Ilipoishia sehemu ya Kumi na moja ya In the name of LOVE
Moyo Wangu na akili yangu vilikua tayari kusikia chochote kile hata kamaย kitaniumiza kiasi gani lakini Ndiyo ukweli pekee niliouhitaji kuusikia iliย nifahamu mengi yaliyokua yakinitatiza.ย ย
Nilikua kimya huku moyo Wangu ukinidunda, viti vilipoletwa tuliketiย kando ya kile chumba Kisha yule Mzee alishusha pumzi zake akaniulizaย
โUlikua wapi Kijana?โย Endelea
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
โNilipata ajali Baba, ilikua mbaya. Nilikaa Hospitali kwa wiki tatuโย nilisema.ย
โWiki tatu?โย
โNdiyo Babaโย
โNa hizo siku nyingine ulikua wapi Hadi Mdogo wako anafia humu ndani,ย tunamzika kwa kushirikiana na Watu uliokua ukifanya nao kazi?โ nilikaaย kimya, kuhusu kifo Cha Melisa nilikisikia, nilikumbushwa machunguย yaliyoanza kupoa moyoni mwangu, nikajiinamia huku chozi likianzaย kunitoka.ย
โUsilie, wewe ni Mwanaume. Lakini ni Kosa kubwa umefanya kumtelekezaย Mdogo wako hapa Hadi rafiki Yako Sudi alipofanya aliyoyafanya. Kwaย Miaka mitano nimekifunga hiki chumba nikiamini ungerudi hapaย kuchukua kumbukumbu za Mdogo wakoโ alisema Baba mwenye nyumba,ย niliinua kichwa changu huku chozi likiendelea kunibubujika.ย
Nilimtazama kwa macho yenye huzuni huku nikipeleka macho yangu ndaniย ya chumba Cha Sudi, palikua patupu nikajiuliza hizo kumbukumbuย anazozisema zipo wapi.ย
โHizo kumbukumbu zipo wapi?โ nilimuuliza, alikaa kimya kidogo Kishaย akaniambia kwa sauti ya Ubaba.ย ย
โKwa bahati mbaya nimezichoma moto asubuhi ya Leo, nilikata tamaaย niliamini usingelirudi hapa. Kijana kwa Miaka yote ulishindwa kurudi hapaย
kweli?โ aliniuliza swali lile lile lililokua likichanganya akili yangu, nilijiulizaย ndani ya nafsi yanguย
โMiaka yote? Ni Miaka gani anaizungumzia huyu Baba?โ aliponiona nipoย mawazoni alinigutua kwa kunishika bega akaniuliza tenaย
โUlikua wapi?โ Nilivuta hewa kidogo Kisha nilifuta chozi langu halafuย nikamtazama yule Baba kwa macho yaliyojaa ukungu wa mchozi lainiย nikamwambia kwa sauti ya kitetemeshi Cha kulia.ย
โKuna kitu hakipo sawa kwangu Baba, sijui kuhusu Miaka unayoisena.ย Naona ghafla Kuna kitu sikikumbuki, ni wiki tatu tu naona Kila Mtuย anaizungumzia kuhusu Miaka mitano iliyopita na mwingine Miaka minne.ย Nipo gizani Baba naomba unieleze ukweli, Mdogo wangu alifariki lini?โย ย
Nilikua ninalia kwa kuuumia, akili yangu ilifungwa gizani. Kila kitu katikaย Maisha yangu kilianza upya kabisa, Yule Baba alinitazama Kishaย akaniambiaย
โNifuateโ alinyanyuka na kuingia ndani ya kile chumba, moyo Wanguย ulizizima kwa upweke na maumivu. Chumba Cha Sudi kilibebaย kumbukumbu zenye kuniumiza sana, niliishi na Mdogo wangu humo lakiniย kwa Simulizi alifia humo kwa kuuawa na Sudi Kisha Sudi akakimbia.ย ย
Nilisimama huku miguu yangu ikiwa mizito sana kuingia ndani ya hichoย chumba, yule Baba alikua tayari ameingia akageuka na kunipa ishara kuaย niingie, nilinyanyua Mguu wangu huku chozi likinibubujika.ย
Kumbukumbu za Melisa zilipita machoni pangu mithiri ya filamu yaย maumivu. Mguu wangu ulikua baridi sana kama Mtu aliyepooza lakiniย niliusukuma ili niingie ndani pengine ningeona kitu chenye kunikumbushaย kitu kuhusu Miaka inayotajwa.ย
Niliingia ndani ya chumba Cha Sudi, kilikua vile vile, magazeti ya Michezoย yalikua yamebandikwa ukutani, nilitembea Hadi ukutani huku yule Babaย akiniangalia tu. Niliushika Ukuta, nikapapasa Yale magazeti, yalikuaย yamejaa vumbiย
Moja ya gazeti liliandikwa tarehe, ilikua ni Miaka mitano iliyopita. Palikuaย na kitanda kilichofunikwa shuka nyeupe, yule Baba akaniambiaย
โTulimkuta Mdogo wako akiwa ameharibika hapaโ nilianza kulia,ย akanituliza na kuniambia.ย
