Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    In the name of LOVE – 12

    In the name of LOVE – 11

    In the name of LOVE – 10

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Tatu-03)
    Hadithi

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Tatu-03)

    Kaka MkubwaBy Kaka MkubwaMay 14, 2025Updated:May 23, 202522 Comments10 Mins Read5K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Piliย 

    Sasa wakati naendelea kumpotezea nilijikuta napeleka machoย  yangu nyuma ya gari yaani siti za nyuma kule, gari ilikuwa naย siti nne tu, nikawa nimeliona begi lake ambalo halikufungwaย  vizuri, ile shuka ya damu ilikuwa kwenye begi lake na kwaย  vyovyote alifanya kuwa siri ndio maana nilipomuuliza hakutakaย  kunijibu ipasavyo.ย 

    Nilishtuka sana, lile shuka lilikuwa na damu zilizotokaย  kwenye bikra yangu .

    SEHEMU YA TATU

    “Mungu wangu. Hili shuka analipeleka wapi?” nilijiuliza, kiuย  ya kutaka kuonana na Mama nimueleze mchezo Mchafu wa Ankoย  Sanga ilinijaa na vile sikutaka kabisa kumsemesha pale kwenyeย  gari.ย 

    Nikajifanya kupotezea kuwa sijaona kitu, safari hii ilikuwaย  fupi maana aliendesha kwa spidi huku akiniuliza maswali yaย  hapa na pale, aliuliza kama nina Boyfriend, nikampotezea,ย  aliuliza kuhusu masuala ya nchuo sikumjibu kitu.ย 

    Ugumu wa safari hii ulikuwa na maumivu ya moyo wangu,ย  tulipofika nilianza kulia baada ya kumuona Mama aliyekuwaย  amesimama mlangoni baada ya kusikia mlio wa gari,ย  nilikurupuka na kwenda kumkumbatia huku nikilia na choziย  likimiminika kwenye manega yake.ย 

    Mjomba alikuwamo kwenye gari mpaka kufikia muda ule, Mamaย  alinikumbatia pia na kuniambiaย 

    “Ndio ukubwa huo Veronica usilie” alisema, nilishtuka kishaย  nilijitoa kidogo na kumtazama huku chozi likiendeleaย  kunimwagika kwenye mboni za macho yanguย 

    “Ndio ukubwa? unamaanisha nini Mama?” nilihoji, nikachukuaย  kitambaa kutoka kwenye mfuko wa suruali yangu na kujifutaย  machoziย 

    Mama alikuwa akiniangalia tu bila kunijibu swali languย 

    “Mama! ina maana unajua kinachoniliza?” nilimuuliza swaliย  lingine, akasema tuingie ndani, wakati tunaingia ndani Mjombaย  akawa ameshuka akafunga mlango na kuingia ndani pia.ย 

    Baada ya kuketi nilijiuliza maswali mengi kuwa Mama anajuaย  kila kitu ina maana alikuwa akiijua hii safari ya Mlimaย  Kilimanjaro? na kama alikuwa akijua kulikuwa na jambo ganiย  hapa nyuma yake? wakati naendelea kutafakari niliisikia sautiย  ya Mamaย 

    “Veronica, hongera na pole kwa kilichotokea” alisema,ย  aliongea nusu nusu na kunifanya nizidi kuingiwa na wasiwasi

    “Mama umeshiriki kwenye unyama alionifanyia Anko Sanga?”ย  alikaa kimya akinitazamaย 

    “Sidhani kama ni kweli umenizaa, sijui kama huyu kweli niย  Kaka yako wa damu! Mama wewe wakupanga hili jambo kweli?”ย  Nilisema kwa hasira na hisia nzito huku moyo ukizidi kuniumaย 

    “Veronica!! Kwasasa bado mdogo huwezi kuelewa hili jamboย  lakini ndio uhalisia huo, nilijua hatma ya safari hii na Ankoย  wako Sanga”ย 

    “Mama na Kaka yako ni mashetani wakubwa, wakati nikiwa naย  tumaini la kupata faraja kutoka kwako kumbe nawe umechangiaย  kuniumiza?”ย 

    “Veronica….msikilize Mama yako” Anko Sanga akadakia, kamaย  vile aliupuliza moto uliokuwa ukiwakaย 

    “Wewe ndio mshenzi kabisa, hufai kuitwa Anko, fedhuli mkubwaย  wewe” nilisema na kuangusha kilio, waliponisemeshaย  nilikimbilia chumbani kwangu na kujifungia.ย 

