Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Mkeka Wa Leo Jumanne 16/04/2024
    Chuo cha Kubeti

    Mkeka Wa Leo Jumanne 16/04/2024

    MhaririBy MhaririApril 16, 20244 Comments2 Mins Read684 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    mkeka
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Karibu sana kwenye mkeka wa leo jumanne kutoka Kijiweni ambapo tunaiendeleza wiki na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

    Mostaganem – JSM Tiaret

    Mostaganem Win

     

    CSKA Moscow – Baltika

    CSKA Moscow Win

     

    Bolton – Shrewsbury

    Bolton Win

     

    Peterborough – Fleetwood

    Peterborough Win

     

    Portsmouth – Barnsley

    BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

     

    Mansfield – Accrington

    1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

     

    Oxford City – Bromley

    1X2 & BTS: (2 & YES)

     

    Banbury – Boston Utd

    Boston Utd Win

     

    Atherton – Macclesfield

    Macclesfield Win

     

    Linfield – Coleraine

    Linfield Win

     

    Dungannon – Loughgall

    1st Half Total: (OVER 0.5)

     

    Newry City – Carrick Rangers

    DC & BTS: (X2 & YES)

     

    Barcelona – PSG

    Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

     

    Dortmund – Atl. Madrid

    1st half: both to score: (NO)

     

    Famalicao – Sporting CP

    Sporting CP Win

    Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

    Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

     

    SOMA ZAIDI: Nini maana ya GG, over/under 0.5 and over/under 1.5 kwenye kubashiri mpira wa miguu

     

     

    mkeka wa leo

    4 Comments

    1. Joseph on April 16, 2024 10:20 am

      Mkeka ni wa moto nimeuchukua naingia betpaw apa nijaribu bahati

      Reply
    2. Nyatu on April 16, 2024 10:21 am

      Uko poah

      Reply
    3. Gift Mwaipopo on April 16, 2024 12:01 pm

      Nice

      Reply
    4. Zawadieli on April 16, 2024 12:13 pm

      Hapo k a Barcelona vs PSG utachana

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.