Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya naneย
“Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba kingineย ikisemaย
“Safi” wakimaanisha kuwa vyumba vyao vipo salama hapo ndipoย Faudhia aliposhtuka kuwa anapaswa kuwa nje ya chumba harakaย sana ili awawahi Wanaume hao, alifanya hivyo upesi sana hukuย akiwa ameelekeza Bastola yake mbele mahali ambako sauti hizoย zilitoka, wale wanaume hawakuisikia sauti ya tatu ya mwenzaoย ndipo walipotoka nje haraka ila walikuwa wamechelewa,ย walikutana na mishale ya risasi kutoka kwa Faudhia, Msichanaย kutoka Mbeya, aliwamaliza kimya kimya bila kusikika popoteย sababu bastola ilikuwa na kiwambo cha kuzuia sauti . ENDELEAย
SEHEMU YA NANE
Aliikumbuka vyema ile ramani, ramani ilisema kuwa kwenyeย kordo hiyo mbele kwenye ukuta ndipo ulipo mlango wa kuelekeaย ilipo chemba, alipoangalia ukuta huo aliona kulikuwa naย picha, aliifuata na kuifunua aliona kuna mlango mdogo wa siriย ambao ulifunikwa na picha hiyo kubwa yenye Msaafu, hapoย aligundua kuwa mpango huo wa kuiba pesa haukuwa rahisi kiasiย hicho.ย
Ndani ya China Plaza, Mzee Shayo alizidi kuzama ndani kwaย kutumia ngazi, jengo lilikuwa refu kiasi chake na haikuwaย salama sana kwake kutumia Lifti. Alisogea taratibu tena kwaย umakini wa hali ya juu huku akitambuwa fika kuwa uzembe waย aina yoyote utaondoa Maisha yake sababu watu hao ni hatariย sana.
Kabla hajafika Floo ya tatu alimuona Mlinzi wa kwanza ndaniย ya jengo, alikuwa ametulizana akivuta sigara, alisogea kwaย umakini sana hadi alipomfikia, alimgusa bega la kuliaย alipogeuka alimpa ngumi nzito eneo la pua, alimtuliza kwaย kumzimisha kisha alisonga mbele.ย
Alikagua kila mahali, sehemu zingine alikuta familiaย zilizokuwa zimejificha kwa woga aliwaambia muda wa ukomboziย umefika, alihakikisha anamfikia Mzee Shomari kwa mara ya piliย baada ya miaka mingi kupita, akiwa ameshafika floo za juuย kabisa alisikia sauti ya Mtoto akiwa analia, sauti hiyoย ilimkumbusha mbali sana alipokuwa mdogo wakati Nyumba yaoย ilipokuwa inawaka moto na kuwateketeza Wazazi wake woteย wawili, wazo hilo lilimtoa kwenye lengo lililo mbele yake ileย anatahamaki alimuona adui mbele yake, alimchapa risasi,ย kelele za Risasi ziliposikika ziliamsha hali za maadui zakeย na kujuwa kuwa eneo hilo halikuwa salama.ย
Yees!! Chogo alimfuata Selina na kumwambiaย
“Pole sana kwa kila kilichotokea hapa, haikuwa nia yanguย kukufanyia vile bali upendo ulioniingia ghafla, natamaniย kukuona ukitabasamu tena katika Maisha yako japo najuwaย itakuwa ngumu sana” Maneno ya Chogo yaliamsha mchozi na kilioย kwa Selina, alimwambia Chogoย
“Wewe siyo Binadamu, huna utu, hufai hata kusamehewa” Alisemaย kwa hasira sanaย
“Selina! Nakupenda sana, nahisi upendo wako kwenye damuย yangu, nazisikia punzi zako kwenye masikio yangu, kilio chakoย ni huzuni kwangu! Unapaswa kupumzika” Alisema Chogo kishaย aliachia tabasamu lililomshangaza Selina, Chogo alipiga hatuaย kadhaa ili kuondoka kisha alimgeukia Selina na Kumwambiaย tutaonana siku moja, Chogo alifyatua risasi na kumuuwa Selinaย akiwa juu ya Meza, haraka alikimbilia kwenye chemba ya siriย ambayo aliwaambia vijana wake atawakuta huko kisha safari yaoย kuelekea Upanga ilianza.ย
