Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Klabu ya soka ya Singida Fountain Gate imetangaza rasmi kuhamia katika uwanja wa Black Rhino Academy uliopo wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Kupitia kwa mkuu wa…
Mchambuzi wa soka na mchezaji mkongwe wa Tanzania, Amri Kiemba kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameamua kuibuka na kutoa maoni yake kuhusu kile kinachoendelea…
Kuelekea michuano ya Ulaya, Euro 2024 ngazi ya timu za taifa, Shirikisho la mpira wa miguu bara la Ulaya (UEFA) limetangaza kuja na mpira utakaotumika katika…
Kwa mujibu wa mtandao wa SkySports kutoka nchini Uingereza umeripoti kuwa kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta ataukosa mchezo wa wikiendi hii ambao watakua…
Kiungo mshambuliaji wa Azam Fc, Feisal Salum ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba wa ligi kuu ya NBC huku Bruno Ferry yeye akiibuka kuwa…
Klabu ya Simba leo imekabidhi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko na maporomoko yalitokea katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara mwishoni mwa juma lililopita. Mwenyekiti…
Rais wa Young Africans SC na mwenyekiti wa vilabu vya soka barani afrika ( ACA ) Mhandisi Hersi said ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha…
KOCHA MASHUJAA AKIRI MAMBO NI MAGUMU , MBINU ZIMEJULIKANA Kocha Mkuu wa kikosi cha Mashujaa kutoka Kigoma Abdallah Mohammed almaarufu kama Baresi amekiri kuwa kwa sasa…
CHASAMBI HUYOOO MSIMBAZI , BENCHIKHA APIGILIA MSUMARI USAJILI WAKE MSIMBAZI Moja kati ya stori kubwa inayozungumzwa katika vijiwe vya soka mtandaoni nchini Tanzania ni pamoja na…
MAKUNDI YAKO HIVI BAADA YA MECHI 2 ZA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA