Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
“A Good dancer must know when to Leave a Stage.Β // ππ‘π’πππ’ππ§πππ ππ§π’ππ ππππ‘ππππ€π ππ’ππ’π ππ π€ππππ‘π ππππ π€π ππ’πππππa π½π’ππ€ππππ.. Ni Maneno ya hekima kutoka…
Wakati ambao Ibrahim Ajibu anaibuliwa na Simba SC ilikuwa ngumu kuamini kuwa anaweza kufanya makubwa na Kiwango bora, lakini jambo kubwa kwa klabu ya Simba SC…
Yeyote aliyekujua ukiwa mtoto mdogo hatakuheshimu ukiwa mkubwa.Ni methali ya kiarabu,Kwa ufupi mazoea huleta dharau,mazoea huzaa hata wivu. Wagiriki wa zamani walizungumzia mtu mwenye shamba la…
Mchezo maarufu zaidi ulimwenguni, kandanda huunganisha watu katika nchi, lugha na tamaduni. Na hakuna uhaba wa nchi zinazozalisha wachezaji na timu katika kilele cha mchezo huu.…
Ni mashariki mwa Afrika sehemu ambayo Bahari ya Hindi imepita, nchi ambayo imefunikwa na maeneo makubwa yenye mito na maziwa, ardhi yenye udongo wenye rutuba na…
Karibuni Ligi kuu ya NBC, karibuni kwenye soka la nyumbani njia yenu ilikuwa ngumu kidogo kupanda Ligi kuu, dhamira halisi ya kupambana na kupata nafasi kwenu…
Β Ni miezi kadhaa sasa imepita tokea Ligi kuu ya NBC kutamatika na kumjua bingwa mpya wa Ligi hiyo ambae niΒ klabu ya Yanga namna walivyokuwa wanacheza…
Hakuna raha kubwa sana kama kumfundisha mtu kitu na akakuelewa kwa umakini sana na kufanya kile kilichofundishwa.Umuonapo moyo wako utafurahi nawe utajitanua mwanafunzi wangu yule.Duniani kila…
Ni muda sasa takribani miaka mitatu kikosi cha Simba SC kimekuwa hakina muendelezo mzuri wa kimatokeo jambo ambalo limepelekea kushindwa kuchukua mataji makubwa nchini. Mashabiki na…
Moja ya makocha ambao watakumbukwa sana ndani ya Simba SC kwa miaka ya karibuni basi ni Patrick Aussems βUchebeβ pamoja na Sven, kumbukumbu bora ua mafanikio…