Ndani ya Chemba hiyo, Faudhia alikuwa akisogea kuelekea Benkiย kuu wakati huo Chogo na vijana wake walikuwa wakielekea alipoย faudhia ambako ndiko iliko njia ya kuchomoka kwenye chembaย hiyo yenye giza.ย
Chogo na vijana wake walikuwa na shahuku ya kuwa Mamilionea,ย Faudhia alikuwa na shahuku ya kuhitimisha ugaidi huo. Mudaย huo Mkuu mpya wa Kitengo cha Usalama wa Taifa alikuwaย akiwasiliana na Rais, kilichosubiriwa ni amri ya Raisย kuhakikisha wanaishambulia benki hiyo mara moja. Punde waliwaona Mateka waliokuwa ndani ya Benki hiyo wakikimbiaย hovyo kuelekea nje, ilibidi wapeane taarifa kuwa wanapaswaย kwanza kuwa watulivu huku wakiwa makini na Mateka hao kuwaย huwenda wakawa wamechanganika na Magaidi.ย
Iliwabidi wawahoji Mateka hao, walisema kile walichokionaย lakini kilichowaduwaza Askari ni namna mateka hao walivyosemaย kuwa Watekaji walikuwa wameshaondoka, iliwalazimu kuingiaย dani ya benki hiyo kwa utulivu na umakini wa hali ya juuย sana, walichunguza kila kona walikuta mwili wa Selina,ย walimkuta Gavana akiwa hoi sana baada ya kuvuja kwa damuย nyingi, Mke wa Gavana alikuwa akilia sana kwa kuhisi Mumeย wake angelikufa.ย
Mkuu mpya wa kitengo cha Usalama wa Taifa alimwambia Raisย kuwa Huyo Selina ameshauawa, pesa zote zilikuwa zimeshaondokaย ndani ya Benki hiyo na haikujulikana magaidi walikuwaย wameondoka vipi eneo hilo kwani hata dalili tu kuwaย walichimba mahali haikuonekana, iliwapa maswali ya kujibuย Askari wa Kitengo na wale wa kawaida, walihangaika kujuwaย Magaidi hao waliondoka vipi ndani ya Benki hiyo, kumbeย walichofanya Magaidi hao ni kupita juu ya Siling Board naย kutokea chumba kingine ambacho kilikuwa cha siri sana ndaniย ya benki hiyo kisha walichimba huko na kutengeneza njia hivyoย ukiingia kwa kawaida tu huwezi kuona japo alama kuwaย walichimba wapi, Naam!! Huyo ndiye Mzee Shomari aliyekuwaย akiratibu yote hayo na kusuka mipango ya hatari sana.ย
“Mkuu hakuna mahali ambapo panaonesha hawa jamaa wametoka,ย pengine wapo humu ndani wamecheza mchezo ili kuvuruga akiliย zetu” alisema Mkuu mpya wa kitengo akiwa anazungumza na Raisย
“Inawezekana vipi Dinonga? Hicho ni kiasi kikubwa sana chaย pesa, hakikisha hawaondoki” Alisema Rais kwa sautiย iliyoashiria kuwa alikuwa amepagawa.ย
Msako uliendelea ndani ya Benki kuu huku taarifa za habariย zikiendelea kuripoti tukio la kuwa huru kwa mateka waliokuwaย ndani ya Benki hiyo.ย
Mzee Shayo akiwa amejibanza kwenye kona huku tayari akiwaย ameshaamsha akili za maadui zake ndani ya jengo la Chinaย plaza, alijikuta akiwa anahema juu juu huku akili na moyoย wake ukizidi kumwambia kuwa kazi hiyo ni hatari sana. Mlangoย ambao wale maadui walikuwa wakitokea ndiyo sehemu ambayo Mzeeย Shomari alikuwemo.ย
Mzee Shayo alifumba macho yake na kuibusu Bastola aliyoishikaย mkononi, zaidi ya Wanaume sita walikuwa wakisogea mahaliย ambapo Mzee Shayo alikuwa amejificha tena wlaikuwa makiniย sana baada ya kutambuwa kuwa Mtu huyo alikuwa hatari sanaย kwao.ย