    Mama alirudi Sebleni baada ya kuja kunigongea mlango bilaย  mafanikio, Anko Sanga akatoa ile shuka na kumuonyesha Mama,ย  kisha Mama akamwambia aipeleke Kwa Mganga wao!ย 

    “Jambo hili lapaswa kuendelea kuwa siri hivyo zungumza naย  Mwanao vizuri” Alisema Anko Sanga akiwa anairudisha ile Shukaย  kwenye begiย 

    “Hilo ni jambo langu, nenda sasa” Aliongea Mama, Anko Sangaย  akaondoka Mchana uleule.ย 

    Majira ya Usiku nikiwa nimejifungia mle chumbani, hasiraย  zikiwa zinapoa taratibu maana hakukuwa tena na Mtu waย  kuzipandisha, nilichukua simu na kuwasha tochi kishaย  nikaziangalia sehemu zangu za siri maana ile damu na maumivuย  sikupata nafasi ya kujiangalia vizuri.ย 

    Niliona pakiwa pamekaa vizuri tuu, hata yale maumivu yalikuwaย  yamepoa kabisa nikawa najisikia vizuri, japo Mama yanguย  alifanya kitendo cha Kinyama vile nilijikuta nikiingiwa naย  huruma hasa yale Maneno makali niliyoyazungumza mbele yake.ย 

    Nikawa natafakari jinsi ya kumuomba msamaha wakati huo nikiwaย  nasikiliza nyimbo ya Kayumba inayoitwa Mama, ikanifanyaย  nifikirie jinsi Mama alivyonilea nikiwa mdogo kabisa, Babaย  alitukimbia akanilea kwa shida hakukata tamaa.

    Jinsi alivyonipigania hadi nikafika chuo ilikuwa ni namna yaย  kipekee sana, nilijikuta nikijilaumu kwa kumtolea lugha zaย  matusi, Punde nikasikia sauti ya Mtu akiwa analia kwa nje,ย  nilipoitafakari nikagundua kuwa inatokea sebleni na ilikuwaย  ni sauti ya Mama!ย 

    “Mama analia? itakuwa nimemkosea sana Mama yangu” nilisema naย  moyo wangu. Nilijikuta nikizidi kuumia kwenye nafsi yangu,ย  ikanipasa nifungue mlango na kuelekea sebleni.ย 

    Mama alikuwa akilia huku akiwa amejiinamia, alilia sana naย  kunifanya nikubali makosa yangu.ย 

    “Mama naomba unisamehe” Nilimwambia Mama baada ya kumsogelea “Veronica umenisemea maneno mabaya sana, nimeumia mno”ย 

    “Ndio maana naomba msamaha Mama, nimetambua makosa yangu naย  sina budi kuomba radhi kwa maneno yangu makali niliyoyasemaย  mchana” Baada ya kumuomba radhi, alinisamehe na Maishaย  yakaendelea nikiwa nimeshatolewa usichana wangu na Ako Sangaย  ambae ni Kaka wa Mama yangu Mzazi.ย 

    Sikutaka tena kumuuliza kuhusu lile shuka ambalo lilikuwa naย  damu yangu ya Bikra, nilionelea nikae kimya kwa kuhofiaย  kumkwaza tena Mama, sikumuona wala kumsikia tena Anko Sanga.ย 

    Baada ya mwezi mmoja likizo ilikuwa imeisha nilitakiwa kurudiย  chuo kuendelea na Masomo, Mama aliniita usiku wa kuamkiaย  safari.ย 

    “Veronica nenda kasome, Nakupigania sawa?”ย 

    “Mh! Mama unanipigia kila siku hilo nalijua”ย 

    “Ni kweli lakini nitahakikisha maisha yanabadirika,ย  namshukuru Mungu kunijalia Mtoto kama wewe” Alisema Mama,ย  nikakumbuka alikua akinipigia simu mara nyingi nikiwa chuoย  akinitaka sana nijitunze, nijiepushe na masuala ya Wanaume.ย 

    “Sawa Mama siwezi kukuangusha kwenye kila jambo”ย 

    Niliondoka Alfajiri na kurudi Dar kwa ajili ya kuendelea naย  Masomo yangu huku kichwani nikifikiria jinsi nilivyomsalitiย  Jonas, Konzo alikuwa wa kwanza kunipa taarifa kuwa Jonasย  alianzisha mahusiano mengine na Mwanafunzi mwingine aliyeitwaย  Agatha.

