Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Kwanza
“Nitaongea na Mama yako” alisema kisha tuliendelea na safari ya kuelekea Kanisani, tulipofika nilimuacha akanipatia pesa kama Elfu 50 hivi kisha akaniambia nisimwambie Mama Maana ataichukua
“Sitamwambia Anko”
“Haya natumaini mapishi yako yatakuwa Bul bul leo Veronica”
“Ha!ha!ha!” nilikuwa napenda sana kucheka nilikuwa siwezi kununa yaani, nilifurahi kisha nilipanda daladala na kurejea Nyumbani. Endelea
SEHEMU YA PILI
Zile pesa niliziweka kwenye begi langu, nikasema nitazitumia nikiwa chuo ili nisimkwaze Mama maana Anko alisema nisimwambie, niliandaa chakula siku hiyo.
Nilikipika haswa, maana Mama alikuwa akiujuwa ufundi wangu kwenye mapishi hasa ya ndizi.
Nilichemsha na Maziwa, Usiku tulijumuika pamoja tukala zile ndizi
“Veronica mapishi yako ni hatari sana” alisema Mjomba “Basi pale bichwa litakuwa kubwaa” Mama akadakia “Jamani Mama! Sasa si ananisifia tu”
“Sijawahi kula ndizi tamu kama hizi Veronica, nataka nikupe zawadi”
“Zawadi gani hiyo Anko?”
“Tukatalii Mlima Kilimanjaro”
“Mh! Kutalii tena Kaka?”
“Eeeh! nataka nimpeleke akauone Mlima Kilimanjaro, sio vibaya kama Mtoto akifanya utalii wa ndani istoshe yeye anasomea Utalii, ni kama vile anaenda kufanya kwa vitendo”
“Haya! Sawa” Mama alikubali, nilifurahi sana kusikia amekubali maana wakati mwingine kukaa tu nyumbani kulinifanya niwe mpweke. Niliandaa nguo za kuvaa huko
Asubuhi Mapema tulijiandaa ili twende tukafanye utalii kama Mjomba alivyosema, Mama alitutaka tuwe Makini sana Maana hakuwahi kwenda huko
“Sanga Mtunze mwanao” Mama alisema, Safari yetu ilianza wakati jua likianza kuchomoza
Tuliifanya safari kwa masaa kadhaa kabla ya kufika huko, tulifika Mchana maana tulienda kwa mwendo wa taratibu na barabara zilikuwa za kuzunguka sana hadi kuufikia ulipo Mlima Kilimanjaro, nilijipiga picha na kuwatumia Jonas na Konzo ili waone ninachokifanya.
“Itabidi tulale huku Veronica” Alisema Mjomba tukiwa tumepaki gari sehemu ambapo kulikuwa na hoteli, nilishangaa kusikia hivyo
“Nilijua tunarudi leo leo, Mama umemwambia kuwa tunalala huku?”
“Nitaongea nae! Ona ndio tumefika tumechoka tunatakiwa kupumzika sasa ili tuanze utalii japo hatutoupanda Mlima lakini tutaanza jioni, si bora tusubirie tuanze asubuhi mapema sana?” Wazo lake lilikuwa zuri, hofu yangu ikawa kwa Mama yangu Mzazi nilimsisitiza tena amjulishe kabla ya kuchukua hatua yoyote ile.
Ndio, alimpigia Mama ambaye alikubali tulale siku hiyo! Mjomba alikuwa na uwezo kifedha akaniambia nichague hoteli, ikabidi tuanze kutafuta Hoteli nitakayoipenda. Niliona aibu kuchagua wakati mtoa hela ni Mtu mwingine
“Mjomba mi naona hoteli zote ni nzuri tuu, tulale itakayo kupendeza”
“Nimekupa uchague sababu wewe ndio mwenye shughuli, sasa unaponirudishia mimi mpira nashangaa”
“Ukichagua wewe Mjomba ni sawa tu, zote nzuri”
“Sawa! nisubirie kwenye gari” aliniacha nikienda kwenye gari akaingia kwenye moja ya Hoteli kuchukua chumba ili tupumzike siku hiyo ili kesho yake tufanye utalii na turudi Nyumbani.
Kusema ukweli nilipapenda sana, japo palikuwa na hoteli za kitalii eneo lile, wanyama kama ngedere, walikuwa wakipita juu ya miti na kufanya nicheke, nilisikia raha sana, nilirekodi na video ili nipate cha kuwaonyesha rafiki zangu Chuoni, zingine niliziweka kwenye mtandao wa Facebook, Whatssap na Instagram.
