Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Pili
Sasa wakati naendelea kumpotezea nilijikuta napeleka macho yangu nyuma ya gari yaani siti za nyuma kule, gari ilikuwa na siti nne tu, nikawa nimeliona begi lake ambalo halikufungwa vizuri, ile shuka ya damu ilikuwa kwenye begi lake na kwa vyovyote alifanya kuwa siri ndio maana nilipomuuliza hakutaka kunijibu ipasavyo.
Nilishtuka sana, lile shuka lilikuwa na damu zilizotoka kwenye bikra yangu .
SEHEMU YA TATU
“Mungu wangu. Hili shuka analipeleka wapi?” nilijiuliza, kiu ya kutaka kuonana na Mama nimueleze mchezo Mchafu wa Anko Sanga ilinijaa na vile sikutaka kabisa kumsemesha pale kwenye gari.
Nikajifanya kupotezea kuwa sijaona kitu, safari hii ilikuwa fupi maana aliendesha kwa spidi huku akiniuliza maswali ya hapa na pale, aliuliza kama nina Boyfriend, nikampotezea, aliuliza kuhusu masuala ya nchuo sikumjibu kitu.
Ugumu wa safari hii ulikuwa na maumivu ya moyo wangu, tulipofika nilianza kulia baada ya kumuona Mama aliyekuwa amesimama mlangoni baada ya kusikia mlio wa gari, nilikurupuka na kwenda kumkumbatia huku nikilia na chozi likimiminika kwenye manega yake.
Mjomba alikuwamo kwenye gari mpaka kufikia muda ule, Mama alinikumbatia pia na kuniambia
“Ndio ukubwa huo Veronica usilie” alisema, nilishtuka kisha nilijitoa kidogo na kumtazama huku chozi likiendelea kunimwagika kwenye mboni za macho yangu
“Ndio ukubwa? unamaanisha nini Mama?” nilihoji, nikachukua kitambaa kutoka kwenye mfuko wa suruali yangu na kujifuta machozi
Mama alikuwa akiniangalia tu bila kunijibu swali langu
“Mama! ina maana unajua kinachoniliza?” nilimuuliza swali lingine, akasema tuingie ndani, wakati tunaingia ndani Mjomba akawa ameshuka akafunga mlango na kuingia ndani pia.
Baada ya kuketi nilijiuliza maswali mengi kuwa Mama anajua kila kitu ina maana alikuwa akiijua hii safari ya Mlima Kilimanjaro? na kama alikuwa akijua kulikuwa na jambo gani hapa nyuma yake? wakati naendelea kutafakari niliisikia sauti ya Mama
“Veronica, hongera na pole kwa kilichotokea” alisema, aliongea nusu nusu na kunifanya nizidi kuingiwa na wasiwasi
“Mama umeshiriki kwenye unyama alionifanyia Anko Sanga?” alikaa kimya akinitazama
“Sidhani kama ni kweli umenizaa, sijui kama huyu kweli ni Kaka yako wa damu! Mama wewe wakupanga hili jambo kweli?” Nilisema kwa hasira na hisia nzito huku moyo ukizidi kuniuma
“Veronica!! Kwasasa bado mdogo huwezi kuelewa hili jambo lakini ndio uhalisia huo, nilijua hatma ya safari hii na Anko wako Sanga”
“Mama na Kaka yako ni mashetani wakubwa, wakati nikiwa na tumaini la kupata faraja kutoka kwako kumbe nawe umechangia kuniumiza?”
“Veronica….msikilize Mama yako” Anko Sanga akadakia, kama vile aliupuliza moto uliokuwa ukiwaka
“Wewe ndio mshenzi kabisa, hufai kuitwa Anko, fedhuli mkubwa wewe” nilisema na kuangusha kilio, waliponisemesha nilikimbilia chumbani kwangu na kujifungia.
Mama alirudi Sebleni baada ya kuja kunigongea mlango bila mafanikio, Anko Sanga akatoa ile shuka na kumuonyesha Mama, kisha Mama akamwambia aipeleke Kwa Mganga wao!
“Jambo hili lapaswa kuendelea kuwa siri hivyo zungumza na Mwanao vizuri” Alisema Anko Sanga akiwa anairudisha ile Shuka kwenye begi
“Hilo ni jambo langu, nenda sasa” Aliongea Mama, Anko Sanga akaondoka Mchana uleule.