    “Siamini kama Jonas anaweza kutembea na Agatha kwa jinsiย  anavyokupenda lakini nimethibitisha kwa macho yangu mawili”ย  alisema na kuniaminisha kwa kauli yake, sasa nilipofikiriaย  kumfuata Jonas moyo ulisita kwani nami nilikuwa msaliti kwakeย  japo nilikuwa nimebakwa na Anko Sanga.ย 

    “Naanzaje kumlaumu Jonas?” nilijiuliza nikiwa peke yanguย  baada ya kuachana na Konzo, ilikuwa ni siku ya pili baada yaย  kurejea Dar.ย 

    “Mimi mwenyewe nimemsaliti na kutolewa bikira yangu”ย  Niliachana na wazo la kumuuliza Jonas japo hata mimi nilionaย  amebadirika huku kisingizio kikiwa ni kutompa penzi.ย 

    “Jonas nipo tayari kukupa penzi” nilimwambia nilipokutanaย  nae, alishangaa kwasababu sikuwahi kumwambia vileย 

    “Uko serious?”ย 

    “Ndio, Jonas sitaki nikupoteze” nilisema tukiwa tumekaaย  chumbani kwetu, ilikuwa ni kawaida kwa Wanaume kuingia vyumbaย  vya Wanawake na wanawake kuingia kwa Wanaume. Konzo naย  marafiki wengine walitupisha kwakuwa nilishawaambia kuwa ninaย  hamu na Jonasย 

    “Nafurahi kusikia hivyo Kipenzi, jinsi nilivyokuwaย  nakuhangaikia kila siku” alisema akiwa ananiingia maungoni,ย  hisia zilipanda lakini wazo la kuwa Nilikuwa nimekeketwaย  likaja ghafla, nikaogopa kuumbuka pale.ย 

    “Jonas subiria kidogo” nilisema kwa tabu alikuwa tayariย  ameanza kunyonya chuchu zangu! Mhemko ulikuwa umepanda sanaย 

    “Nisubirie nini mpenzi jamani” Jonas alionekana kuzidiwa naย  kunihitaji sana wakati ule, alikuwa ameshavua shati lake naย  kulitupa chini. Maziwa yangu yakiwa yametolewa kwenye sidiriaย 

    “Subiria kwanza una Condom?” nilimuuliza kimtego ili tuย  kuahirisha zoezi, nilikuwa nikimpenda sana Jonas naย  nilihitaji aje kuwa Mume wangu siku za usoni.ย 

    “Aaah! unaona unavyoboa Veronica? ulivyonipigia nilikwambiaย  nakuja na Condom, hatuwezi kufanya sex bila kinga” akasemaย  huku akiendelea kuninyonya na kunifanya nipandwe na mzuka waย  ajabu!ย 

    “Subiria kidogo, Jonas hapa hatuwezi kuwa huru. Kachukueย  Chumba Lodge tulale wote”ย 

    “Veronica bhana, nilijua tu utanizungusha zungusha”

    “Siwezi kukuzungusha My love, napenda tuwe huru zaidi” “Lini twende Lodge?”ย 

    “Tutaongea kwenye simu” Nilisema, Jonas hakukaa aliondokaย  zake na nilijua tu nimemkwaza.ย 

    “Nimeshindwa kufanya nae”ย 

    “Veronica una shida gani kwani? si ulisema una hamu naye sanaย  sasa kilichokufanya usikate kiu leo ni nini?” Alisema Konzoย  kwa kunilaumu sana, alijua tayari nimetolewa usichana wanguย  na Jonasย 

    “Sio hivyo tatizo naona aibu Konzo, unajua mimi ni Bikra”ย 

    “Sasa utaona aibu hadi lini Veronica? Jonas akikosa kwakoย  ataenda kusex na mwingine”ย 

    “Najua. Unanishauri nifanye nini?”ย 

    “Sex nae”ย 

    “Naogopa, naona aibu”ย 

    “Nina wazo, hiyo siku tumia kilevi ili kuikata aibu” “Unamaanisha Pombe?”ย 

    “Ndio, hiyo ndio njia pekee. Unatakiwa ujifunze pombe”ย  Alinipa wazo la kutumia kilevi ili nisex na Jonas, wakatiย  nalifikiria hilo nikapata wazo lingine.ย 