โNilikitunza chumba hiki niliamini ungerudi japo nilikata tamaa. Kijana, niย Miaka mitano imepita, unapaswa kuwauliza Watu wako wa karibu ni kituย
gani wanakufichaโ Alisema yule Baba, chozi lilianza kunibubujika maanaย hata hao Watu wa karibu hawakuweza kunieleza chochote kileย
โBaba, niliambiwa baada ya ajali akili yangu haijakaa sawa lakini nahisiย nilidanganywa. Hapa Kuna kitu ninafichwaโ nilisema Kisha Niliketiย kitandani, yule Baba naye aliketi kitandani piaย
โKijana, hii Dunia ni Uwanja wa Siri, Binadamu wanaweza kuficha Siriย Hadi wanaingia kaburini ilimradi tu Siri hiyo isiwe faida kwa mwingine.ย Inawezekana katika hiyo Siri Kuna jambo muhimu ambalo hawataki ulijue,ย Kitu pekee kinachoweza kukufanya uijue Siri unayofichwa nayo ni kuwaย mdadisi zaidiโ alisema yule Baba, maneno yake yaliamsha Hali Fulani yaย Ujasiri ndani yangu, nilikubali maneno yake kua kama nitaendelea kuliaย siwezi kufahamu chochote kuhusu Miaka mitano iliyopita.ย
โNenda kautafute ukweli kwa gharama yoyote ile, hakuna kitu kibaya katikaย Maisha ya Binadamu kama kujipoteza. Usikubali kujipoteza, unapaswaย kupambanaโ alisema tena, maneno yake yalijaa hekima na busara kubwaย sana.ย
Nilifuta chozi langu nikamwambia โNaenda kuutafuta ukweli ulio gizaniย Babaโ Kisha nilinyanyuka na kuondoka pale, nilimwacha yule Baba akiwaย amesimama Mlangoni akinitazama nikipotea kwenye Kuta za nyumba yakeย
Jina Moja lililo kichwani kwangu ambalo niliamini linaweza kunipa majibuย ni Clara, ndiye Mtu pekee aliyekua kando yangu siku niliyorudisha fahamuย baada ya ile ajali.ย
Nilimsimamisha dereva wa pikipiki, nilihitaji kurudi nyumbani kwa Clara.ย Akili yangu haikutaka kutulia kabisa, ilikua ni Mishale ya Alhasiri, nilifikaย nyumbani kwa Claraย
Moja kwa moja nilielekea Chumbani kwangu, Zaylisa alikua hajarudi.ย Sikujali sana kuhusu yeye, nilichohitaji ni kufika chumbani kwa Claraย pengine alikua Mtu muhimu kwenye Maisha yangu niliyoyasahau, akiliย yangu iliniambia hivyo maana asingeliweza kua pale wakati narudishaย fahamu tena akiwa na Mtoto wake Melisaย
Nilizunguka chumbani huku nikipanga mkakati wa namna gani nitaingiaย chumbani kwa Clara, Mtu pekee ambaye angeniwezesha kuingia humoย alikua ni Matilda.ย
Niliufungua mlango Kisha nilienda sebleni, nikamkuta Matilda akiwaย anaangalia filamu, nikamtazama kwa sekunde kadhaa Kisha nikafanyaย
uamuzi wa kukielekea chumba Cha Clara, aliponiona naelekea hukoย Matilda alinikimbiliaย
Nilitikisa kitasa Cha mlango nikagundua mlango ulikua umefungwa kamaย nilivyohisi mwanzo, sasa lile wazo la kumtumia Matilda lilitakiwa kufanyaย kazi.ย
โNahitaji kuingia chumbani kwa Claraโ nilisema nikimtazama Matilda kwaย jicho Kali, hata yeye alishangaa kwasababu sikuwahi kumtazama kwa jichoย lile, akameza funda zito la mate huku akipumua kwa nguvu, alishaanzaย kuingiwa na woga lakini akaniambiaย
โDada amefunga mlango wake, kwanini unataka kufanya hivyo?โย ย
โNina uhakika ndani ya hiki chumba Kuna kumbukumbu zangu, natakaย kujua Clara ni Nani kwangu, kitu gani ambacho hamkisemi nyinyi?โย niliuliza kwa Uchungu sana, niliona Wazi kua Watu wale walifanyaย makusudi kunipoteza kifikra bila kunipa kumbukumbu yoyote ile.ย
Matilda alirudi kidogo nyuma, alichokisikia kutoka kwangu alionesha Waziย kua alikitarajia. Hata sura yake ilionesha kua alikua ni miongoni mwa Watuย walioamua kunificha kuhusu Maisha yangu yaliyopitaย
โMatilda, Kuna kitu unakijua na hutaki kusema si Ndiyo? Mimi ni Naniย nataka kujua Matilda, kwanini najiona sijakamilika Kuna kitu ganiย nimesahau, nataka kujua ni kitu gani muhimu nimekisahau?โ niliuliza,ย Matilda alikua akinitazama kwa Mshangao tu huku chozi lakeย likimbubujikaย
Nilisogea taratibu Kisha nilimwambia kwa sauti ya huzuni huku choziย likinidondoka.ย