Nilipomaliza niliketi, usingizi ukanipitia nikalala pale kumbe Mjomba alikuwa amerudi akawa nae ameketi akisubiria niamke. Nilipoamka nilimuona nae akisinzia
“Anko?” nilimuita
“Niliona umelala nikasema nikuache nisikusumbue Veronica” “Hapana Mjomba ungeniamsha tuu”
“Funguo hii hapa” alinipatia funguo
“Hoteli inaitwa Kijiji cha Nyumbani”
“Ahsante Anko!” nilimshukuru, nilianza kuhisi njaa, Mjomba alinipeleka eneo la Mgahawa ambao ulikuwa karibu na ile Hoteli aliyonitafutia chumba.
Kila mahali alinipa nafasi ya kwanza, tulianza na chakula kisha vinywaji na sehemu ya kupumzika, tulikula kisha tukaelekea sehemu ya mapumziko, hapo Mlima kilimajaro ulipatikana kwa karibu zaidi, baridi lilikuwa kali muda wote huo Jaketi halikubanduka kwenye mwili wangu japo wazungu walikuwa hawajavaa hata mashati. Wanyama walikuwa wakipiga misele yao ya kawaida, sehemu ya Mapumziko na chukula ilikuwa juu.
“Tanzania yetu ni nzuri sana Anko, kama Watu wangelikuwa na utaratibu kama huu basi wangelijionea mambo mazuri ya nyumbani kwao” Nilimwambia Mjomba
“Tena gharama ni nafuu sana kwa Watanzania tofauti na Watu kutoka nje ya Nchi”
Eneo lilikuwa tulivu na la kupendeza sana, tulikaa pale hadi jioni nikawa nasikia kausingizi hivi kutokana na ile safari ya masaa kadhaa kutoka nyumbani hadi Mlima Kilimanjaro, Nilipoanza kusinzia Mjomba aliniambia anipeleke Chumbani nikalale, macho yalikuwa mazito. Akanipeleka hadi Chumbani, sikuwa na Muda wa kuangalia mandhari ya kile chumba bali nilifikia kulala tuu.
Mjomba akachemsha Maji ya moto ili nipate kuondoa baridi ili niweze kulala vizuri, palikuwa na Hiter pale hivyo kilikuwa kitendo cha haraka akawa amemaliza, akaweka Tangawizi kidogo. Baridi la pale nisingeliweza kulala maana nilikuwa natetemeka sana nilihitaji zaidi kitu cha moto japo Usingizi ulikuwa umejaa machoni, haikutosha akaenda bafuni akaniwekea maji ya moto pia.
Alipomaliza aliniamsha, nilipoamka nilimuona akinitazama nilishtuka maana akili yangu ilijua ameshaondoka baada ya kunileta pale chumbani.
“Mjomba?” niliita kwa mshangao, nikiwa nimejifunika blanketi
“Mbona uneshtuka Veronica?” Alisema akiwa ananiangalia kwa ukaribu akiwa ana tabasamu, alikuwa na nywele zake fupi na macho yake madogo yaliyofanana na macho ya Mama yangu!
“Nilijua umeondoka Mjomba!” Nilisema nikiwa nakaa vizuri, bado niliendelea kushangaa tuu
“Amka unywe Tangawizi, huku kuna baridi sana utapata ugonjwa wa tumbo. Ukimaliza ukaoge maji ya moto bafuni kisha ndio ulale vizuri” Aliongea Mjomba, akarudi kukaa kwenye sofa dogo akachukua Tangawizi kwenye Kikombe akawa anakunywa.
“Unaniona mimi niko poa tu sitetemeki kwa baridi ni sababu nakunywa hii” alinionyesha Tangawizi, nilitabasamu kwa kuzuga kwani hofu ilikuwa palepale.
Niliammka na kwenda Chooni, Mkojo ulikuwa umenishika sana, nilipomaliza kukojoa nilirudi pale Chumbani bado nikiendelea kutetemeka.
“Chukua Tangawizi Anko” alinisistiza tena, nilichukua na kuanza kunywa, nilienda kufungua pazia na kuangalia nje, mandhari zilikuwa za kuvutia sana kisha nikarudi kuketi kwenye Kitanda na kuendelea kunywa ile Tangawizi.
Baada ya dakika 5 nilianza kuhisi joto, jasho likianza kunitoka nilimtazama Mjomba na kumwambia
“Najisikia vizuri sana Mjomba”
“Nilikwambia, sasa hapo nenda kaoge maji ya vuguvugu nimekuwekea kule Bafuni” Alisema, nikawa na maswali ni kwanini ananifanyia yote yale wakati nilitakiwa kuyafanya mwenyewe?
