Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » MO Dewji Rudi Tena Kazini Uwape Furaha Wanasimba
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    MO Dewji Rudi Tena Kazini Uwape Furaha Wanasimba

    MhaririBy MhaririApril 8, 2024Updated:April 11, 20243 Comments2 Mins Read7K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    MO Dewji
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Tajiri, kijana wako niliendelea kusubiri ile Suuu lakini mpaka sasa bado hujasema lolote, Tajiri mimi bado nasubiri. Najua moyo wako ulivyo na mapenzi mema na Simba SC basi tupe hii Boss. Mohamed Dewji nakiri wazi uliamua kwa dhati kutuonyesha tukiamua inawezekana, uliifanya Simba SC kuwa tishio Afrika na kucheza Robo Fainali nne Ligi ya Mabingwa huku moja ikiwa ni kombe la Shirikisho na juzi kati hapo imecheza tena ya tano lakini hadithi ni ileile tu. Tajiri Mohamed Dewji, kilio cha wanasimba ni kuwavusha kwenda Nusu fainali, rudi tena kazini wape furaha ya namna hiyo, njoo tena utoe darasa la kwenda hatua hiyo pengine tutafika. Ukweli wa wazi wewe ndiye mtu uliyethubutu kwa dhati kuwaonyesha matajiri wengine inawezekana wakiamua. Hapa naandika kama mdau wa soka lakini mtu ambaye nakubali sana kazi zako, njoo tena na tena tuelekeze tunafuzu vipi hiyo Nusu mbona ni kama manyanyaso yamezidi. Itazame Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwanini waonekane ni kikwazo, KWANINI ionekane haiwezekani, njoo tena Tajiri tunakusubiri. Simba SC imeweka alama Afrika hilo halina ubishi, hakuna atakaye toka na kulikataa hili sidhani hayupo huyo mtu. Mo Dewji imeiweka ramani ya mpira wetu katika Chapa ya Moto naamini ipo siku tutafika tu. Naiweka chini KALAMU yangu nasubiri kuona au kusikia tena SUUUU imebeba nini Tajiri. Unatamani Tajiri MO DEWJI Afanye kitu gani ili kuhakikisha Simba inarudi ile ambayo tumeizoea? Acha comment yako hapa chini

    mo dewji simba simba vs azam

    3 Comments

    1. n fey on April 8, 2024 7:20 pm

      arud na kuekeza kama mwnz

      Reply
      • Jackson Misango on April 11, 2024 8:40 am

        Viongozi wa Simba wajitathmn ktk usajili maana wamekuwa wadanganyifu sana, ikabidi wapishe wamuachie timu Bakhresa aje awekeze Simba

        Reply
    2. Said Migazo on April 8, 2024 8:10 pm

      Kwanza baadhi ya viongozi wa Simba wa kwanza akiwa Try again AONDOKE. AMESHINDWA kufanya Simba kuwa Bora Kwa misimu kadhaa Sasa akifuatiwa na wale wote wanao husika na USAJIRI nao waondoke/watoke madarakani.
      Pili Simba ikifika kipindi Cha usajiri isajiri wa hezaji wenye ubora mkubwa wasio pungua wa 4. Haina haja ya kusajiei lundo la wacheza huko sio kijenga Timu.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.