โNakuomba Matilda, lazima utakua unanifahamu vizuri. Niambieย nisichokifahamu, niambie nilichokisahauโ nilisema, niliona jinsi ambavyoย sura yake ilivyokua ikionesha huruma juu yangu. Nilimshika mabeganiย nikamwonba aniambie chochote hata kama kilijaa maumivu kiasi ganiย lakini nilitaka kusikia ukweli, niliona chozi lilikua likimbubujika ni waziย aliguswa sana na maneno yangu.ย
โAkili yangu imekosa utulivu Matilda, Nilipopata ajali na kurejesha fahamuย nilimwona Clara pale Hospitalini, niambie yeye ni Nani kwenye Maishaย yangu?โ nilimuuliza Matilda. Alikua akinitazama kwa jicho la huruma sanaย
Matilda hakusema chochote kile japo sura yake ilionesha kua alifahamuย jambo fulani.ย
Nilirudi chumbani kwangu nikiwa na huzuni sana, chozi lilikuaย likinibubujika. Kilichokua moyoni mwangu ni kama Mzigo mzitoย nilioshindwa kuubeba. Nilijivuta Hadi nikaketi kitandani, sikua na hamu yaย chochote isipokua kujua Siri ya Maiaka Mitano iliyopita.ย
Usiku ulipoingia ulinikuta nikiwa nimejiinamia, chumba kilikua Gizaย sababu sikuwasha taa yoyote ile. Nilianza kusikia sauti ya Matilda akigumiaย
โMwizi! Mwizi!โ nilishtuka, haraka nikapapasia taa halafu nikafunguaย mlango nikaelekea nje, Matilda alikua ameshafika getini. Kwa Kipindi hichoย nyumba ya Clara ilikua Haina Mlinziย
Nilikimbilia getini nikamkuta Matilda akiwa analia, nilimuuliza kimetokeaย nini, alikua analia akaniambiaย
โMwizi aliingia chumbani kwanguโย ย
โSasa chumbani kwako alikuja kufanya nini?โ nilimuuliza, aliendelea kuliaย bila kusema chochote. Ilinifikirisha kidogo, mwizi kuingia chumba Chaย Msichana wa kazi ambaye Hana chochote kile.ย
โBasi usilie Matilda kwani amefanikiwa kuiba chochote?โย โSijui Mimi, ila nimemkuta chumbani kwangu akanisukuma na kukimbiaโย โUliiyona sura yake?โย
โHapana alivaa kofiaโย ย
โBasi twende ndani, hawezi kurudi tena. Mimi nipo nitakulindaโ nilisemaย kama Mwanaume. Nilimpeleka Matilda sebleni Kisha nilimpatia Maji yaย baridi anywe ili aondoe wenge. Alipomaliza kunywa Maji angalau akili yakeย ilitulia akanieleza kwa uzuriย
โBasi Wacha tukaangalie kama Kuna chochote amechukuaโ nilisema.ย
โHapana Kaka, hakuchukua chochote hata usijaliโ alisema, lakini ndani yaย sauti yake nilihisi Kuna kitu hakikua sawa. Mara Mlango ulifunguliwa,ย aliingia Zaylisaย
โEeeh mmetulia wenyewe hapo mnapiga storiโ alisema, haraka akili yanguย iliniambia napaswa kujifanya hakuna nilichokiona kuhusu yeye ili niwezeย kumchunguza vizuri, nilitabasamu kidogo tu nikamwambiaย
โUmepishana kidogo na mwiziโ Nilisema, akashtukaย ย
โMwizi?โ
โNdiyo, aliingia chumbani kwa Matilda lakini bahati nzuri hakuibaย chochote kileโ Zaylisa akasogea taratibu Kisha akamshika bega Matildaย
โPole Binti, pole sana iwe funzo siku nyingine usiache mlango Wazi sawa?โย alisema kwa sauti ya kujali iliyojaa Udada ndani yake. Matilda akaitikia kwaย kichwa Kisha akanyanyuka na kuondoka akaelekea chumbani kwake.ย
Nilitabasamu kidogo, Zaylisa aliniangalia kwa jicho la mapenzi. Nikashushaย pumzi nikamuulizaย
โZa utokako?โย ย
โAhhโผ hivyo hivyo Mpenzi, Hali ya Baba siyo nzuri sana yaani napataย wakati mgumu sanaโ alisema, kwa mara ya kwanza nilimwona Zaylisaย akiongea uwongo mbele yangu, nilihisi kuumia sana. Hakujua kuaย niliifahamu Siri aliyoificha kua Mzee Paulo alifariki siku nyingiย
โJamani, pole sana my love. Kua na Imani Baba Yako ataponaโย ย
โAsante, Ndiyo maana napenda kua karibu Yako Jacob. Najihisi amani naย furaha sana niwapo kando Yakoโ alisema Kisha alilala begani kwangu. Nafsiย yangu ilizidi kutapa tapa, hakuna kitu kinaumiza moyo kama kugunduaย Mtu unayemwamini na kumpenda anafanya mambo gizani, nilijiulizaย alikua ana lengo gani la kusema uwongoย