Mzee Shayo aliutumia ufundi wake kwa kusoma milio ya hatua yaย maadui hao kisha akatambuwa namna walivyokuwa wamejipanga,ย alihesabu 1,2,3,4,5,6 kisha alijitoa mafichoni kama chuiย mwenye hasiraย
Alifanya kama vila anakatisha kwenye korido kutoka ukutaย mmoja hadi mwingine huku akiwa amefumba macho yake, hisiaย pekee ndizo zilizokuwa zikimuongoza, alifyetua risasi sitaย ambazo aliamini zilikuwa ndiyo misumali ya kuwamaliza Maaduiย hao, sauti za kuanguka zilisikika, Ndiyo!! Mzee Shayoย alifanikiwa kuwamaliza maadui hao sita kwa kutumia hisia zakeย kali za Kijeshi. Alipofika ukuta mwingine alijipa muda waย kuendelea kusikiliza tena lakini hakukuwa na sauti ya hatuaย hata moja iliyokuwa ikisikika.ย
Aliweka vizuri bastola yake kisha alichomoka kwa makini sana,ย alisogea taratibu akiwa anaegemea ukuta huku Bastola yakeย ikielekeza kwenye ule mlango ambao wale maadui walikuwaย wametokea, alipiga hatua 10 za Kijasusi hadi alipofika,ย mlango ulikuwa wazi na hakukuonekana kuwa na dalili za kuwaย na Mtu kwenye chumba hicho, aliona chupa za vinywaji naย Michoro baadhi ya tukio walilokuwa wakilifanyaย
Aliona ni bora azidi kupandisha juu ambako kulikuwa na hiyoย Helkopta ili kama Mzee Shomari anatoroka aweze kumnasa.ย
Tuachane na Mzee Shayo, sasa turudi ndani ya Chemba yaย kusafirishia pesa, Chogo na Watu wake walizidi kuchanjaย mbunga bila kujuwa kuwa Faudhia alikuwa akienda upande wao,ย walipofika katikati ya safari yao Chogo aliwaambia vijanaย wake watulie, alihisi ujio mbele yao, ni kweli Faudhiaย alikuwa mbele yao, naye alihisi ujio wa Watu. Mkononi alikuwaย na Bastola huku Bastola nyingine akiwa ameiweka kiunoni,ย alijiweka sawa huku Chogo na Watu wake wakijiweka sawa iliย kukabiliana na hatari iliyo mbele yao, eneo ambaloย liliwatenganisha Faudhia na Timu ya Chogo ni sehemu yenyeย kona, Faudhia alizima tochi yake ili kuwe giza, upande waย pili Chogo naye aliwaambia vijana wake wazime tochi zao.ย Walivalia miwani ambazo ziliwasaidia kuona kwenye giza,ย walikuwa wamejipanga huku kila mmoja akiwa na Begi moja lenyeย pesaย
Chogo alituma Watu wawili wasogee mbele zaidi kuangaliaย kulikuwa na nini, Faudhia alishashtuka aliweka sawa Bastolaย yake ili awashambulie, walipojitokeza japo kulikuwa na gizaย
Faudhia aliweza kucheza na hisia kama alivyofanya Mzeeย Shomari na ndiyo yalikuwa mafunzo ya kupambana na adui paleย ambapo unahisi kwa macho ya kawaida huwezi kufanya hivyo,ย alisikiliza hatua za Wanaume hao wawili akajuwa namna walivyoย kaa, wanaume hao walikuwa na AK47 mikononi mwao hivyo Faudhiaย alipaswa kuwa makini zaidi, alifumba macho na kuinyanyuaย bastola yake hadi usawa ambao aliona unafaa.ย
Aliendelea kusikiliza hatua zao kisha alifyatua risasi mbiliย kwa kutumia Bastola yake ambayo ilifungwa kiwambo, risasiย hizo zilifika kwenye paji la uso la kila mmoja, japo sauti yaย risasi haikutoka lakini sauti ya kuanguka kwao iliwashtuaย Akina Chogo ambao haraka walianza kurusha risasi mbele,ย Faudhia alijificha mahali huku ule mwanga wa zile risasiย ukimfanya aone watu aliowauwa kuwa walikuwa wamevalia miwaniย za kuona wakati wa giza, baadaye risasi hizo zilikoma.ย
