Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Tabiri Sasa Matokeo Ya Dabi Ya Kariakoo Hapa Kijiweni
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Tabiri Sasa Matokeo Ya Dabi Ya Kariakoo Hapa Kijiweni

    MhaririBy MhaririApril 20, 2024Updated:April 21, 202438 Comments1 Min Read5K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    yanga vs simba
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Moja kati ya siku ambayo bila shaka ilikua inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Tanzania ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba ambapo nikiri tu kuwa ni miongoni mwa mechi za kusisimua sana katika soka la Tanzania.

    Mechi inayowakutanisha wawili hawa mara nyingi huvutia mashabiki wengi na huwa na msisimko mkubwa kote nchini lakini pia hutazamwa kama miongoni mwa mechi bora za dabi katika bara la Afrika.

    Kwa ujumla, mchezo wa Yanga dhidi ya Simba ni zaidi ya mechi ya kawaida ya soka. Ni tamasha la michezo ambalo huunganisha jamii ya Kitanzania na kuleta hamasa kubwa katika ulimwengu wa soka.

    TABIRI Matokeo ya mwisho hapa kwa kutuandikia mchezo utakuaje au matokeo yatakuaje? Anza na timu unayoshabikia kisha maliza na matokeo

    Mfano: (YANGA: Full Time Yanga 0 Simba 0) au (SIMBA: Full Time Yanga 0 Simba 0)

    SOMA ZAIDI: Barua Kwako Mwamuzi Arajiga Kuelekea Yanga vs Simba

    gardner wa clouds fm kikosi cha simba leo kikosi chayanga leo simba vs yanga yanga vs simba

    38 Comments

    1. Collins collinho on April 20, 2024 9:40 am

      Yanga: full time yanga 3 simba 0

      Reply
      • Brian on April 20, 2024 9:50 am

        Full time yanga 8 – Simba 1

        Reply
    2. Emmanuel on April 20, 2024 9:42 am

      i think Simba win this match,,,because their players are very prepared than young Africans,,,all the Best

      Reply
      • RASHIDI SWAIBU ABBUBAKARI on April 20, 2024 9:48 am

        Mchezo wa Leo ni mgumu sana si Kwa Simba wala Yanga.ikiwa na maana ya kwamba Simba anaingia uwanjani akiwa ma hasra za kufungwa Derby ya mwisho na pia yanga nae anaingia uwanjani na hasra yakutaka kujiheshimisha lakini timu yenye kutaka ushindi iwe imejiandaa na ijue kwamba naenda kukutana na mpinzani mwenye uwezo lolote linaweza kutokea ila kwangu Mimi naona mchezo wa Leo unaweza kuwa Draw Kwa pande zote maana Kila timu imejipanga vyakutosha ikitokea tofauti basi Mbinu uwanjani ndio utakuwa ushindi

        All the best Simba SC🤝 All the best Yanga Africans 🥺

        Reply
      • Prosper on April 20, 2024 1:31 pm

        Hii game yanga asiposhinda bas itakua draw yenye ushindani sana maana yanga anahitaji kutetea nafasi ya kwanza na kuhakikisha anaongeza point za kumzidi mpinzani

        Reply
    3. Taisoni Chijoja on April 20, 2024 9:47 am

      Full time Yanga 0_2 Simba

      Reply
    4. Kishoke Jr on April 20, 2024 9:49 am

      Leo kwa mkapa simba anakula 4 kavu….

      Reply
    5. Jackson Dunia on April 20, 2024 9:49 am

      Yanga 3:1 Simba
      ⚽Ki Aziz
      ⚽Guede
      ⚽Mzize
      ⚽Chama

      Reply
    6. John on April 20, 2024 9:49 am

      FULL TIME YANGA 2:0 SIMBA

      Reply
    7. Lukman Ali on April 20, 2024 9:51 am

      Leo hakuna ushindi timu zote mbili ngoma inaenda suluhu

      Reply
    8. Brian on April 20, 2024 9:51 am

      Yanga8-simba1

      Reply
    9. Sonco Cheol on April 20, 2024 9:51 am

      Actually it’s a tied game… Naona draw ya wazi kbs.