โUsijali, Mimi ni wako Zay. Basi twende ukaoge ili uweke mwili safiโย nilisema Kisha nilibeba mkoba wake, tukaongozana Hadi chumbani,ย akabadilisha nguo akavalia taulo Kisha akaelekea Bafuni. Nilisubiria Hadiย pale nitakaposikia Maji yakimwagikaย ย
Niliutazama Mkoba wake, simu yake ilikua humo. Nilipata wazo laย kuipekua simu yake maana mara nyingi alikua haweki Nywila. Taratibu naย kwa umakini mkubwa sana niliuchukua mkoba Kisha nikafungua zipu poleย pole bila kelele huku macho na masikio yangu vikiwa makini sana.ย
Nilipomaliza kufungua zipu ya mkoba wake niliiyona simu yake. Nilishushaย pumzi zangu, huku nikiamini simu hiyo itanifungulia njia ya kujua niย mpango gani wa Siri ambao Zaylisa alikua nao na huwenda alikuaย anaifahamu Siri ya Miaka mitano nisiyoikumbuka na pengine hakutakaย nikumbuke.ย
Basi niliichukua simu taratibu na kwa umakini, Kisha nilibonyeza mahali,ย mwanga ukawaka. Nilijaribu kuifungua lakini ilidai Nywila yaani namba yaย siri, nilihisi kupandwa na hasira maana nisingeliweza kufanikiwa chochoteย kile. Iliongeza Hali ya Wasiwasi kua alikua na mpango Fulani, kwaniniย aweke namba ya siri bila kuniambia
Niliirudisha simu na kufunga zipu Kisha niliuweka mkoba pale paleย nilipoutoa halafu, nikatulia kitandani nikiendelea na tafakari, Kilaย nilichofanya hakikunipa mwangaย ย
Zaylisa aliporudi kutoka Bafuni alikua mwingi wa tabasamu, alinitazamaย kwa tabasamu Kisha alinifuata na kuanza kunipiga mabusu. Sikua na hisiaย naye tena, ghafla tu hisia zilihama kwake licha ya Upendo mwingi niliowahiย kua nao kwakeย
Tulifanya mapenzi huku nikijitahidi kuigiza kua nilikua na hisia Kali sanaย juu yake, sikutaka aujue mpango wangu kama ambavyo nilihisi alikuaย akiuficha mpango wake kwangu.ย
Baada ya kumaliza alijilaza kifuani kwangu, alikua mwingi wa kubadilishaย stori za hapa na pale. Ilichochea wasiwasi wangu kua lipo jambo zipoย alilokua akilifichaย
Basi, tulilala Hadi asubuhi kulipo pambazuka. Kama kawaida yake aliniagaย kua anaenda kumhudumia Baba yake Mgonjwa, nami nilikua mwepesi waย kumruhusu ili nyuma nifanye Uchunguzi wangu.ย
Nilimfuatilia tena nyuma nyuma kwa kutumia Bodaboda, safari zake zilikuaย zile zile. Alipofika Mwenge aliingia kwenye gari nyeusi iliyopanda juuย iliyoonekana kua ya gharama sana Kisha walielekea kwenye ile Hoteliย
Nikapata wazo kua ndani ya Hoteli hiyo Kuna jambo Fulani ambalo yeyeย pamoja na yule Mwanaume anayevaa kofia walikua wakilipanga auย kulifanya.ย ย
Sikutaka kuendelea Kuchunguza zaidi, nilirudi nyumbani. Nilimwitaย Matilda, Kuna kitu nilitaka kumuuliza, alipofika alinisalimia maanaย nilipotoka sikuonana nayeย
โHivi ile siku ambayo Zaylisa na Clara walizozana ilikuaje? Naombaย usinifiche chochoteโ nilimuuliza kwa sauti kavu ambayo ilimfanya aone kuaย sikutaka utani.ย
โDada Zay, alimwambia Dada Clara kuaโฆ..โ alisema Kisha alisita,ย nikamkazia macho yangu kwa ukaliย
โAlimwambia hataruhusu Melisa awe karibu na weweโ nilishtuka sana,ย kwanini aseme hivyo kwani Mimi na Mtoto Melisa tuna uhusiano gani?ย ย
โKwanini aseme hivyo?โ nilimuuliza, nilikua makini kusubiria jibu laย Matilda.ย ย
โMimi sijui Kaka, niliyasikia hayo tu ndipo wewe ulipokujaโย
โMatilda sura Yako inaonesha una jambo la ziada la kuniambia, niambieย tuu tafadhaliโ nilisema kwa sauti ya Unyonge.ย
โKaka Mimi sijui chochote kile nakuapiaโย ย
โMimi ni Mtu mzima, ninapoitazama sura Yako naona inakusuta kwaย unachokisema. Matilda, usiwe Sehemu ya Watu wanaohitaji niishi gizaniย Milele, naomba nikuulize. Mimi ni Nani kwa Clara, kwanini siku ile alikuaย Hospitalini, Nina uhuasiano gani na yeye?โย ย
Matilda alinitazama, uso wake ulinyongea, chozi likaanza kumbubujika.ย