Hakuna risasi iliyomfikia Faudhia kwenye mwili wake kwasababuย alikaa kwenye kona, alipoona ukimya umetawala alipigaย mahesabu ya kuichukua miwani, alitoa bastola zake mbili kishaย aliziweka sawa, alijichomoa na kuanza kurusha risasi kwaย lengo la kuwazuga huku haraka akichomoka na kufika zilipoย zile maiti mbili, alisogea kwa mmoja na kumvua ile miwani ilaย bahati mbaya alipigwa risasi ya Bega, alijibu mapigo hukuย akiokota AK47 kisha alirudi kujificha, alikuwa na maumivuย makali ya bega.ย
Alichana kilemba kisha alijifunga kwenye bega kwa usaidizi waย meno yake, alivalia miwani akawa anaona kama kwenye mwangaย vile, kisha aliiweka sawa AK47 kwa ajili ya majibizano ambayoย yalianza kuwashtua polisi walio ndani ya Benki hukuย wakijiuliza risasi hizo zilikuwa zikitokea wapi, Chogo naย timu yake walijipanga vizuri, walikuwa kama Watu 11ย waliobakiaย
Faudhia alianza kutoka pale huku akisogea kwa tahadhariย kubwa, alikuwa na ujuzi wa kulenga hivyo ilikuwa kazi rahisiย sana kwake kukabiliana na Wanaume hao, alipochungulia alionaย miguu yao ikisogea, alilenga miguu ya Watu wawili akafyatuaย risasi, walipoanguka aliwamaliza moja kwa moja na kufanyaย idadi yao kupungua, Alizidi kuwamaliza kwa kuwavizia hadiย alipofanikiwa kuwabakiza maadui wanne tu, chogo akawaambiaย
“Turudi ndani ya Benki” Alisema kisha waliokota mabegiย machache huku mengine yakiwa chini, waliona hawatawezaย kukabiliana na Hatari hiyo huku wakishindwa kujuwa kuwa Mtuย huyo alikuwa peke yake au kilikuwa kikundi cha Watu.
“Benki itakuwa imeshavamiwa na askari” Alisema mmoja waย vijana wakeย
“Sasa tufanye nini, tusogee tukafe?, turudi ndani ya Benki”ย Alisistiza Chogo, wakiwa wanarudi, Faudhia aliwatungua wawiliย kati yao na kuwabakisha wawili ambao ni Chogo na mwenzakeย mmoja, chini huko hakukuwa na mtandao labda angewasiliana naย Mzee Shomari na kumuomba msaada hata hivyo Mzee Shomariย mwenyewe alikuwa akijivuta na mguu wake mbovu kuifuata ilipoย Helkopta ili aweze kukimbia baada ya kuona Mambo hayapo sawa.ย
Mzee Shayo alikuwa nyuma yake akiwa anakuja kwa kasiย kuhakikisha Mzee Shomari hachomoki, ilikuwa ni wahi nikuwahi,ย kama siyo Mguu mbovu wa Mzee Shomari basi angelikuwaย ameshaifikia Helkopta, alifanikiwa kuufungua mlango wa mwishoย kisha Mtu mmoja alishuka kutoka kwenye Helkopta ili ampeย msaada Mzee Shomari, ghafla jamaa huyo alipigwa risasi yaย kichwa na Mzee Shayo ambaye alikuwa ameshafika eneo laย Mlango, kuona hivyo Mzee Shomari aligeuka akamwambia Mzeeย Shayoย
“Ni bora uniache niondoke vinginevyo nitabonyeza hii rimotiย kwa ajili ya kutegua mabomu yote yaliyopo kwenye makambi yaย Jeshi Nchi nzima” Alisema Mzee Shomari, maneno yake yaliletaย uzito kwa Mzee Shayo alifikiria afanye nini huku Mzee Shomariย akiwa anataka kubonyeza Kitufeย
“Sawa!! Nakuacha uwende” Alisema Mzee Shayo huku akiwekaย silaha yake chini, Mzee Shomari alicheka sana kwa kuaminiย kila jambo linaenda kuwa sawa, alimwambia Mzee Shayoย
