Browsing: riwaya za kijasusi

Ilipoishia “Inawezekanaje Zola?” “Hiyo ndio hali halisi ndio maana nimekuita hapa ili  tuzungumze, nahisia mbaya juu ya Mkuu wa Nchi lakini sitaki  kujiaminisha chochote”  “Unataka kusema…

Ilipoishia  “Fuata maelekezo yangu, kuwa makini hao Watu wana akili ya  ziada sana wakati mwingine Watu hawaamini kama Huyo Mzungu ni  Binadamu, wana akili iliyozidi…unaweza kuwa…

Ilipoishia “Aaaah Zola” ilisikika sauti upande wa Mzee Dawson, ikionesha  alikuwa akijigeuza.  “Hebu fanya taratibu tuonane ana kwa ana Mzee Dawson, nahisi  kuchanganikiwa sasa” Zola alikata…

Ilipoishia “Unatakiwa kuwa makini sana sababu kwa namna alivyo huyo Mtu  si rahisi akamuamini Mtu kwa Mara ya kwanza, unapaswa pia  kujuwa kuwa ukibainika basi kila…

Ilipoishia “Kuna kundi linaitwa MAFIA GANG, ni kundi maalum kwa ajili ya  Ugaidi…Mkuu wa kundi hili anaitwa John Brain ni mzungu  anayeishi Uskochi, Kazi yake ni…

Jasusi

Robert akiwa kwenye gari lake alianza kulia, akashindwa hata  kuendesha akaamua kusimama kando ya Barabara akiwa  anabubujikwa na machozi.  Machozi yakawa yanamtiririka Robert huku akizidi kulia…