โSamahani Kaka Jacob, siwezi kusema Kila kituโ alisema Matilda hukuย chozi likitiririka machoni pake. Nilimshika mabega yake nikamwambiaย
โNaelewa ni jinsi gani unajizuia kuniambia Matilda lakini huu ndio wakatiย sahihi wa kunieleza, nateseka kwa kuishi kama kivuli kwenye Maishaย yanguโ nilisema, Matilda alinishika mkono akanipeleka chumbani kwakeย Kisha akaufunga mlango.ย ย
Akafungua Begi Moja kubwa halafu akatoa picha Moja, akanipatia. Nilihisiย upepo Fulani ukikatiza usoni pangu, picha hiyo nilipiga Mimi, yeye naย Clara.ย
Nilipomaliza kuangalia niligundua hakuna kilichobadilika kwangu kwaniย Bado nilikua sikumbuki chochote hata hiyo picha sikukumbuka ilipigwaย lini.ย ย
โHii picha?โ niliuliza huku mdomo Wangu ukiwa mzito lakini wenyeย kuhitaji kuendelea kuongea, Matilda akadakia kwa hisia ya huzuni sanaย huku chozi likimdondoka akaniambiaย
โHiyo Ndiyo siku ambayo ulikua na furaha kuliko siku yoyote uliyowahiย kuishi hapa Duniani Kaka Jacobโ alisema kwa hisia Kali sana, jicho languย Moja likaanza kudondosha chozi, picha ilikua ikiningโinia mkononi hukuย kope za macho yangu zikicheza kwa muwasho wa chozi.ย ย
โKwanini nilikua na furaha Matilda?โ nilimwuliza Kisha niliitazama tena ileย picha, ni kweli nilionekana kua mwenye furaha sana, siyo Mimi tu hataย Matilda na Clara walionekana kua na furaha, picha ilisadiki maneno yaย Matilda lakini sikujua ni kwanini furaha ilitawala kiasi hicho.ย ย
Matilda aliibana midomo yake kwa Uchungu huku akizuia sauti ya kilioย isimtoke, moyo Wangu ulikua ukidunda sababu nilijua jibu ambalo Matildaย angenipatia lingetoa mwanga halisi wa Kila swali nililokua nikijiuliza,ย akasema
โHiyo Ndiyo siku ambayo Melisa alizaliwaโ alisema, chozi lilimtoka kamaย alikua amewekwa pilipiki machoni mwake, nilitazama tena ile picha Kishaย nilimtazama yeye.ย
โNilikuwepo siku ambayo Melisa alizaliwa?โย
โNdiyoโย
โHiyo Miaka mitano iliyopita?โย
โNdiyo, Kaka Jacob wewe ni Mume wa Dada Clara pia ndiye Baba waย Melisaโ alifunguka Matilda, ni kama alikua amerusha bomu la anga. Lilituaย chini na kupasua Kila kitu, nilistaajabu sana lakini sikukumbuka chochoteย Badoย ย
Macho yalinitoka, nilirudi nyuma hatua ndogo ndogo. Japo nilihitajiย kuambiwa ukweli lakini sikutegemea kusikia nilichokisikia, niligeuka naย kutembea taratibu kama Mtu aliyechoka sana, nilitembea na kutoka mleย chumbani. Nilifika sebleni nikiwa hoi, chozi na jasho vilikua vikishindanaย kumwagika kama Maji.ย
Nilisimama mbele ya sofa huku Bado nikiwa kwenye Butwaa.ย ย
โHuo ndio ukweli Kaka Jacobโ niliisikia sauti ya Matilda nyuma yangu,ย haikua sauti ya kawaida Bali ilijaa kilio. Niligeuka na kumtazama Kishaย nikamkazia sauti nikamwambiaย
โWewe ni mwongo Matilda, unajua kua unasema uwongo. Sijawahiย kuyaishi hayo Maisha, sikuwepo na wala hakijapita hicho kipindi Chaย Miaka mitanoโ nilisema, Kisha akanipa picha nyingineย
Niliitazama huku chozi likidondokea kwenye ile picha, ilikua ni pichaย tuliyopiga kanisani Mimi na Clara siku ya ndoa, nilikua nimevalia sutiย nyeusi, Clara alikua amevalia gauni jeupe na shela. Nilizidi kuchoka, majibuย ya maswali yangu niliyapata kikatili sanaย
โSasa kwanini sikumbuki, kwanini Clara hakusema chochote?โ nilipazaย sauti, nilikua katika Hali mbaya sana kisaikolojia, niliambiwa vitu vyenyeย ushahidi lakini sikukumbuka chochote kile.ย
Matilda akanisogelea huku akifuta chozi lake akaniambiaย
โDaktari alisema usikumbushwe Bali asubirie Hadi utakapokumbukaย mwenyewe. Hiyo Ndiyo sababu ya kwanini hakusema chochote, Ndiyoย maana alimleta Zaylisa tena kwenye Maisha Yako. Wewe ni Msomi, wewe niย Mtendaji Mkuu wa kampuni zote za Dada Claraโ alisema Matilda, nilihisiย mwili ulikua ukitetemeka kwa uzito wa maneno ya Matilda.