“Itupe hiyo Bastola” Alisema kwa mkwara, Mzee Shayo aliiokotaย na kuitupa chini ya ghorofa hilo, hapo Mzee Shomari aliaminiย kuwa yupo salama kumbe nyuma ya Mgongo wa Mzee Shayo kulikuwaย na Bastola aliyoificha, Mzee Shomari alipogeuka ili apandeย Helkopta alipigwa risasi nyingi mgongoni, hakuamini machoย yake, alitamani kubonyeza kitufe ili afe na Askari wengiย lakini nguvu ya kufanya hivyo ilimuisha hatimaye aliangukaย chini, haraka Mzee Shayo alifyetua risasi kwa dereva waย Helkopta ambaye alitaka kutoweka eneo hilo, alimpiga risasiย ya shingo na kusababisha Helkopta kuruka bila uelekeo maalumย hatimaye ilienda kuripuka kwenye kituo cha Mabasi ya mwendoย kasi eneo la Gerezani.ย
Alishusha pumzi zake kisha alipiga magoti, kazi ilikuwa ngumuย sana kwake, alijikuta akicheka kwa maumivu makali ndani yaย nafsi yake, ngoma ilikuwa ngumu upande wa Faudhia ndani yaย Chemba ya pesa, Chogo alikuwa akirudi ndani ya Benki wakatiย huo Faudhia akiwafuata kwa nyuma kuhakikisha hakunaย atakayetoka salama eneo hilo, majibizano ya risasiย yaliendelea ndani ya chemba hiyo, polisi walio juuย walifanikiwa kufahamu kuwa risasi hizo zilikuwa zikifyatuliwaย chini kabisa ya Ardhi hivyo waligundua huenda Magaidi wapoย chini wanajibizana na askari wengine.ย
Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa alimpa taarifa Mkuu waย Nchi kwa kile kichokuwa kikiendelea huko Chini, Raisย alimwambia asikilizie ni jambo gani lilikuwa huko chini.ย
Akina Chogo walijitahidi kukimbia kurudi ndani ya Benkiย lakini Faudhia alikuwa makini kuwawinda, alimpiga risasi mtuย wa Chogo, iliamsha hasira sana kwa Chogo, alisimama kishaย aliokota AK47 kisha alianza kumimina risasi nyingi mfululizoย upande wa Faudhia, alifanikiwa kumfanya Faudhia alale chiniย huku akijificha kwenye moja ya maiti, alipomimina risasi kwaย hasira hadi alipozimaliza, Faudhia alipojuwa kuwa alikuwaย amemaliza Risasi alisimama akiwa na bastola yake, alipigaย risasi moja mguuni kwa Chogo, alipiga nyingine kwenye bega laย chogo kisha alitaka kumaliza mchezo lakini Bastola yakeย iliisha Risasi.ย
Chogo alichomoka kama Mzimu, Faudhia hakuamini kuwa Mtuย aliyempiga risasi alikuwa akija kama Duma kwenye mbuga yaย wanyama, alimfika Faudhia eneo la tumbo na kuumtupa pembeni,ย wote walikuwa na mawani maalum za kuona kwenye giza.ย
Chogo alikuwa kama amepagawa hivi hakutegemea kamaย angelikutana na upinzani wakati wa kupata kiasi hicho chaย pesa, alimvaa Faudhia na kuanza kumpa mvua ya ngumi ambazoย zilimrudisha tena Faudhia Chini, kabla hajakaa sawaย alishindiliwa na teke tumboni zaidi ya mara tatu haidiย alitema damu.ย
“Nani amekutuma?” Aliuliza Chogo akiwa kama kichaa, alishushaย ngumi nyingine nzito kwa Faudhia na kumfanya azidi kutemaย damu na kuishiwa nguvu, kisha alimuacha akiwa anahema juu juuย kama Mgonjwa wa presha, aliokota jiwe zito ili amshindilieย Faudhia lakini alisita kufanya hivyo kisha akamwambiaย
“Nakuacha ufe taratibu” Chogo alilitupa jiwe hilo pembeniย kisha aliokota mabegi mawili yenye pesa na kuanza kuyaburuzaย ili atoke nayo nje ya chemba. Japo Faudhia alikuwa katikaย hali mbaya sana lakini alifikiria kama jamaa huyoย angeliondoka ndani ya Chemba hiyo ingekuwa kazi yoteย aliyoifanya ni sawa na bure tuu.ย
