Browsing: riwaya mpya

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?”  “Ndiyo!”  “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…

Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…

Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati  ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi,  hofu ilikua imenitawala vya kutosha.  “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…

Ilipoishia Tukaendelea kutembea huku tukiwa makini. Njiani tulikuta magari mengi yakiwa yametelekezwa, yakiwa yamejaa vumbi na yanaonyesha kwamba hayajatumika kwa muda mrefu. Ndani ya magari hayo…

Ilipoishia  “Ka-kaka! Kwasasa ardhi yetu haina makazi. Namaanisha kwamba tangu mwaka mmoja uliopita, virusi visivyo fahamika vimetawala, na sasa watu wengi sana wamekuwa mazombi. Wakikung’ata, lazima…