited multiple web sites however the audio feature for audio songs existing at this site is in fact wonderful.
Whoah this blog is magnificent i really like studying your articles. Stay up the good work! You understand, many persons are looking around for this information, you can aid them greatly.
You can certainly see your skills within the work you write. The arena hopes for even more passionate writers like you who are not afraid to say how they believe. All the time follow your heart.
Enter your invite code to earn your airdrop on Aster https://is.gd/ZceEI6
Outstanding post it is actually. We’ve been searching for this tips.