Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: riwaya za kijasusi
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Saba Ile simu ilikuwa ndogo tu yaani ya kitochi, hivyo ilikuwa ngumu kwangu japo kupata namba za Jonas wala…
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Kwanza “Nitaongea na Mama yako” alisema kisha tuliendelea na safari ya kuelekea Kanisani, tulipofika nilimuacha akanipatia pesa kama Elfu…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 09 Basi nilikata tamaa, chozi lilinibubujika. Nikajikuta nikipandwa na hasira sana, nikasema kwa mara ya mwisho kwa sauti kubwa ya hasira…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 07 Hatimaye Mama yangu aliungana na Zena na Caren kwenye makazi ya milele. Kilichokua kimebakia kwangu kilikua fumbo kubwa, hakuna aliyejua…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 06 Nilikua nikihema, Wazazi wangu walikua wamesimama vile vile kama Watu wasiojitambua. Yule Bibi aliendelea kunisogelea huku mguu wake mmoja akiwa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?” “Ndiyo!” “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…
Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…
Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi, hofu ilikua imenitawala vya kutosha. “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…
Ilipoishia “Ka-kaka! Kwasasa ardhi yetu haina makazi. Namaanisha kwamba tangu mwaka mmoja uliopita, virusi visivyo fahamika vimetawala, na sasa watu wengi sana wamekuwa mazombi. Wakikung’ata, lazima…