Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Ule Muda Wa Kufanya Maajabu Kila Kona Umerejea Tanzania
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Ule Muda Wa Kufanya Maajabu Kila Kona Umerejea Tanzania

    MhaririBy MhaririJanuary 28, 20242 Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Mashabiki wa Simba na Yanga kutoka Tanzania
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Kazi kubwa ambayo inapaswa kufanyika kuelekea kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa ni kufanya kweli kwa kila timu kupata matokeo mazuri.Tumeona kwamba kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) Tanzania ilikwama kutinga hatua ya 16 bora na kuishia kwenye hatua za makundi.

    Kwa maana hiyo kuna makosa ambayo wachezaji waliyaona na kushindwa kuyatumia kwenye mechi zao na pia benchi la ufundi kuna makosa liliona yakashindwa kufanyiwa kazi kwenye mechi zilizofuata. Mwisho ilishatokea kwamba Tanzania ilikuwa ni timu shiriki na matokeo yameigharimu kwa kushindwa kusonga mbele ni wakati wa kutazama wapi ambapo ilikuwa ni ngumu kuendelea katika hatua inayofuata.

    Kila mmoja furaha yake ni kuona matokeo yanapatikana na kushindwa kupatikana kwa matokeo ni mwanzo wa kutafuta pale palipokuwa na makosa ili kazi ifanyikwe.Yaliyotokea huwezi kuyabadili lakini yajayo kuna nafasi ya kujipanga upya na kuanza kufanya kazi kubwa kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi zinazofuata.

    Kuna mashindano ambayo yataendelea kwenye ligi ambayo ni ya kitaifa na pia kuna timu ambazo zinashiriki mashindano ya kimataifa hapo ni muhimu kufanya kazi kubwa kupata matokeo mazuri kwani kushindwa kwenye mechi zilizopita sasa ni iwe mwanzo wa kupata ushindi kwenye mechi zijazo ambazo zitakuwa na ushindani mkubwa kila wakati. Muda ni sasa na kila kitu kinawezekana ikiwa tu wachezaji wataamua na benchi la ufundi kuchanga karata zake kwa umakini, hivyo tu basi.

    SOMA ZAIDI: Ukiitaja AFCON Usiisahau Ligi Kuu Ya NBC

    2 Comments

    1. Pingback: Ratiba Ngumu Ya Yanga Mwezi February - Kijiweni

    2. mitolyn on January 27, 2026 8:29 pm

      **mitolyn**

      Mitolyn is a carefully developed, plant-based formula created to help support metabolic efficiency and encourage healthy, lasting weight management.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Stori Mpya January 31, 2026

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha Nne 2025, kiwango cha ufaulu chafikia asilimia 94.98 Baraza…

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.