Majira ya Usiku nikiwa nimejifungia mle chumbani, hasira zikiwa zinapoa taratibu maana hakukuwa tena na Mtu wa kuzipandisha, nilichukua simu na kuwasha tochi kisha nikaziangalia sehemu zangu za siri maana ile damu na maumivu sikupata nafasi ya kujiangalia vizuri.
Niliona pakiwa pamekaa vizuri tuu, hata yale maumivu yalikuwa yamepoa kabisa nikawa najisikia vizuri, japo Mama yangu alifanya kitendo cha Kinyama vile nilijikuta nikiingiwa na huruma hasa yale Maneno makali niliyoyazungumza mbele yake.
Nikawa natafakari jinsi ya kumuomba msamaha wakati huo nikiwa nasikiliza nyimbo ya Kayumba inayoitwa Mama, ikanifanya nifikirie jinsi Mama alivyonilea nikiwa mdogo kabisa, Baba alitukimbia akanilea kwa shida hakukata tamaa.
Jinsi alivyonipigania hadi nikafika chuo ilikuwa ni namna ya kipekee sana, nilijikuta nikijilaumu kwa kumtolea lugha za matusi, Punde nikasikia sauti ya Mtu akiwa analia kwa nje, nilipoitafakari nikagundua kuwa inatokea sebleni na ilikuwa ni sauti ya Mama!
“Mama analia? itakuwa nimemkosea sana Mama yangu” nilisema na moyo wangu. Nilijikuta nikizidi kuumia kwenye nafsi yangu, ikanipasa nifungue mlango na kuelekea sebleni.
Mama alikuwa akilia huku akiwa amejiinamia, alilia sana na kunifanya nikubali makosa yangu.
“Mama naomba unisamehe” Nilimwambia Mama baada ya kumsogelea “Veronica umenisemea maneno mabaya sana, nimeumia mno”
“Ndio maana naomba msamaha Mama, nimetambua makosa yangu na sina budi kuomba radhi kwa maneno yangu makali niliyoyasema mchana” Baada ya kumuomba radhi, alinisamehe na Maisha yakaendelea nikiwa nimeshatolewa usichana wangu na Ako Sanga ambae ni Kaka wa Mama yangu Mzazi.
Sikutaka tena kumuuliza kuhusu lile shuka ambalo lilikuwa na damu yangu ya Bikra, nilionelea nikae kimya kwa kuhofia kumkwaza tena Mama, sikumuona wala kumsikia tena Anko Sanga.
Baada ya mwezi mmoja likizo ilikuwa imeisha nilitakiwa kurudi chuo kuendelea na Masomo, Mama aliniita usiku wa kuamkia safari.
“Veronica nenda kasome, Nakupigania sawa?”
“Mh! Mama unanipigia kila siku hilo nalijua”
“Ni kweli lakini nitahakikisha maisha yanabadirika, namshukuru Mungu kunijalia Mtoto kama wewe” Alisema Mama, nikakumbuka alikua akinipigia simu mara nyingi nikiwa chuo akinitaka sana nijitunze, nijiepushe na masuala ya Wanaume.
“Sawa Mama siwezi kukuangusha kwenye kila jambo”
Niliondoka Alfajiri na kurudi Dar kwa ajili ya kuendelea na Masomo yangu huku kichwani nikifikiria jinsi nilivyomsaliti Jonas, Konzo alikuwa wa kwanza kunipa taarifa kuwa Jonas alianzisha mahusiano mengine na Mwanafunzi mwingine aliyeitwa Agatha.
“Siamini kama Jonas anaweza kutembea na Agatha kwa jinsi anavyokupenda lakini nimethibitisha kwa macho yangu mawili” alisema na kuniaminisha kwa kauli yake, sasa nilipofikiria kumfuata Jonas moyo ulisita kwani nami nilikuwa msaliti kwake japo nilikuwa nimebakwa na Anko Sanga.
“Naanzaje kumlaumu Jonas?” nilijiuliza nikiwa peke yangu baada ya kuachana na Konzo, ilikuwa ni siku ya pili baada ya kurejea Dar.