โKwahiyo nilimpenda Clara?โย ย
โNdiyo, mlikua na furaha kwa Miaka mitano mliyoishi pamoja kama Mumeย na Mke. Furaha yenu ilikatishwa Usiku ule ulipopata ajali, ilikua ni siku yaย Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Melisa, ulipata mtikisiko wa Ubongo naย kupelekea kupoteza kumbukumbu zako.โ Aliposema Kauli hii nilihisiย maumivu makali sana ya kichwa huku nikiona baadhi ya picha zikipitaย kwenye ufahamu wanguย ย
Nilianza kuona baadhi ya kumbukumbu, nilishikilia kichwa changu naย kujikuta nikiwa nimeanguka sakafuni, nilipoteza fahamu.ย ย
Matilda alihangaika na Mimi, akanipeleka Hospitali.ย ย
Ukweli unaoumiza.ย
Masaa Matatu baadaye nilipata fahamu, nilijikuta nipo kitandani. Machoย yalikua mazito yakitokwa na Machozi, nilikumbuka niliwahi kuamka kamaย hivi na kumwona Clara na Melisa mbele yangu, safari hii ilikua tofautiย
Matilda alikua ameketi kando amejiinami, hakujua kua nilikua nimeamka.ย Nilipovuta hewa nzito ndipo aliposikia na kunitazama.ย
Alitoa tabasamu lenye huzuni ndani yake huku chozi jepesi likimtoka,ย aliniangalia Kisha akaniulizaย
โUnajisikiaje Kaka Jacob?โ chozi lilinidondoka nikiwa ninamtazama,ย niliamka nikiwa Jacob niliyetimia. Kumbukumbu zangu zote zilikuaย zimerudi. Nilikumbuka Kila kitu kuanzia kifo Cha Mdogo wangu kipenziย Melisa, kifo Cha Mama yangu, nilimkumbuka Clara na Mtoto Wanguย Melisaย
Nilitikisa kichwa kuashiria kua nilikua sawa, lakini Matilda akataka kutokaย kwa ajili ya kwenda kumwita Daktari, nilimzuia kwa kumshika mkonoย Kisha nikamwambiaย
โNipo salama Matilda, nakushukuru sanaโ nilisema, Matilda aliketi taratibuย huku akiniangalia kwa kunishangaaย ย
โNdiyo, nimekumbuka Kila kitu kuhusu Mimiโ nilisema kwa sauti yaย taratibu iliyosindikizwa na huzuni. Matilda aliachia tabasamu huku choziย likiendelea kumbubujika.
โUsilie Matilda, Kila kitu kitakua sawa. Umewasiliana na Clara na kujuaย yupo wapi?โ nilimuuliza, akafuta chozi lake Kisha kwa sauti iliyojaa kubanaย kwa mafua aliniambiaย
โKaka, nimejaribu sana lakini simpati. Sijui yupo wapi, natamani awe hapaย na wewe akifurahia kumbukumbu zakoโ Alisema Matilda, alionesha Waziย kua alikua amejawa na Upendo sana juu yetu, aliyabeba matatizo yetuย kama matatizo yake, hakua tu Msichana wa kazi Bali ndugu aliyetimia.ย
โNakuomba Matilda, usimwambie yeyote kua kumbukumbu zangu zipoย sawaโ nilisema, aliitikia kwa kutumia kichwa chake Kisha aliniambiaย
โMimi ni mtiifu kwako Kaka, sitathubutu. Nitajifanya kama vile sijuiย chochote kileโ basi nilitabasamu, nikafuta chozi lililobakia machoni pangu.ย ย
Nilihisi nimeshusha mzigo mzito mabegani kwangu, nilihitaji kujua mamboย mawili, ni wapi alipo Clara na Mwanangu Melisa lakini pia nilihitaji kujuaย kuhusu Zaylisa, alikua na mpango gani kwenye Maisha yangu.ย
Baadaye jioni niliruhusiwa kurudi Nyumbani, baada ya kushuka kwenyeย Bajaji nilisimama na kuitazama nyumba ya Clara, nilikumbuka Maishaย mazuri tuliyoyaishi kwa Miaka mitano iliyopita. Kila Kuta ilikua na historiaย nzuri ya Upendoย
Nilihisi kusikia sauti za Kicheko Cha Clara na Mtoto wetu Melisa, Kilaย nilichokitazama kilinipa kumbukumbu zisizofutika Maishani mwangu.ย Matilda alinielelewa akanishika bega kua nisiwe na wasiwasi.ย
Tulipoingia ndani ya Uzio, nilitazama Kila kitu. Kulikua na kumbukumbuย nyingi sana, macho yangu hayakuacha kulitazama eneo ka maegesho, hapoย palikua na gari tatu lakini Moja ilikua imefunikwa kwa turubai ikionekanaย kua ilikua haitumiki.ย
