Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Waswahili tunasema Soka na Waingreza nao hivyo hivyo, tofauti ni hetufi tu. Soka au kwa lugha nyingine mpira wa miguu ni burudani ambayo ina watu wengi…
Soka ni mchezo wenye misingi yake ya kiutawala katika taifa hadi kidunia. Soka limekosa majeshi tu na mwisho kuwa kama mataifa mengine yalivyo na kuendeshwa.Katika takwimu…
Toleo la Ligi ya Mabingwa Ulaya la msimu wa 2024/25 litafuata muundo mpya. Tunakueleza mabadiliko yatakayokuwepo, mambo yatakayobaki vilevile, maana yake kwa mashabiki, na jinsi itakavyoathiri…
Nchini Uingereza Ligi kuu ya nchi hiyo imekuwa maarufu sana duniani kwa sasa na hiyo inajaziwa na namna Ligi yao ilivyo na ushindani uliyopo ndani yake,…
Hivi sasa mchezo wa mpira wa miguu ni moja ya michezo maarufu duniani na umekuwa ukiteka hisia za watu mbalimbali na wa rika zote. Soka ndiyo…
Ilipoishia “Popo walianza kuruka ruka walipokua wanazidi kwenda mbele ndani ya Pango hilo lenye ukubwa wa kutosha, walifika mahali Zandawe alisimama kisha yule sokwe akasugua kucha…
Ilipoishia “Akavua Mask yake kisha akaanza kufwatilia nyendo za Muhonzi, alimchunguza kwa siri hadi Muhonzi alipoutikisa mlango na kuufungua kwa wepesi sana kisha akatokea upande wa…
Soka la bara la Afrika limeanza kupiga hatua limeanza kukuwa sana kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja, kwa sasa vilabu vingi vilivyoonekana vya kati…
Ilipoishia ” Kwa kujiamini akasimama na kumvuta Bligedia kwa mbwembwe kisha akampa neno kwa sauti ya kuchombeza “Tuma Askari hapo sasa hivi” alisema kisha aliachia tabasamu,…
Baada ya kuwatoa Vital’O ya Burundi kwa jumla ya mabao 10:0 klabu ya Yanga itakutana na mabingwa wa msimu uliopita 2023/2024 wa Ligi kuu ya Ethiopia…