“Mimi mwenyewe nimemsaliti na kutolewa bikira yangu” Niliachana na wazo la kumuuliza Jonas japo hata mimi niliona amebadirika huku kisingizio kikiwa ni kutompa penzi.
“Jonas nipo tayari kukupa penzi” nilimwambia nilipokutana nae, alishangaa kwasababu sikuwahi kumwambia vile
“Uko serious?”
“Ndio, Jonas sitaki nikupoteze” nilisema tukiwa tumekaa chumbani kwetu, ilikuwa ni kawaida kwa Wanaume kuingia vyumba vya Wanawake na wanawake kuingia kwa Wanaume. Konzo na marafiki wengine walitupisha kwakuwa nilishawaambia kuwa nina hamu na Jonas
“Nafurahi kusikia hivyo Kipenzi, jinsi nilivyokuwa nakuhangaikia kila siku” alisema akiwa ananiingia maungoni, hisia zilipanda lakini wazo la kuwa Nilikuwa nimekeketwa likaja ghafla, nikaogopa kuumbuka pale.
“Jonas subiria kidogo” nilisema kwa tabu alikuwa tayari ameanza kunyonya chuchu zangu! Mhemko ulikuwa umepanda sana
“Nisubirie nini mpenzi jamani” Jonas alionekana kuzidiwa na kunihitaji sana wakati ule, alikuwa ameshavua shati lake na kulitupa chini. Maziwa yangu yakiwa yametolewa kwenye sidiria
“Subiria kwanza una Condom?” nilimuuliza kimtego ili tu kuahirisha zoezi, nilikuwa nikimpenda sana Jonas na nilihitaji aje kuwa Mume wangu siku za usoni.
“Aaah! unaona unavyoboa Veronica? ulivyonipigia nilikwambia nakuja na Condom, hatuwezi kufanya sex bila kinga” akasema huku akiendelea kuninyonya na kunifanya nipandwe na mzuka wa ajabu!
“Subiria kidogo, Jonas hapa hatuwezi kuwa huru. Kachukue Chumba Lodge tulale wote”
“Veronica bhana, nilijua tu utanizungusha zungusha”
“Siwezi kukuzungusha My love, napenda tuwe huru zaidi” “Lini twende Lodge?”
“Tutaongea kwenye simu” Nilisema, Jonas hakukaa aliondoka zake na nilijua tu nimemkwaza.
“Nimeshindwa kufanya nae”
“Veronica una shida gani kwani? si ulisema una hamu naye sana sasa kilichokufanya usikate kiu leo ni nini?” Alisema Konzo kwa kunilaumu sana, alijua tayari nimetolewa usichana wangu na Jonas
“Sio hivyo tatizo naona aibu Konzo, unajua mimi ni Bikra”
“Sasa utaona aibu hadi lini Veronica? Jonas akikosa kwako ataenda kusex na mwingine”
“Najua. Unanishauri nifanye nini?”
“Sex nae”
“Naogopa, naona aibu”
“Nina wazo, hiyo siku tumia kilevi ili kuikata aibu” “Unamaanisha Pombe?”
“Ndio, hiyo ndio njia pekee. Unatakiwa ujifunze pombe” Alinipa wazo la kutumia kilevi ili nisex na Jonas, wakati nalifikiria hilo nikapata wazo lingine.
“Utanifundisha basi Konzo maana sijawahi kuitumia” nilimueleza kwakuwa alikuwa akitumia Pombe hivyo anifundishe, Sasa wazo lililonijia ni kwamba nikishaijua vizuri hiyo pombe nimshawishi na Jonas tulewe kwanza ndipo tusex kwa kuamini Mtu akilewa anakuwa hana muda na kuangalia au kuchunguza vitu. Nikajisemea kuwa hawezi kugundua kuwa nimekeketwa
Basi, Konzo alianza kunifunisha pombe. Alinipeleka kwenye kumbi za starehe nyakati za usiku na kuanza kunifundisha taratibu, alianza na bia zenye kilevi asilimia ndogo kisha aliniingiza kwenye pombe kali kama Konyagi ili nilewe haraka.
