Browsing: riwaya za kuvutia

Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE Basi, niliendesha gari kwa mwendo wa kawaida sana maana mvua ilikua  ikinyesha tena haikua mvua ndogo…

Mvua kubwa ilikua ikinyesha, baridi Kali lilikua limekivamia Kijiji Cha Nzena.  Giza nalo tayari lilikua limeshatua, palikua Kimya. Pazia la chumbani kwa Zahoro lilifunuliwa, Mzee Miroshi…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tatu Mke alipoisoma ile karatasi aligeuza macho kumtazama Mume wake kisha kwa  mshangao akamwambia  “Mume wangu unatokwa na Damu puani”…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya pili Alipiga magoti na kujiinamia huku chozi likimtoka Zahoro, yeye na Baba yake pekee  ndiyo ambao walikua wa kwanza kutambua…

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya sita “Kama lilivyo tamu penzi lako, basi nahitaji uniambie wapi  ilipo chemba ya siri iliyohifadhi pesa za Kimarekani” Alisema  Chogo…

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nne  “Assssh” aligumia Faudhia kutokana na maumivu ya kujigonga  kwenye meza, Mohd hakutaka kusubiri alimrushia ngumi  mfululizo, ngumi ambazo zilimpekeka…

Mzee Shayo alikuwa ameketi katika kiti chake huku akitingisha  mguu wake ambao ulikuwa ndani ya kiatu cheusi chenye kung’aa  sana. Mbele yake kulikuwa na picha halisi…

Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Saba Vishindo vya miguu vilikoma kwenye mlango wa Chumba nilichopo  kisha funguo ilianza kufungua kitasa taratibu, nilifumba  macho yangu…