Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Kwako Barbara Gonzalenz, Natumai umzima wa afya kabisa na unaendelea na majukumu yako mengine kama kawaida Barbra lakini pia natumai unaendelea kuifuatili vyema klabu yako ya…
Ukimtazama ni wazi kuwa huwezi kukataa ya kuwa ni mchezaji ambaye ana umbo halisi la mshambualiaji na naweza kusema kuwa Freddy Michael ni usajili mzuri lakini…
Tujikite zaidi kwenye ukweli na tupunguze zile propaganda za soka, kwanini hatutaki kuuzungumza ukweli juu ya kufanikiwa kwa mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ baada ya kuelekeza…
Wachezaji huwa wanakuwa na sifa zao na wanatofautiana sana kwa mchezaji mmoja na mwingine na hapa ndipo namkumbuka mchezaji wa klabu ya Simba anayeitwa Saleh Karabaka…
Kwenu wachezaji wa simba, Najua mnafahamu namna ambavyo mchezo dhidi ya Jwaneng ulivyo na umuhimu mkubwa zaidi kwenu na klabu ya simba kwa ujumla bila kusahau…
Kama wewe ni mtu wa mpira ambaye mara nyingi huwa unaenda viwanjani katika baadhi ya mechi haswa zile ambazo huzikutanisha klabu za Simba na Yanga basi…
Kumekua na takwimu nyingi sana mtandaoni pamoja na maandiko kadha wa kadha haswa zikizihusisha klabu kubwa mbili hizi kubwa kuhusiana na ubora wao kimataifa na hii…
Tarehe 23 ya mwezi wa 7 mwaka 2018 majira ya saa 2 za aubuhi yaani mapema kabisa mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji Mo kupitia…
Natumai barua hii inakukuta ukiwa mzima na mwenye afya njema kabisa Feitoto. Napenda kukupongeza kwa ujasiri wako na maamuzi magumu uliyowahi kuchukua ambayo mpaka sasa naweza…
Kama Taifa tumeshajipanga kuwa na Chama au Pacome, lazima tuwe wajanja katika hili hatupaswi kuendelea kuwasifia wachezaji wa mataifa ya wenzetu wakati sisi timu yetu inakwama.…