“Sitaitumia kwa Maisha yangu yote nitaiacha baada tu ya kusex na Jonas”
“Hayo ni maamuzi yako Mwaya, ukiipenda endelea nayo maana mwenzio naipiga kama sina akili nzuri na wala haiingilii maisha yangu ya Chuo”
Nilipanga iwe hivyo yaani nikishasex na Jonas niiache, basi nilianza kuizoea nikawa napiga mpaka chupa tatu, kichwa kikawa kigumu kuelewa nikaanza kupiga Konyagi hapo ndipo nilianza kujihisi nimelewa.
Nilipoona nipo sawa kukutana na Jonas kimwili nilimtafuta maana mawasiliano yetu hayakuwa mazuri. Alinishutumu simpendi, nina mwanaume mwingine kwasababu tu sikumpa alichotaka.
“Ukinizingua leo ndio umejiharibia mwenyewe nitakaa mbali na wewe” Alisema, nilimpa uhakika kuwa siku hiyo ni lazima nimpe penzi
“Kumbe unakunywa pombe Veronica?” alishangaa nikiwa nakata maji kama kambale kwenye tope
“Ndio nakunywa!”
“Humtaki tena Yesu? ulisema huwezi kunywa kwakuwa una imani kubwa sana…nakushangaa leo” alisema huku nae akipigilia unywaji, ni kweli niliwahi kumkatalia kuwa situmii Pombe kwani yeye alikuwa akitumia.
Alishawahi kuniwekea mtego wa pombe ili nisex nae niliposhtuka niliondoka zangu!
“Jonas mimi nakunywa pombe vizuri tu, Nimetokea Arusha watu wengi kule wanatumia Pombe”
“Mh! Haya” Tuligida unywaji siku hiyo tukiwa Baa, tulikula nyama choma na chips mayai. Kama unavyojua Jonas alitokea kwenye familia bora yenye uwezo kifedha.
Tulipiga mtungi hadi nilihisi nazima, tuliondoka pale Usiku tukiwa tumelewa hadi Lodge, ile akili ya kuwa nilikuwa nimekeketwa iliondoka kabisa maana pombe niliyokunywa ilikimbilia huku Chini, Jonas nae alikuwa na Mzuka wa ajabu sana wala hakuchelewesha.
Mapenzi ya pombe yakaanza bila hata kuchojoana vizuri, tukafanya mapenzi. Japo nilikuwa nimekeketwa lakini nilisikia raha sana siku hiyo. Niliukatikia Mjegeje wa Jonas kama Mkuna nazi vile na uliniingia sawa sawa, alinisugua hadi nikaomba msamaha siku hiyo.
Tulipomaliza tulijitupa na kulala, asubuhi mapema nikawa wa kwanza kuamka. Kichwa kilikuwa kinanipiga, shuka ilikua imeloa damu kidogo! Sikuwa na maumivu popote pale, nilimuamsha Jonas
“Siamini kama tumelala pamoja Veronica?” alisema akiwa anajinyoosha, kila nilipomtazama nilihisi bado nina aibu nae, akataka anifanye cha asubuhi.
“Hapana Jonas, nimechoka sana jana umenifanya mpaka basi” “Ha!ha!ha!”
“Usicheke kweli umenifanya sana hadi damu imetoka”
“Yaani! ndio nimeamini kuwa ulikuwa bikra, nafurahi kuwa Mwanaume wako wa kwanza” alisema, nilimtazama huku nikijiambia kuwa yeye ni wapili, wakwanza alikuwa Anko Sanga ambaye sikupendelea sana kukumbuka kilichotokea kule Mlima Kilimanjaro.
Angalau moyo ulikuwa umetulia, Jonas hakufanikiwa kugundua kuwa nilikuwa nimekeketwa kwasababu tulisex tukiwa chakali ( Tumelewa Pombe )
**********
“Ungeniambia hamjafanya leo ningeshangaa sana, na kusingelikuwa na njia nyingine” Konzo alisema baada ya kumsimulia kuwa Nilifanya mapenzi na Jonas
“Kusema ukweli nimefurahi sana leo huwezi amini Konzo, nimefanya mapenzi kwa mara ya kwanza”
“Ndio ishakuwa hiyo hairudi nyuma, akitaka unampa atakavyo”
Tulicheka kwa pamoja kuashiria tulikuwa tumefurahi wote kwa kilichotokea. Nikawa nahisi raha ile ya kusex na Jonas hata nikiwa darasani nililoa kila nilipomtazama, naye alihisi hilo.
Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA NNE
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapa
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896