“Sawa niko tayari kwenda kuoga”
“Haya utanikuta hapa” Alisema, lengo la kumwambia vile nilitaka atoke ili nibadilishe nguo, niliona aibu nikafikiria kumwambia atoke lakini nikaogopa.
Begi langu la nguo lilikuwa karibu na alipokaa sasa kila nilipotafakari jinsi ya kulichukua nilijikuta nikishindwa. Nikawa nalitazama sana hadi Mjomba aliniuliza
“Unataka begi?”
“Ndio Anko”
Alinisogezea, wakati napekua kwa bahati mbaya nikaiangusha Chupi niliyoishika pamoja na nguo zingine za kubadirisha, nikajikuta naganda huku nikipeleka macho kwa Mjomba ili nijuwe kama alikuwa akinitazama, niligongana na macho yake! Nilijichekesha kisha niliiokota. Mjomba alijikoholesha tu hakusema kitu, Niliingia bafuni haraka, nilipofika nilishusha pumzi.
Kwa dakika zile chache pale Chumbani niliona Kama Mwaka vile, Mjomba Sanga aliniweka katika wakati mgumu sana na kama unavyojuwa kwa sisi Wanawake kitu kujiamini ni kitu kikubwa sana kuliko jambo lolote lile. Baada ya kuoga maji ya vuguvugu nilijikuta nikioga maji ya Baridi.
Nilitumia masaa mawili ili kumzuga Mjomba aondoke lakini ndio kwanza alikuwa akiongea na simu kila wakati, nilimsikia akicheka! nilifikiria cha kufanya nikaona ni bora tu nijitokeze maana hakuwa na dalili ya kutoka pale, nilivalia nguo vizuri na zile nilizozivua nilizibana kwapani.
Nililielekea begi langu na kuzitia mle zikiwa na unyevu unyevu wa maji, nilitakiwa kuzianika japo kidogo tu lakini nilishindwa kwani Mjomba alikuwa makini kunitazama.
“Hivi anawaza nini muda wote badala ya kwenda chumbani kwake?” nilijiuliza, kisha nilimwambia
“Mjomba nataka kulala sasa” Nilisema vile ili tu kumpa ishara kuwa alitakiwa kuondoka pale.
“Sawa! mimi nitalala hapa kwenye kochi Mjomba” alisema na kunishtua
“Huoni kama utajitesa hapo si bora ungeenda kulala chumbani kwako Anko wangu?”
“Nimechukua Chumba kimoja tu Veronica, sikuona kama ni busara kuharibu pesa wakati wewe ni Mwanangu kabisa”
“Mhh!”
“Lala tu hapo Kitandani mimi nitalala hapa alafu wala sio mlalaji kivile nitakesha naangalia filamu tu” Alisema, moyo ulinienda mbio nilitamani hata kumwambia Mama, lakini simu ilikuwa kwenye chaji ilizima muda mrefu tu, nilivuta pumzi kisha nilipanda kitandani na kujifunika Shuka, ile baridi ilikuwa imekata kwa wakati ule.
Uwoga ulinitawala nikiwa nipo ndani ya shuka zito, niliacha nafasi kidogo nikiwa namchungulia Mjomba, nilipoteza imani nae kabisa. Sijui hata usingizi ulinipitia vipi Mimi!!
Nilianza kuhisi kama kuna kitu kinanitekenya, sijui alinitilia dawa za kulevya kwenye Tangawizi maana nililala fofo ndipo nilipoanza kuhisi kama kuna kitu kinanitekenya huku chini, nilijitahidi kufumbua macho.
Ndipo nilipomuona Mjomba akinifanya, nilishtuka nilitumia nguvu kidogo iliyopo kumsukuma lakini haikusaidia, alikuwa tayari ameliigiza dudu lake, nilikuwa nikihisi maumivu makali kutokana na hali ya yangu ya Ubikra. Taa ilikuwa inawaka nikapata kuona damu kwenye shuka, nilikuwa nikipiga kelele ambazo hazikwenda popote.
Hoteli ile ilikuwa imewekwa vioo vilivyokuwa na kazi moja tu ya kuzuia baridi lisipenye ndani, sauti haikupata kutoka nje wala kusikika kabisa licha ya kupiga kelele za kulalamika na kuomba msaada.
“Mjomba unaniumiza Aaaaah!”
“Tulia Veronica, utaanza kusikia raha tuu” alinibana ipasavyo sikupata hata nafasi ya kufurukuta, kila nilipojaribu kujikwamua ilishindikana.
