Browsing: riwaya za kijasusi

Ilipoishia  Kupitia daraja la Kigamboni, Mzee Shayo aliendesha Subaru  kama yupo kwenye mbio za Magari, wakati huo Barabara zilikuwa  nyeupe, Watu wengi waliogopa kupoteza uhai wao,…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 09 Basi nilikata tamaa, chozi lilinibubujika. Nikajikuta nikipandwa na hasira sana, nikasema kwa  mara ya mwisho kwa sauti kubwa ya hasira…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 06 Nilikua nikihema, Wazazi wangu walikua wamesimama vile vile kama Watu wasiojitambua.  Yule Bibi aliendelea kunisogelea huku mguu wake mmoja akiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?”  “Ndiyo!”  “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…

Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…

Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati  ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…