Alijivuta kwa kazi sana ili aokote AK47 ambayo ilikuwa kandoย yake, Chogo alikuwa akizidi kusepa huku akiikaribia ile konaย ambayo kama atazama hapo basi Faudhia atamkosa Chogo na jinsiย alivyo na hali mbaya asingeliweza kunyanyuka na kumfukuzia,ย alifanikiwa kuikota kisha aliiweka sawa, alihema kwa nguvuย kisha alivuta hisia zake, akafyatua Risasi kuelekea kwaย Chogo, alikuwa na hisia kali sana na kufanikiwa kumpiga Chogoย kwenye kichwa, Chogo alienda Chini.ย
Hali ya Faudhia haikuwa nzuri alikuwa akivuja damu nyingiย ndani ya Chemba hiyo yenye giza, aliona kama angeliendeleaย kubakia hapo basi angelikufa kwa kukosa hewa na kuvuja damuย nyingi, Alijivuta kuelekea Benki ambayo ilikuwa na Askari naย hakukuwa na taarifa yoyote kuwa kulikuwa na Askari wa siri waย kitengo aliyekuwa akifanya operesheni ndani ya Chemba hiyo,ย Askari walikuwa tayari wamefanikiwa kuona mahali walipopitaย akina Chogo yaani pale kwenye dali kabla ya kutokea kwenyeย chumba cha siri ambacho walichimba hiyo chemba.ย
Walianza kuhisi ujio wa Mtu kwenye Siling Board, Mkuu waย kitengo alitoa maelekezo wafyatue risasi, Ooooh!! Risasiย zilifyetuliwa za kutosha hadi pale alipowaambia waacheย kufanya hivyo, ukimya ulitawala kwa sekunde kadhaa kishaย waliona eneo hilo likibomoka, mwili wa Mtu ulianguka hadiย chini ya Sakafu, ulikuwa ni mwili wa Faudhia.ย
Alikuwa akitema damu nyingi sana, muda huo huo aliingia Mzeeย Shayo, alipoangalia vizuri alimuona Faudhia, alimuonaย Msichana aliyemkuza kama Mtoto wake akiwa amelala chini yaย sakafu akiwa anatokwa na damu nyingi huku akiwa na matunduย mengi ya risasiย
“Faudhiaaaaa!!!” Aliita Mzee Shayo kwa uchungu wa hali ya juuย sana, alimkimbilia Faudhiaย
“Faudhia! Faudhia Mwanangu!! Huyu ni Askari wa kitengo naย ndiye aliyekuwa akifanya operesheni hii kwa siri, mmeniuliaย mwanangu” Alilia Mzee Shayo wakati Faudhia akiwa anahema kwaย shida sana, alifanikiwa kumuita Mzee Shayoย
“Ba….baaaa” Aliita na kukata kauli yake, Faudhia alifiaย mikononi mwa Mzee Shayo, alilia sana Mzee Shayo, tena kwaย Uchungu mkubwa sana.ย
“Nimekuponza Mwanangu!! Faudhiaaa, Faudhiaaaa”” alilia kwaย Uchungu, Mwili wa Faudhia ulichukuliwa kupelekwa Hospitaliย kwa ajili ya Uchunguzi, Baadaye Mzee Shayo alitoa taarifa kwaย makambi ya Jeshi kuwa Mabomu yaliyotegwa humo yaliwezaย kuzuiliwa, Jeshi lilitoka na kuhakikisha linakomboa Mijiย iliyokuwa chini ya Kundi la ESS.ย
BAADA YA WIKI MOJA.
Ndani ya Ndege ya Shirkika la Emirates, Mzee Shayo alikuwaย anasafiri kuelekea mapunzikoni baada ya kumfyeka Mzee Shomariย na kundi lake, mkononi alikuwa na picha ya Faudhia, aliibusuย kisha aliiweka Mfukoni. Aliitoa simu moja ambayo aliichukuaย kutoka kwa Mzee Shomari, alitafakari jambo lililomshangazaย sana.ย
Ndani ya simu ya gaidi Mzee Shomari kulikuwa na namba ya Raisย wa Nchi, na namba hiyo ilionekana kuwasiliana na Mzee Shomariย siku ya tukio tena kwa muda mrefu, aliwaza Rais alikuwaย akiongea nini na Mzee huyo? Alivuta punzi kisha alisemaย
“Sitostaafu, nitahakikisha nagundua siri ambayo Raisย anaificha” Aliiweka simu hiyo ndani ya Mfuko kisha aliendeleaย na safari yake ya kuelekea Brazil kupumzika.ย
MWISHO.