Mjomba alinifanya sana yaani, nilihisi kama vile Dunia ilikuwa ikifika mwisho, dudu lake sijui lilikuwa la saizi ngapi, alinifanya hadi niliacha kupiga kelele kwani hazikusaidia nikawa nalia kwa sauti ya chini, alinifanya hadi alipotosheka.
Niliona Dudu lake likiwa limeoa damu, nililia sana akaenda bafuni kujisafisha kisha akarudi.
“Pole Mjomba”
“Kwanini umenifanyia unyama kama huu? lengo lako la kunileta huku lilikuwa ni hili?” nilisema nikiwa ninalia, Mjomba alinibembeleza lakini haikusaidia kabisa.
“Niache umeniumiza sana Aaah”
“Nenda kajisafishe basi Mjomba alafu tuongee”
“Lazima nitamwambia Mama tu” nilisema kisha nilijikusanya pale kitandani kuelekea Bafuni, Miguu ilikuwa ina maumivu makali, sehemu za siri zilikuwa hazitamaniki kwa maumivu.
Nilipopitisha maji nilihisi kabisa kuna maumivu makali mno, nilijiosha taratibu zile damu! niliporudi chumbani sikuiona ile shuka tena, nikamuuliza Mjomba
“Shuka yenye Damu iko wapi?”
“Nimeitoa”
“Umeitoa umeiweka wapi?”
“Veronica Jamani, nimeitoa Mjomba. Shuka iwe tatizo kweli?”
“Sawa lakini unyama ulionifanyia lazima nimueleze Mama” Nilisema na kujilaza kitandani.
Sikujua aliiweka wapi ile shuka yenye damu, sikutaka kuliweka hilo moyoni na kwenye akili yangu, kilichoniuma ni kitendo cha kunibaka na kunitoa usichana wangu, sikujali kama alikuwa akinitazama maana alishanikera kwa kitendo kile kilichonisababishia maumivu ndani ya mwili na moyo wangu!!
Siku iliyofuata Mapema niliamka nikamuona akiwa amelala nilitamani nimpige na kitu kizito usoni, nikaelekea bafuni nikaoga maji ya moto, nikajikanda kwenye nyeti zangu!! Niliporudi nilimkuta akiwa anaamka pale kwenye sofa, alinisalimia lakini sikuitikia, kila nilipomtazama niliona kama ni sinema vile sikuamini kama Mjomba yangu angeliweza kunifanyia vile.
“Subiri nijiandae tukatalii Mjomba”
“Sihitaji tena, nirudishe nyumbani”
“Kilichotuleta huku ni Utalii Veronica, tuondoke bila kutimiza lengo?”
“Nimesema nirudishe kwetu sihitaji tena” Alipoona nimemkazia akakubali, alipoingia bafuni nilivaa na kutoka ndani nikawa namsubiria nje.
Bahati nzuri wakati namsubiria Mjomba, Mama alinipigia simu. Nikamwambia kuwa tunarudi, aliniuliza kulikoni nikamjibu kuwa nitaongea nae nikifika. Kuhusu utalii nikamjibu kuwa tumeshafanya hivyo tunarudi, wakati simu inakatika Mjomba alikuwa akifika nilipo akaniuliza nilikuwa nikiongea na nani? Sikumpa jibu nilitokea kumchukia sana!
Safari ilianza kurudi nyumbani, nilikaa kimya kabisa yaani sikutaka hata kuzungumza nae. Nilimchukia hadi nilitamani ningekuwa ndio dereva nilitumbukize kwenye korongo ili tufe wote, thamani ya alichokitoa ilikuwa kubwa kwangu! Kila nilipomkumbuka Jonas nilijikuta nikibubujikwa na machozi ya Uchungu! Eti akawa anajifanya kuniuliza ninalia nini, nilitamani kumtukana lakini nikaona nimkalie Kimya tuu, kila mara alikuwa akiniuliza hivyo sasa sijui lengo lake alitaka kusikia nini.
Sasa wakati naendelea kumpotezea nilijikuta napeleka macho yangu nyuma ya gari yaani siti za nyuma kule, gari ilikuwa na siti nne tu, nikawa nimeliona begi lake ambalo halikufungwa vizuri, ile shuka ya damu ilikuwa kwenye begi lake na kwa vyovyote alifanya kuwa siri ndio maana nilipomuuliza hakutaka kunijibu ipasavyo.
Nilishtuka sana, lile shuka lilikuwa na damu zilizotoka kwenye bikra yangu
Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA PILI
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapa
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896