Nilisogea pole pole huku Matilda akiwa nyuma yangu, nilipepesa machoย taratibu huku upepo wa pole pole ukiwa unanipiga, nilisogea na kufunguaย turubai. Nililiona gari langu ambalo nilikua nikilitumia, nililipapasaย taratibu huku nikigusa vumbi jepesiย
Chozi lilinitoka, gari Hilo lilikua na kumbukumbu ya ajali yangu,ย halikutengenezwa Bali lilikua vile vile kama ambavyo nilipata nalo ajali,ย lilikua na mbonyeo upande wa Kushoto huku vioo vikiwa vimevunjika.ย
โKaka Jacobโ aliniita Matilda, aliguswa sana na Mimi.ย
Niligeuka kumtazama
โNajua ni jinsi gani umeumia Kaka, lakini Kila kitu kwenye hii Duniaย hutokea kwasababu. Namshukuru Mungu umerudisha kumbukumbu zakoย muhimuโ alisema, niliitikia kwa kutumia kichwa kwani kinywa changuย kilikua kizito sana hakikuweza kutoa neno lolote lileย
Matilda akalifunika tena lile gari sababu tulikubaliana kua Kila Siri itabakiaย kama ilivyo. Nilipoingia ndani nilizidi kukumbuka kuhusu Familia yangu,ย Kila hatua niliyopiga ilinipa kumbukumbu nzito sana.ย
Sikua na swali la kuuliza sababu majibu yote yalikua Wazi, nilikitazamaย chumba Cha Clara, ndicho chumba chetu lakini napaswa kuishi kamaย sikifahamu chumba hicho, ulikua ni uamuzi mgumu sana lakini wenyeย maana. Basi nilikipita chumba kama sikijui Kisha nilielekea Chumbaniย kwangu na kujilaza kitandani huku macho yangu yakitazama Dali.ย
Usiku, Zaylisa alirudi kama kawaida yake akijifanya alikua bize sana naย kumuuguza Baba yake, aliniletea stori nyingi huku akiamini Mimi nilikuaย Bado sijapata kumbukumbu zangu, akaingia bafuni kuoga Kisha akarudiย tukaketi na kuanza kuzungumza.ย
Safari hii nilimtazama kwa jicho la tofauti sana, sio mapenzi Bali umakiniย wa kujua alikua na mpango gani na huyo Mtu anayejiita โMzee waย MIPANGOโย ย
โKidogo sasa hivi Hali ya Baba inaendelea kuimarika. Hua najisikia vibayaย sana kukuacha mpweke Mpenzi wanguโ alisema Zaylisa kwa sauti iliyojaaย Ulaghai, niliikumbuka sauti hii ilikua ikimtoka Kila siku lakini nilikuaย gizani sikuweza kuitambua.ย ย
Kila nilivyomtazama nilihisi alikua ana Maisha ya tofauti sana kwa Miakaย mitano iliyopita, sikujua ni Maisha ya namna gani lakini hayakua Yaleย niliyomwacha nayo wakati ule. Niliishia kutabasamu kana kwamba nilikuaย Jacob yule aliyekua akimchezea, hata chembe ya Upendo haikuwepo.ย Moyoni mwanguย
โPole sana, Mungu atamfanyia wepesi ataimalika zaidiโ nilisema hukuย nikimtazama, japo tulikua tumekaa tunaongea lakini niliona alikua bizeย sana na simu yake. Akanipa mwanya mzuri sana wa kuitazama upya suraย yake.ย
**
Zilipita siku Nne, hakuna aliyempata Clara kwenye simu. Mwanzoย ilionekana kua kawaida lakini tulianza kupata hofu, Kila mara Simu yaย Mezani ilipoita ilitufanya tuwehuke sana.ย
โAu ni kawaida yake?โ aliuliza Zaylisa, tulikua tumekaa sebleni. Niligeukaย kumtazama, moyoni mwangu nilijua kabisa haikua kawaida kwa Clara,ย niliishi naye Miaka mitano ya furaha na amani, ni Mke wangu wa Ndoa.ย Nilipandwa na hasira lakini niliifichaย ย
โMh! Nitajuaje wakati Mimi hapa si mwenyeji Mpenzi, lakini hata Matildaย anamshangaa inaonesha sio kawaidaโ nilisema, alitabasamu kidogo tuย ย
โLakini Jacob, unajua yeye hataki wewe uendelee kuwa hapa hasa na Mimiย hivyo usiwaze sana kuhusu yeye sababu huwezi kujua akirudi atakua naย mpango gani dhidi yetuโ alisema Kisha alinisogelea akasema tenaย
