Browsing: riwaya mpya

Niliomba niletewe Binti yangu pale Gerezani, Mama Sofia  alimleta Moyo. Nilimkumbatia Mwanangu hadi nikahisi faraja  iliyo pitiliza.  “Umeongea na Wakili vizuri?” aliniuliza Mama Sofia,  nilimtazama na…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 09 Basi nilikata tamaa, chozi lilinibubujika. Nikajikuta nikipandwa na hasira sana, nikasema kwa  mara ya mwisho kwa sauti kubwa ya hasira…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 08 Hakika nilikua katika nyakati ngumu zaidi kuwahi kupita kwenye maisha yangu. Hapakua na  yeyote pembeni yangu, nilipoinua macho baada ya…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 06 Nilikua nikihema, Wazazi wangu walikua wamesimama vile vile kama Watu wasiojitambua.  Yule Bibi aliendelea kunisogelea huku mguu wake mmoja akiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?”  “Ndiyo!”  “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…

Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…

Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati  ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi,  hofu ilikua imenitawala vya kutosha.  “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…