IFUATE RIWAYA YA AINA GANI? MAPENZI , UJASUSI , UCHAWI au MAISHA?ย COMMENTS ZIKIFIKA 100 Naachia Kesho MAPEMA SANA
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย




144 Comments
Uchawi
No zombie
Mapenzi
Ujasusi
Mapenzi
Raisi alijua njama hii, Nani alimpa taarifa ya chemba ya kutunzia pesa benk kuu kuwa Ni Selina anajua?
Admin nijibu txt yangu whatsap
Ujasusi
Mapenzi
Mapenzi
Ujasusi
Uchawi kdg tuweweseke ucku
Ujasusi
ujasusi
Mapenzi
mapenzi
Mapenziii
Uchawi
Dah Faudhia kakufaaa
Mapenzi
Ujasusi! Ila io kama ingeendelea ingekuwa safi sana ili tujue siri baina ya Rais na Mzee Shomari.
Mapenzi
Mapenzi
UJASUSI IS ALWAYS THE BEST ASEEE….
BRING BACK ๐ AGAIN LAKINI IWE MICH BETTER THAN THAT ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Lete kama hy mkuu
Sema kaka mkubwa anazingua katueka sana
Nimeumua kwa nin fauthia amefariki dahh
Daaah!! Kazi nzuri sana admin stay blessed, i love your work.
Ujasusii
Mapenzi
c1guw5
tjv19x
hodz1j
9t2qsx
sw7lxr
z9jm2h
lfswrxiwxftdopvtodpzkjkrnmfoji
lkyztduwjxyplpizxknwuutimrfliw
2asjbu
Apply now and unlock exclusive affiliate rewards! https://shorturl.fm/DK3fr
Join our affiliate community and earn moreโregister now! https://shorturl.fm/sA4fO
Your network, your earningsโapply to our affiliate program now! https://shorturl.fm/ZWode
Drive sales, collect commissionsโjoin our affiliate team! https://shorturl.fm/IfhrA
Get started instantlyโearn on every referral you make! https://shorturl.fm/gMbFS
b6ubhd
Join our affiliate program and start earning commissions todayโsign up now! https://shorturl.fm/r8NGd
Monetize your audience with our high-converting offersโapply today! https://shorturl.fm/Ga0o8
Boost your income effortlesslyโjoin our affiliate network now! https://shorturl.fm/Csvlf
Drive sales and watch your affiliate earnings soar! https://shorturl.fm/0zj8I
Monetize your audienceโbecome an affiliate partner now! https://shorturl.fm/EdNuf
kzjjwneonffwpeqpklsxuowdwqzesl
seuhsuflqlloqrroqjxwuleqertuqq
Become our affiliateโtap into unlimited earning potential! https://shorturl.fm/0ORw3
Turn referrals into revenueโsign up for our affiliate program today! https://shorturl.fm/IKbcP
Monetize your audienceโbecome an affiliate partner now! https://shorturl.fm/vzZrz
Share your unique link and cash inโjoin now! https://shorturl.fm/P3BQS
Drive sales, collect commissionsโjoin our affiliate team! https://shorturl.fm/pnMG8
Join our affiliate program today and earn generous commissions! https://shorturl.fm/dUhWm
Monetize your influenceโbecome an affiliate today! https://shorturl.fm/BDX73
Share our link, earn real moneyโsignup for our affiliate program! https://shorturl.fm/vwymY
Unlock exclusive rewards with every referralโapply to our affiliate program now! https://shorturl.fm/qxT3D
Share our products, earn up to 40% per saleโapply today! https://shorturl.fm/y7PGQ
Sign up now and access top-converting affiliate offers! https://shorturl.fm/PugT5
Join our affiliate community and maximize your profitsโsign up now! https://shorturl.fm/CGHjR
Join our affiliate program and start earning commissions todayโsign up now! https://shorturl.fm/azBnr
Join our affiliate family and watch your profits soarโsign up today! https://shorturl.fm/AxFCn
I always used to read paragraph in news papers but now as I am a user
of net so from now I am using net for content, thanks to web.
