Browsing: Stori Mpya

Ilipoishia sehemu ya tatu  “Ndio, ni Mwanangu! Miaka mingi sasa tangia Martin  alipofariki kwa ajali ya gari akiwa anaelekea Mjini, tangu  siku hiyo sikuwahi kuamka na…

Ilipoishia Sehemu Ya Pili “Kazi imeisha!” Alisema Diana kwa njia ya simu  “Waoo Good Girl ( Vizuri Msichana mzuri ) ” ilisikika sauti  nzito ya kizee …

Ilipoishia  Kupitia daraja la Kigamboni, Mzee Shayo aliendesha Subaru  kama yupo kwenye mbio za Magari, wakati huo Barabara zilikuwa  nyeupe, Watu wengi waliogopa kupoteza uhai wao,…

Mzee Shayo alikuwa ameketi katika kiti chake huku akitingisha  mguu wake ambao ulikuwa ndani ya kiatu cheusi chenye kung’aa  sana. Mbele yake kulikuwa na picha halisi…

Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tisa  Siku iliyofuata nilitakiwa kuelezea kilichoendelea baada ya  kuhamishwa kwenye ile nyumba na kupelekwa nyumba nyingine,  niliketi kwenye kiti…

Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Saba Vishindo vya miguu vilikoma kwenye mlango wa Chumba nilichopo  kisha funguo ilianza kufungua kitasa taratibu, nilifumba  macho yangu…