Stori Mpya
Kambi ya Simba SC nchini Afrika Kusini imepata mabadiliko madogo baada ya kocha msaidizi Seleman Matola kurejea Dar es Salaam…
Ligi Kuu
Africa | CAF
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo itashuka dimbani kuumana na Madagascar, katika mchezo wa Kundi L wa kuwania kufuzu…
Hadithi za Kijiweni
Yaliyojiri zaidi katika soka
VAR, ambayo inasimama kwa Video Assistant Referee, ilitambulishwa katika mchezo wa soka ili kusaidia waamuzi kufanya maamuzi sahihi zaidi wakati wa mechi.…
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samata, ameendelea kuandika historia mpya katika ulimwengu wa soka baada ya klabu yake ya…
Kamati huru ya Kitaaluma imeridhia kuwa mashtaka dhidi ya Mikel Arteta kwa kukiuka sheria ya FA E3.1 hayajathibitishwa. Meneja huyo alishtakiwa baada…
Kikosi cha Medeama ya Ghana kinatarajiwa kuja nchini Jumapili Desemba 17 kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa raundi ya nne wa…

































