Moja kati ya siku ambayo bila shaka ilikua inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Tanzania ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba ambapo nikiri tu kuwa ni miongoni mwa mechi za kusisimua sana katika soka la Tanzania.
Mechi inayowakutanisha wawili hawa mara nyingi huvutia mashabiki wengi na huwa na msisimko mkubwa kote nchini lakini pia hutazamwa kama miongoni mwa mechi bora za dabi katika bara la Afrika.
Kwa ujumla, mchezo wa Yanga dhidi ya Simba ni zaidi ya mechi ya kawaida ya soka. Ni tamasha la michezo ambalo huunganisha jamii ya Kitanzania na kuleta hamasa kubwa katika ulimwengu wa soka.
TABIRI Matokeo ya mwisho hapa kwa kutuandikia mchezo utakuaje au matokeo yatakuaje? Anza na timu unayoshabikia kisha maliza na matokeo
Mfano: (YANGA: Full Time Yanga 0 Simba 0) au (SIMBA: Full Time Yanga 0 Simba 0)
SOMA ZAIDI: Barua Kwako Mwamuzi Arajiga Kuelekea Yanga vs Simba



