Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Tukiyafanya Haya Kiwango Cha Mpira Tanzania Kitapanda
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Tukiyafanya Haya Kiwango Cha Mpira Tanzania Kitapanda

    MhaririBy MhaririApril 30, 2024Updated:April 30, 20245 Comments2 Mins Read835 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Uwanja wa Mpira wa miguu wa Tanzania (Benjamin Mkapa Stadium)
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mpira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo fanyika nchini kwa kushirikiana na wenzetu wa Kenya na Uganda.

    1. Tutafute Kocha wa daraja la juu wa soka ambaye analifahamu soka la Africa na dunia kwa ujumla. Yule ambaye rekodi yake haina shaka yoyote.Nampendekeza kocha wa zamani wa Zambia na Ivory Coast ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Ufaransa , Herve Renard ,tukishindwa huyo twende na kocha wa zamani wa Aly Ahly ya Egypt/Mamelody Pitso Mosimane au Mkongo Florent Ibenge, bila kusahau suala la timu kukaa kambini muda mrefu,miezi 6 itapendeza zaidi.
    2. Kwa maendeleo ya muda mrefu tuchukue makocha hata 10 vijana na wale wa makamo wapelekwe nchi za Ulaya hasa Ujerumani, kwa mafunzo ya soka {Burundi walishafanya hili)..napendekeza makocha wafuatao wapate hiyo fursa, Zuberi Katwila, Selemani Matola, Minziro, Mecky Mexime, Mbwana Makata, Edward Augustino, Pawasa, huyo kocha wa sasa Prison yaani Ahmad Ally, Julio, na wengine kadiri Serikali itakavyoona inafaa ila kwa kuanzia tunaweza tupeleke Makocha 10, na wakirudi wapewe timu za taifa na hata vilabu kwa malengo maalumu. Kuhusu gharama tunaweza OMBA ufadhili kwa wenzetu wa Ujerumani kama ambavyo nchi nyingi zimekua zikifanya

    3.Tuboreshe chuo cha Michezo cha Malya Mwanza,na hawa watakaopelekwa Ujerumani wanaweza kuwa Wakufunzi hata wa muda kule chuo cha Michezo Malya,

    SOMA ZAIDI: Ni Wakati Wa Simba Kumuamini Kocha Mzawa?

     

    AFCON 2027 AFCON Tanzania Kenya Uganda ligi kuu tanzania bara soka la bongo

    5 Comments

    1. [email protected] on April 30, 2024 3:42 pm

      1. Tumuajiri nasredene nabi atutengenezee project ya taifa
      2. Apo kwenye accademi pamuhimu zaidi mana sisi tunafungwa siyo tu kwa sababu hatuna vipaji ila tunashindwa kujua ni muda upi tucheze mpira, muda gani tumuachie mpinzani n’a muda gani tupoteze muda mana hapo ndo warabu wanapotuzidi
      3. Mwisho tumpe uraia isak wa new castle mana dogo asili yake ni Masai atatuongezea kitu na uzoefu wake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ni mawazo tu ๐Ÿ’ญ๐Ÿ’ญ

      Reply
    2. Joshua on April 30, 2024 3:58 pm

      Ni ushauri mzuri mzuri mnoooo.
      Ila AFCON ni 2027 kuhusu makocha kwasasa tunahitaji kocha ambaye 1. Mzuri katika kutengeneza saikolojia ya wachezaji, 2. Mzuri katika kuweka kutumia ule uwezo wa wachezaji wetu kwa wakati uliopo. (((Kwann nasem hii, Simba ilimfukuza Robertihno ikamleta Adelhak kocha mwenye class kubwa, ila Benchikha ni kocha anayehitaji wachezaji walio teyari, sio wachezaji wakuja kupewa mda/wachezaji wa kuunga unga)))

      Reply
    3. Mr dream on April 30, 2024 4:59 pm

      1…. tumtafute kocha mapema aanze kuangalia wachezaji watakaofaa kwenye project yake

      2… tuhakikishe kila barabara uwanja na hoter zinakuwa na matangazo ya vivutio vyetu vya watalii

      Nb: tumpee eng Hers nafasi ya kuunda mpangonmkakati mtakuja kunishukuru
      #nguvumoja

      Reply
    4. Mwalukasa Lameck on April 30, 2024 6:30 pm

      Shida Siyo Hayo Yote Bali Je Mikakati Na Mipango Katika Kufanya Tanzania Iwe Hapo Ipo? Na viongozi Je?

      Reply
    5. Pingback: Fredy Ni Mchezaji Mzuri Akitumiwa Vizuri Ataisaidia SIMBA - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya naneย  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.