      Reply
    10. Charles James on April 20, 2024 9:54 am

      Yanga 2 : simba 0

      Reply
    11. Severin Pascal on April 20, 2024 9:57 am

      Mechi ya leo ni rahisi kwa upande wa Yanga endapo wachezaji wao tegemezi watacheza,
      Yao
      Aucho
      Pacome
      Azizi Ki
      Tofauti na hapo mechi itakuwa ngumu na itapelekea Simba Sc kushinda

      Reply
    12. Idriss Salif on April 20, 2024 9:57 am

      Young Africans 4 – 1 Simba
      Aziz ki 21′ 63′ chama 31′
      Guede 89′
      Mudathir Yahya 43′

      Reply
    13. Amiri magobole on April 20, 2024 10:06 am

      Yanga 1-1 Simba
      Ki azizi ⚽
      Kibu d ⚽

      Reply
    14. ANDREW on April 20, 2024 10:28 am

      Fulltime
      Yanga Vs Simba
      0-0
      Game itakuwa na tension kuwa wachezaji wataogopa kufanya makosa so watacheza kwa nidhamu kubwa huku wakikumbuka game iliyopita

      Reply
    15. Abisalom on April 20, 2024 10:35 am

      Yanga 3-1au 2.1

      Reply
    16. 𝗧𝗮𝗷𝗶𝗿𝗶 𝗔𝗯𝗮𝘀 on April 20, 2024 10:46 am

      𝗠𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝘆𝗮 𝗹𝗲𝗼 𝗻𝗶 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗶𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘃𝘆𝗼 𝘆𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗮𝗻𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗴𝗼𝗹𝗶 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶 𝗸𝗮𝘃𝘂. 𝗸𝗶 𝗮𝘇𝗶𝘇𝗶
      𝗺𝘇𝗶𝘇𝗲
      𝗳𝘂𝗹𝗹 𝘁𝗶𝗺𝗲 2:0

      𝗯𝘆 T̶A̶J̶I̶R̶I̶ 𝗔𝗕𝗔𝗦

      Reply
    17. Arafat kulwa on April 20, 2024 10:47 am

      Hahahahaha Leo utawala ana shinda 1-0 fabrice ngoma dakik y 68

      Reply
    18. Arafat kulwa on April 20, 2024 10:48 am

      Simba ushindi upo amini

      Reply
    19. Neutralizer on April 20, 2024 10:52 am

      Yanga 5- 1 Simba
      Mudathir ⚽⚽
      Max⚽
      Guede⚽
      Chama Penalty⚽
      Pacome Penalty ⚽🖐️

      Reply
    20. kepher patrick on April 20, 2024 10:53 am

      hii mechi ya leo yanga atashinda goli 2, simba 1

      Reply
    21. Gift on April 20, 2024 11:02 am

      Young Africas 2-1 Simba

      Reply
    22. Bryson on April 20, 2024 11:04 am

      Simba 3- Yanga 0
      By any means

      Reply
    23. Fikikhan 18 on April 20, 2024 11:30 am

      Mechi itakuwa ngumu lakini Nina uwakika na kikosi changu cha young Africans naamini tutashinda Insha’Allah 5 bila

      Reply
    24. Menard Kinywafu on April 20, 2024 11:33 am

      Matokeo ya Leo yanga1 simba2

      Reply
    25. Imma MK on April 20, 2024 11:44 am

      Kwa Match ya leo mi naomba wote wafungwe tatu🤣

      Reply
    26. [email protected] on April 20, 2024 11:45 am

      Match ya leo mi naomba wote wafungwe tatu bila😂

      Reply
    27. Eric Kihombo on April 20, 2024 12:33 pm

      Yanga 6 Simba 0
      Simba wamejaa mbwembwe tu

      Reply
    28. jozextrigger on April 20, 2024 12:41 pm

      Hakuna cha derby haina mwenyew wala nn…simba leo atakufa tu,nawashaur viongoz wa simba waangalie mpira vibanda umiza 😂

      Reply
    29. Allen Kishenyi on April 20, 2024 1:08 pm

      Yaani Kwa kelele walizonazo yanga, Simba anashinda Moja bila hii mechi. Overconfidence Kwa yanga imezidi sanaaaa. Itawaponza Niko paleeee✍️

      Reply
    30. Pingback: Yanga Dhidi Ya Simba Tutegemee Mchezo Wa Aina Gani? - Kijiweni

    31. Prosper on April 20, 2024 1:26 pm

      Kwa upande wangu naona yanga ana nafasi kubwa ya kushinda kwa kua ukiangalia hata katika mashindano ya CAF dhidi ya mamelod yanga alionyesha uwezo kubwa sana ukilinganisha na simba.lakini pia kataka msimamo wa ligi kuu yanga ameonyesha ubora wake zaidi na ana wachezaji wenye uwezo wa kuichezesha timu kama mudathiri,nzengeli na pacome zouzoua

      Reply
    32. Felly Leffy on April 20, 2024 1:43 pm

      Derby siku zote haitabiriki lakini naona kabisa simba anashinda goli moja

      Reply
    33. Rajab on April 20, 2024 1:44 pm

      Yanga 2 simba 2

      Reply
    34. Coelestine Laurence Rutasindana on April 20, 2024 5:29 pm

      YANGA 2. SIMBA 1

      Reply
    35. Pingback: Hapa Ndipo Ambapo Walikosea Simba Na Kufungwa - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.