Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Maswali ni mengi kwanini inazunguzwa sana mechi ya Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns na siyo Simba SC na Al Ahly? Jibu lake ni jepesi sana,…
Kwanza kama Tanzania, tunapaswa kujipongeza kwa ukuaji wa soka letu hakika mpira wetu umekuwa sana tujipige kifua katika hilo. Lakini wanasema kwenye kila ongezeko la maendeleo…
Kwako Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas NdumbaroNdumbaro, Nikiri kuwa nimeisikia kauli yako Mheshimiwa Waziri kuwa haitaruhusiwa kwa mtanzania kuingia na jezi ya…
Kikosi cha Simba SC kimeweka kambi yake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Al Ahly ambao ni mchezo wa robo fainali ya…
Pascal Gaundence Msindo Mchezaji kijana kutoka Azam Fc anaeyetokea mji kasoro bahari kwenye milima Ya Uluguru yaani Morogoro, alizaliwa mwezi wa nane tarehe 15 ya Mwaka…
Ni suala la ujirani mwema tu hakuna namna tuwapokee kama ilivyo desturi yetu kwa wageni. Tukiwapokea na kuwapa nafasi washiriki Ligi yetu hii itaendelea kutoa funzo…
Mpendwa Pacome Zouzoua, Natumai barua hii inakukuta ukiwa mzima japokua sijajua unaendeleaje na goti lililokufanya usimalize mchezo dhidi ya Azam Fc lakini natambua unapiga hatua kubwa…
Moja ya kitu ambacho wana Yanga wengi hawaombei ni majeraha ya kiungo Pacome Zouzoua, na kupona haraka kwa Khalid Aucho na kama ikitokea hawatorejea mapema basi…
Mchezo ulianza kwa kasi kwa timu zote mbili Azam FC na Yanga SC wote wakifunguka kwa dakika 15 za mwanzo faida aliipata zaidi Yanga SC na…
Ni Azam dhidi ya Yanga, Moja ya mchezo mkubwa na wenye kuteka hisia za wapenda mpira nchini na hiyo inatokana na mchezo huo kuwa na msisimko…