    “Utanifundisha basi Konzo maana sijawahi kuitumia”ย  nilimueleza kwakuwa alikuwa akitumia Pombe hivyo anifundishe,ย  Sasa wazo lililonijia ni kwamba nikishaijua vizuri hiyo pombeย  nimshawishi na Jonas tulewe kwanza ndipo tusex kwa kuaminiย  Mtu akilewa anakuwa hana muda na kuangalia au kuchunguzaย  vitu. Nikajisemea kuwa hawezi kugundua kuwa nimekeketwaย 

    Basi, Konzo alianza kunifunisha pombe. Alinipeleka kwenyeย  kumbi za starehe nyakati za usiku na kuanza kunifundishaย  taratibu, alianza na bia zenye kilevi asilimia ndogo kishaย  aliniingiza kwenye pombe kali kama Konyagi ili nilewe haraka.ย 

    “Sitaitumia kwa Maisha yangu yote nitaiacha baada tu ya kusexย  na Jonas”

    “Hayo ni maamuzi yako Mwaya, ukiipenda endelea nayo maanaย  mwenzio naipiga kama sina akili nzuri na wala haiingiliiย  maisha yangu ya Chuo”ย 

    Nilipanga iwe hivyo yaani nikishasex na Jonas niiache, basiย  nilianza kuizoea nikawa napiga mpaka chupa tatu, kichwaย  kikawa kigumu kuelewa nikaanza kupiga Konyagi hapo ndipoย  nilianza kujihisi nimelewa.ย 

    Nilipoona nipo sawa kukutana na Jonas kimwili nilimtafutaย  maana mawasiliano yetu hayakuwa mazuri. Alinishutumuย  simpendi, nina mwanaume mwingine kwasababu tu sikumpaย  alichotaka.ย 

    “Ukinizingua leo ndio umejiharibia mwenyewe nitakaa mbali naย  wewe” Alisema, nilimpa uhakika kuwa siku hiyo ni lazima nimpeย  penziย 

    “Kumbe unakunywa pombe Veronica?” alishangaa nikiwa nakataย  maji kama kambale kwenye topeย 

    “Ndio nakunywa!”ย 

    “Humtaki tena Yesu? ulisema huwezi kunywa kwakuwa una imaniย  kubwa sana…nakushangaa leo” alisema huku nae akipigiliaย  unywaji, ni kweli niliwahi kumkatalia kuwa situmii Pombeย  kwani yeye alikuwa akitumia.ย 

    Alishawahi kuniwekea mtego wa pombe ili nisex naeย  niliposhtuka niliondoka zangu!ย 

    “Jonas mimi nakunywa pombe vizuri tu, Nimetokea Arusha watuย  wengi kule wanatumia Pombe”ย 

    “Mh! Haya” Tuligida unywaji siku hiyo tukiwa Baa, tulikulaย  nyama choma na chips mayai. Kama unavyojua Jonas alitokeaย  kwenye familia bora yenye uwezo kifedha.ย 

    Tulipiga mtungi hadi nilihisi nazima, tuliondoka pale Usikuย  tukiwa tumelewa hadi Lodge, ile akili ya kuwa nilikuwaย  nimekeketwa iliondoka kabisa maana pombe niliyokunywaย  ilikimbilia huku Chini, Jonas nae alikuwa na Mzuka wa ajabuย  sana wala hakuchelewesha.ย 

    Mapenzi ya pombe yakaanza bila hata kuchojoana vizuri,ย  tukafanya mapenzi. Japo nilikuwa nimekeketwa lakini nilisikiaย  raha sana siku hiyo. Niliukatikia Mjegeje wa Jonas kama Mkunaย  nazi vile na uliniingia sawa sawa, alinisugua hadi nikaombaย  msamaha siku hiyo.

    Tulipomaliza tulijitupa na kulala, asubuhi mapema nikawa waย  kwanza kuamka. Kichwa kilikuwa kinanipiga, shuka ilikuaย  imeloa damu kidogo! Sikuwa na maumivu popote pale,ย  nilimuamsha Jonasย 

    “Siamini kama tumelala pamoja Veronica?” alisema akiwaย  anajinyoosha, kila nilipomtazama nilihisi bado nina aibu nae,ย  akataka anifanye cha asubuhi.ย 

