Browsing: soma riwaya bure

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 02 Walibana pumzi zao vizuri, walianza kuisikia sauti ya Mwanamke. Sauti  iliyowauliza  “Mko wapi?” ilikua ni ile sauti ya ajabu ya…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 01  Hapakua na sauti yoyote iliyosikika, hapakua na Ndege wala wadudu waliopiga  kelele. Ghafla Zahoro alisimama, akatoa ishara kwa Anna kusimama…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya nane “Nakufahamu Zahoro, wewe ndiye jibu la Laana hii. Uliiona kabla haijaingia pia utaiona  ikiondoka, huwezi kunielewa kwasasa lakini nitakueleza…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya sita Ghafla, akajikuta ameshika kisu, mikono yake ikiwa imelowa damu. Aliangalia chini— Upendo alikuwa amelala mbele yake, kifua chake kikiwa…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tano  Waziri akajitupa kitini huku akifumba macho yake, hakujua atamweleza vipi Rais wa  Ganza, utajiri uliopotea kwenye Kijiji cha Nzena…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya pili Alipiga magoti na kujiinamia huku chozi likimtoka Zahoro, yeye na Baba yake pekee  ndiyo ambao walikua wa kwanza kutambua…

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba kingine  ikisema  “Safi” wakimaanisha kuwa vyumba vyao vipo salama hapo ndipo …

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya saba  “Naomba niongee na Shayo haraka” Alisema Rais, mara moja  Waziri Mkuu alipiga simu kwa mkuu wa kitengo cha Usalama…

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya sita “Kama lilivyo tamu penzi lako, basi nahitaji uniambie wapi  ilipo chemba ya siri iliyohifadhi pesa za Kimarekani” Alisema  Chogo…

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nne “Na siku zote Muuwaji hawezi kuishi, ndiyo maana nilikutoa  gerezani ili uje kuitafuta haki iliyoporwa na Faudhia”  Alikazia Mzee…