Promote our brand and watch your income growโjoin today! https://shorturl.fm/oi2D5
Become our partner and turn referrals into revenueโjoin now! https://shorturl.fm/6hSqY
Partner with us for high-paying affiliate dealsโjoin now! https://shorturl.fm/euMqn
Partner with us and enjoy high payoutsโapply now! https://shorturl.fm/iwnVy
Earn big by sharing our offersโbecome an affiliate today! https://shorturl.fm/B2zLU
Unlock exclusive rewards with every referralโenroll now! https://shorturl.fm/Jzpl1
Promote our brand and watch your income growโjoin today! https://shorturl.fm/e4JMq
Boost your profits with our affiliate programโapply today! https://shorturl.fm/sc09x
Boost your income effortlesslyโjoin our affiliate network now! https://shorturl.fm/m2tJf
Boost your income effortlesslyโjoin our affiliate network now! https://shorturl.fm/m2tJf
https://shorturl.fm/wCSxF
https://shorturl.fm/OIxJs
https://shorturl.fm/bNIFR
https://shorturl.fm/lH9Fv
https://shorturl.fm/plSeC
https://shorturl.fm/92g2o
https://shorturl.fm/X1zkp
https://shorturl.fm/Xj33W
https://shorturl.fm/2gAda
https://shorturl.fm/iqm1h
https://shorturl.fm/6ajQh
https://shorturl.fm/z33uV
https://shorturl.fm/mh658
https://shorturl.fm/b4Zk5
https://shorturl.fm/yWTva
https://shorturl.fm/bZJt4
https://shorturl.fm/yFR05
https://shorturl.fm/E6dz8
https://shorturl.fm/cqK1o
https://shorturl.fm/KyP1o
https://shorturl.fm/sYo2L
https://shorturl.fm/kWb2t
https://shorturl.fm/yefgV
https://shorturl.fm/uckyF
https://shorturl.fm/EEaNw
https://shorturl.fm/kQx6B
https://shorturl.fm/zmBSz
https://shorturl.fm/yqT0J
https://shorturl.fm/UiwF5
https://shorturl.fm/a6U5u
https://shorturl.fm/IxnCz
https://shorturl.fm/riNDj
https://shorturl.fm/N4Ezl
https://shorturl.fm/KYxNc
https://shorturl.fm/fUBo9
https://shorturl.fm/MUSP9
https://shorturl.fm/MIOrv
https://shorturl.fm/uCMzl
https://shorturl.fm/gZZHd
https://shorturl.fm/hjUpK
https://shorturl.fm/lQiiK
https://shorturl.fm/LkJH0
https://shorturl.fm/dWevn
https://shorturl.fm/AM8It
https://shorturl.fm/hnlkS
https://shorturl.fm/cVnDJ
https://shorturl.fm/PuIPr
https://shorturl.fm/PXxEe
https://shorturl.fm/xbdHL
https://shorturl.fm/y9jyQ
https://shorturl.fm/NjMwb
https://shorturl.fm/tzhCD
https://shorturl.fm/RW11E
https://shorturl.fm/uwCja
https://shorturl.fm/MFG1d
https://t.me/s/Official_1win_kanal/491
https://shorturl.fm/PmXHa
https://t.me/s/Webs_1WIN
https://shorturl.fm/kX6F0
ะัะธัะธะฐะปัะฝัะน Telegram ะบะฐะฝะฐะป 1win Casinะพ. ะะฐะทะธะฝo ะธ ััะฐะฒะบะธ ะพั 1ะฒะธะฝ. ะคัะธัะฟะธะฝั, ะฐะบััะฐะปัะฝะพะต ะทะตัะบะฐะปะพ ะพัะธัะธะฐะปัะฝะพะณะพ ัะฐะนัะฐ 1 win. ะ ะตะณะธัััะธััะนัั ะฒ ะฒะฐะฝ ะฒะธะฝ, ัะพะฒะตััะธ ะฒั ะพะด ะฒ ะพะดะธะฝ ะฒะธะฝ, ะฟะพะปััะฐะน ะฑะพะฝัั ะธัะฟะพะปัะทัั ะฟัะพะผะพะบะพะด ะธ ะฝะฐัะฝะธัะต ะธะณัะฐัั ะฝะฐ ัะตะฐะปัะฝัะต ะดะตะฝัะณะธ.
https://t.me/s/Official_1win_kanal/4511
https://shorturl.fm/GGkP5
https://shorturl.fm/NFgcS
https://shorturl.fm/jVmgh
https://shorturl.fm/O4pEW
aswc3t
Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks! https://accounts.binance.info/tr/register-person?ref=MST5ZREF
**mitolyn reviews**
Mitolyn is a carefully developed, plant-based formula created to help support metabolic efficiency and encourage healthy, lasting weight management.