Stori Mpya
Kambi ya Simba SC nchini Afrika Kusini imepata mabadiliko madogo baada ya kocha msaidizi Seleman Matola kurejea Dar es Salaam…
Ligi Kuu
Africa | CAF
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo itashuka dimbani kuumana na Madagascar, katika mchezo wa Kundi L wa kuwania kufuzu…
Hadithi za Kijiweni
Yaliyojiri zaidi katika soka
Pascal Gaundence Msindo Mchezaji kijana kutoka Azam Fc anaeyetokea mji kasoro bahari kwenye milima Ya Uluguru yaani Morogoro, alizaliwa mwezi wa nane…
Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumatano kutoka Kijiweni ambapo tunaiendeleza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza…
Ni suala la ujirani mwema tu hakuna namna tuwapokee kama ilivyo desturi yetu kwa wageni. Tukiwapokea na kuwapa nafasi washiriki Ligi yetu…
Mpendwa Pacome Zouzoua, Natumai barua hii inakukuta ukiwa mzima japokua sijajua unaendeleaje na goti lililokufanya usimalize mchezo dhidi ya Azam Fc lakini…

































