Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-03

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-02

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-01

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Nini Maana Ya “To Win Both Halves”na “Goal in Both Halves”
    Chuo cha Kubeti

    Nini Maana Ya “To Win Both Halves”na “Goal in Both Halves”

    MhaririBy MhaririMarch 1, 20246 Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Wapo ambao bila shaka watakua wanajiuliza jinsi gani wanaweza kusuka mikeka yao na kubashiri katika masoko haya ambayo sio maarufu sana lakini kampuni nyingi za ubashiri huwa wanaziweka katika masoko yao katika betting yaani ubashiri Nini Maana Ya “To Win Both Halves”na “Goal in Both Halves”.

    Njia hizi ni rahisi sana kwani “To Win Both Halves” maana ake ni kwamba unabashiri kuwepo kwa magoli katika vipindi vyote viwili ambapo ni kipindi cha kwanza na kipindi cha pili na hapa ni kwamba unaweza kuchagua NDIO au HAPANA katika option hii nini utake tena?

    Mfano: Mchezo kati ya AL AHLY vs YANGA endapo utachagua option hii maana ake ni kwamba unachagua timu moja na kuweka ubashiri kwamba watafunga kipindi cha kwanza na kipindi cha pili au hawatafunga kipindi cha kwanza na kile cha pili.

    Al Ahly vs Yanga Sc: Yanga to Win Both Halves – YES

    Al Ahly vs Yanga Sc: Yanga to Win Both Halves – NO

    Kushinda kwako katika soko hili ni vile ambavyo utachagua katika option ambayo utaona ni sawa kwako.

    Katika soko hili jingine la “Goal in Both Halves” maana ake ni kwamba unabashiri kuwe na goli au magoli katika kipindi cha kwanza na cha pili katika mchezo husika hii ni tofauti kidogo na option ya kushinda katika vipindi vyote viwili kwakua hapa unachagua magoli zaidi wakati ile ya mwanzo ni kwamba unachagua ushindi wa moja kwa moja kwa timu husika kwenye vipindi vyote viwili.

    Mfano: Mchezo kati ya AL AHLY vs YANGA endapo utachagua option hii maana ake ni kwamba unachagua kupatikane kwa goli kwa timu yoyote ile yaani ifunge kipindi cha kwanza au cha pili na ikitokea kuwa kipindi kimoja kikaisha hakuna goli kwa hyo timu basi mkeka umechanika au ikitokea kuwa umebashiri moja kwa moja tu kuwa kupatikane goli vipindi vyote bila kuchagua timu na ikatokea basi umeshinda.

    Al Ahly vs Yanga Sc:

    Ikitokea Kipindi cha kwanza 1:1 na Kipindi cha pili 1:1 yaani hawakufungana basi mkeka umeenda na maji lakini ikatokae kipindi cha kwanza 1:1 na cha pili ikawa 2:1 basi umeshinda.

    SOMA ZAIDI:  Nini Maana ya “GG in Both Halves” Katika Betting?

    jinsi ya kubeti

    6 Comments

    1. Pingback: Mkeka wa leo Jumamosi Huu Hapa - Kijiweni

    2. Pingback: Mkeka wa Leo Jumatatu Anza Wiki Kibabe - Kijiweni

    3. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumanne Odds Kibao - Kijiweni

    4. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatano Mechi Za UEFA - Kijiweni

    5. Pingback: Mkeka Wa Leo Alhamis Wenye Mechi Za Europa - Kijiweni

    6. Jerry on January 9, 2025 8:18 am

      It’s so 👍

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi July 14, 2025

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-03

    Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya pili Alipiga magoti na kujiinamia huku chozi likimtoka Zahoro,…

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-02

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-01

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.