Author: Hamza Ngondo

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  Angalau eneo Hilo lilikua na taa, nilitembea haraka haraka Hadi nilipofika  nyumbani, ila nilikua naogopa sana kuingia ndani, nikapata wazo la  kumuamsha Mama Amida nimuombe…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Saida, si unaona? Yule siyo Kichaa na ukitaka kuamini jiulize kwanini  alienda kituo Cha Polisi?” aliniuliza Veronica akiwa amenishika bega, mara  alisimama yule Kichaa Kisha…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  “Saida Amka ule chakula, Amka Mwanangu. Amkaaa usilaleee” Mara ghafla  nikajikuta nikizinduka kutoka kwenye Yale mawazo. Nilijikuta nipo pale  pale kitandani nikiwa Nimekaa, nilikumbuka ni…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia SEASON 1  Kwasasa nimerudishwa kwetu Dar-es-salaam, niko Magomeni. Maisha yangu yamekuwa ya  Ukimya sana, Sijazungumza tena tokea siku ile nilipozungumza kwa mara ya mwisho Rukwa, …

Ilipoishia sehemu ya Kumi na moja ya In the name of LOVE Moyo Wangu na akili yangu vilikua tayari kusikia chochote kile hata kama  kitaniumiza kiasi…

Ilipoishia sehemu ya Kumi ya In the name of LOVE Nilimvuta na kumkumbatia huku nikikisikia kilio chake kwa karibu zaidi.  Nililengwa na Mchozi lakini sikutaka utoke,…

Ilipoishia sehemu ya tisa ya In the name of LOVE “Kumbe haikua inshu kubwa sana Mpenzi, Presha ilipanda kidogo. Ah!  Mama yangu naye akalikuza sana” alisema…

Ilipoishia sehemu ya nane ya In the name of LOVE Ghafla tu, wazo la kumpigia simu Zaylisa lilinijia, nilihitaji kujua kama  alikua amefika kwa Baba yake.…

Ilipoishia sehemu ya saba ya In the name of LOVE “Nampeleka Mtoto Arusha, kesho nitarudi. Ubaki salama” alisema Kisha  aligeuka na kuondoka hapo huku Melisa akigeuka…

Ilipoishia sehemu ya sita ya In the name of LOVE Mara mlango uligongwa, Zaylisa aliinuka Kisha alinitazama. Sote tulijiuliza  ni Nani aliyekua anaugonga mlango, Mimi nilinyanyuka…