Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Kote duniani biashara ya mpira ndivyo ilivyo mchezaji ni kama mfanya biashara tu siku bidhaa yake ikiwa poa ndio nyakati ambayo hua anatafuta mteja ambaye ataifikia…
Ni mchezo wa Saba kwao kukutana kwenye Ligi kuu Soka Tanzania bara (Ligi kuu ya NBC) tokea timu hizo zianze kukutana, mchezo wa Leo utakuwa ni…
Klabu ya Yanga imefanikisha kutetea kikombe cha ligi kuu ya NBC msimu huu wa 2023/2024 baada ya kuibuka na ubigwa wa kombe hilo kwa mara ya…
Kama kuna mchezaji muhimu katika kikosi cha Yanga msimu huu basi ni Khalid Aucho hasa katika safu ya kiungo wa ulinzi au namba 6 mara nyingi…
Matumizi ya Nafasi yameamua Dakika 90 za Kasi na Ufundi kwa Timu zote mbili. Azam wakitumia zaidi pembeni huku Simba wakitumia Katikati na upande wa kushoto…
Tuko katika kipindi ambacho ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni huku zipo ligi ambazo mabingwa tayari wamekwishajulikana lakini zipo ligi ambazo mabingwa bado hawajajulikana na ndio kipindi…
Pamba Jiji Football Club kurejea kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya Miaka 23 ni fursa kubwa sana katika sehemu tofauti ndani ya Jiji la…
Mchezo wa 25 kwa kila timu ukiwa ni mchezo wa ambao ni muhimu kwa timu zote mmoja akihitaji kushinda kujihakikishia ubingwa wa Ligi kuu ya NBC…
Kibu Denis Prosper ndio ajenda iliyopo mezani kwa sasa na Tanzania nzima ipo mezani kujadili mada hii! Kwanza sipo hapa kuzungumza kuhusu Takwimu za Mchezaji wala…
Moja Ya mchezo wenye mvuto ndani yake kwani mchezo huo unakutanisha timu mbili tofauti zenye presha mbili tofauti kwani Simba SC anataka kumaliza nafasi Ya pili…