Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Taifa Stars Wataishangaza AFCON Wakifanya Hivi
    Africa | CAF

    Taifa Stars Wataishangaza AFCON Wakifanya Hivi

    MhaririBy MhaririJanuary 16, 20242 Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Kikosi cha Taifa Stars
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Bila shaka muda uliosubiriwa kwa shauku kubwa ni sasa na kila mmoja anaona namna hali halisi ilivyo nchini Ivory Coast kwenye mashindano makubwa Afrika (AFCON)ambayo yameanza kushika kasi taratibu.

    Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ina kazi ya kufanya kwenye mashindano haya ambapo kikubwa ni kuona kwamba kila mmoja anapenda kuona anapata ushindi na sasa ni kazi kwenye kusaka ushindi.

    Nafasi ya kupata ushindi ipo na muhimu ni kufanya kazi kwa kupata ushindi kwa kuwa kila mmoja anapenda kupata matokeo hivyo muda ni sasa kufanya kweli kwenye mashindano haya.

    Ipo wazi kwamba mashabiki wanahitaji kuona timu inapata matokeo mazuri uwanjani na kwa kupambana inawezekana kwa timu kupata matokeo mazuri. Hivyo tu basi inatakiwa kuwa katika mechi zote.

    Maelekezo kutoka kwa benchi la ufundi ni muhimu kufuatwa pamoja na wachezaji kuongeza nidhamu kwenye mechi ambazo watacheza.

    Hii itafanya makosa kupungua kwa upande wao pamoja na adhabu ya kadi za njano zisizo za lazima kwenye kupambania kombe ndani ya uwanja wakati wa kutafuta matokeo inawezekana na muda uliopo ni sasa.

    Kila mmoja na awe na kazi yake kwa kupambania matokeo mazuri kwa ajili ya kupata matokeo mazuri inawezekana kwa kuwa ni muda wa kufanya kweli kwa kila mmoja kupambania ushindi ndani ya uwanja.

    Hakuna ambaye anapenda kuona timu yake inapoteza hivyo ni muda wa kujipanga na kufanya kweli kila mchezo uwanjani na muda ni sasa kufanya kweli, kila la kheri Taifa Stars.

    Stars ipo kundi F na mchezo wa kwanza itakuwa dhidi ya Morocco ambao unatarajiwa kuchezwa Januari 17 inawezekana kupata ushindi kwa kuwa timu ya Taifa ya Misri yenye Mohamed Salah ilikuwa inapewa nafasi kubwa kushinda mbele ya Msumbiji.

    Licha ya Misri kupata bao la mapema bado wachezaji wa Msumbiji walipambana na mwisho kuambulia sare ya kufungana mabao 2-2 kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

    Endelea kufuatilia zaidi kuhusu taarifa mbalimbali za AFCON kwa kugusa hapa.

     

    AFCON 2023 taifa stars

    2 Comments

    1. Pingback: Chasambi Na Dauda Tumsikilize Nani? Ulaya Kugumu Kweli? - Kijiweni

    2. Pingback: Kwa Hili TFF Wanaiyumbisha Taifa Stars? - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.