    “Hapana Jonas, nimechoka sana jana umenifanya mpaka basi” “Ha!ha!ha!”ย 

    “Usicheke kweli umenifanya sana hadi damu imetoka”ย 

    “Yaani! ndio nimeamini kuwa ulikuwa bikra, nafurahi kuwaย  Mwanaume wako wa kwanza” alisema, nilimtazama hukuย  nikijiambia kuwa yeye ni wapili, wakwanza alikuwa Anko Sangaย  ambaye sikupendelea sana kukumbuka kilichotokea kule Mlimaย  Kilimanjaro.ย 

    Angalau moyo ulikuwa umetulia, Jonas hakufanikiwa kugunduaย  kuwa nilikuwa nimekeketwa kwasababu tulisex tukiwa chakali (ย  Tumelewa Pombe )ย 

    **********ย 

    “Ungeniambia hamjafanya leo ningeshangaa sana, naย  kusingelikuwa na njia nyingine” Konzo alisema baada yaย  kumsimulia kuwa Nilifanya mapenzi na Jonasย 

    “Kusema ukweli nimefurahi sana leo huwezi amini Konzo,ย  nimefanya mapenzi kwa mara ya kwanza”ย 

    “Ndio ishakuwa hiyo hairudi nyuma, akitaka unampa atakavyo”ย 

    Tulicheka kwa pamoja kuashiria tulikuwa tumefurahi wote kwaย  kilichotokea. Nikawa nahisi raha ile ya kusex na Jonas hataย  nikiwa darasani nililoa kila nilipomtazama, naye alihisiย  hilo.ย 

    Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA NNE

    JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย 

    Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA

    Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA

    Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย 

    riwaya mpya riwaya za kusisimua simulizi kijiweni simulizi za kijasusi simulizi za mapenzi soma riwaya bure

    22 Comments

    1. Bplm1664 on May 14, 2025 5:46 pm

      Yeaaah aweeeeeh

      Reply
      • Adam on May 14, 2025 8:07 pm

        Kwa Kweli Story Inaonesha Ni Nzuri

        Reply
    2. Gervase on May 14, 2025 7:34 pm

      Uncle kama uncle ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

      Reply
      • Rajibomba on May 17, 2025 6:03 pm

        Mmmmh haya bana uncle nimshua

        Reply
        • Khamisi Edward jinyage on May 21, 2025 2:54 am

          Duh anko ni noma sana

          Reply
    3. Lilian on May 14, 2025 7:34 pm

      Oooooh

      Reply
    4. Adam on May 14, 2025 8:07 pm

      Ila Anko Sanga Siyo Mtu Ngoja nisubiri Hii story

      Reply
    5. Yusuf on May 14, 2025 8:09 pm

      Ataliii

      Reply
      • Tabu zacharia on May 15, 2025 11:12 am

        Mmh me kazi kuwekea bundle tu

        Reply
        • Rajibomba on May 17, 2025 6:04 pm

          Mmmmh haya bana uncle nimshua

          Reply
    6. Msofe on May 15, 2025 11:37 am

      Iko vizur sana hiii simulizi nimeipenda

      Reply
    7. Cathbert on May 17, 2025 7:48 am

      Mambo ya utamu

      Reply
    8. Kevin378 on May 24, 2025 10:23 am

      Cool partnership https://shorturl.fm/a0B2m

      Reply
    9. Gage3911 on May 24, 2025 12:53 pm

      Very good partnership https://shorturl.fm/9fnIC

      Reply
    10. Zoe1441 on May 25, 2025 9:15 am

      https://shorturl.fm/oYjg5

      Reply
    11. Bailey3265 on May 25, 2025 4:25 pm

      https://shorturl.fm/a0B2m

      Reply
    12. Jolene2977 on May 25, 2025 9:58 pm

      https://shorturl.fm/N6nl1

      Reply
    13. Alyssa1129 on May 26, 2025 1:50 am

      https://shorturl.fm/TbTre

      Reply
    14. Cornelius2910 on May 27, 2025 4:38 am

      https://shorturl.fm/9fnIC

      Reply
    15. Kaylee2533 on May 27, 2025 9:03 pm

      https://shorturl.fm/a0B2m

      Reply
    16. Dominique3369 on May 28, 2025 7:18 am

      https://shorturl.fm/m8ueY

      Reply
    17. Marco3629 on May 28, 2025 7:19 am

      https://shorturl.fm/FIJkD

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi October 1, 2025

    In the name of LOVE – 12

    Ilipoishia sehemu ya Kumi na moja ya In the name of LOVE Moyo Wangu na…

    In the name of LOVE – 11

    In the name of LOVE – 10

    In the name of LOVE – 09

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.