โNiangalie Mimi, unanijua na nimekubali kuachana na Mume wanguย kwasababu Yako wewe Jacob, Clara asiitumie fimbo ya kukusaidiaย kukuchapiaโ Nilitikisa kichwa kukubaliana na Zaylisa huku nikiwaย nayaelewa maneno yake kua yalijaa mizizi ya Uwongo, sura yake ilioneshaย kua alikua akiifahamu Siri ya Miaka Mitano iliyopita lakini swaliย nililojiuliza nikiwa ninamtazamaย
โKwanini Clara alikubali kumleta tena kwenye Maisha yangu ikiwa alikuaย anajua Mimi ni Mume wake, waliongea nini?โ Majibu ya maswali yoteย yalikua kwa Clara ambaye Hadi sasa hatujui yupo wapi na anafanya nini.ย
โNi kweli, sasa tutafanya nini Mpenzi ili kuhakikisha huyu Clara hatuchapiย tena? Unajua tatizo Sina mahali pa kukupeleka, Hali yangu kiuchumiย unaijua Zaylisaโ nilisema kwa Uchungu sana kama vile nilikua mbele yaย Kamera nikiifuata Script iliyoandikwa na Mwandishi Nguli. Hata moyoย Wangu uliniambia kua kama nikigeukia Uigizaji basi nitaweza kuigizaย vizuri sana.ย
Nilikua nikimtazama kwa uhakika wa uthabiti wa kumaanisha, sikuruhusuย hata chembe ya Uwongo ijulikane. Mara akapita Matilda akielekea jikoni,ย Zaylisa akamwita Matilda kama Kijakazi tuย
โNimekutuma unileteee juisi Hadi sasa haujaleta, una dharau sana weweย Mtotoโ alisema Zaylisa, hii Tabia sikuwahi kuiona kwake isipokua wakatiย huu aliporudi kwenye Maisha yangu upya. Nilimtazama Matilda kwa jichoย la hasira Kisha nikamwambiaย
โAcha dharau Mdogo wangu haya Maisha tu, kipi kinakufanya uonesheย dharau wakati wewe ni Msichana wa kazi tu. Lete juisi hapaโ nilikaza sautiย
Kisha nilimkonyeza jicho Matilda, sikutaka Kuonesha Wazi nipo Upandeย wake nilijiegemeza Upande wa Zaylisa ili kuivuna Imani yake kwangu.ย
โSamahani, nilisahau hata hivyo naenda kukuchukuliaโ alisema Matildaย kwa adabu sana Kisha aliondoka zake pale.ย
โJacob, unanifanya nazidi kukupenda maana licha ya kua hauna mamlakaย hapa ila unasimama na Mimiโ alisema.ย
โUsijali Kipenzi, nisiposimama na wewe nitasimama na Nani tena maanaย Sina familia nyingine zaidi Yako weweโ nilimwambia Zaylisa na ikaonekanaย kumpatia furaha sanaย
Basi, Baada ya dakika Moja juisi ilikua tayari na Matilda aliileta ikiwaย kwenye glasi ndefu Pana, kama nilivyokwambia nyumba ya Clara niย nyumba ya kitajiri hivyo hata vyombo vyake vilikua vya thamani sana.ย Wakati anampatia kwa bahati mbaya akateleza na kumwagikia Juisiย kwenye gauni la Zaylisaย
Taharuki ikatokea, hasira ikampanda sana Zaylisa akatamani kumpigaย Matilda lakini sikuruhusu litokee nikaingilia kati, nikamtandika Kofi Mimiย Matilda, halikua Kofi sawa na lile ambalo Zaylisa angempigaย
โMshenzi sana wewe, kwakua umelazimishwa kuleta Juisi ndio unafanyaย hivi si Ndiyo?โ nilisema kwa kufoka Hadi misuli ya shingo ilinitoka,ย nilifanya kwa ajili ya kumwaminisha Zaylisa kua nilikua Upande wakeย muda wote na hakuna nilichokumbuka. Matilda alidondosha chozi hukuย akiomba msamahaย
โNenda ukatupe vipande vya glasi Kisha uje ufute hapa haraka sanaโย nilisema, haraka Matilda aliokota vipande vya glasi akaondoka.ย Nilimgeukia Zaylisa kwa jicho la kujali nikamshika magebaniย nikamwambiaย
โPole Babe, yule mshenzi sana amefanya makusudi ila dawa yake ipo jikoni.ย Hizi dharau zimefika mwisho sasaโ Nilisema huku Zaylisa akipepesa machoย yake aliyobandika kope, alikua na hasira sana akaniambiaย
โNimechukia sana Jacob, hizi ni dharau na siyo Bure huyu ametumwa naย Bosi wake, sasa nitamwoneshaโ alisema kwa hasira akiwa anatetemekaย sana.ย
โUsijali, nenda kabadilishe nguo zakoโ nilisema, aliondoka zake kwa hasiraย akaelekea chumbani, ile nageuka na Matilda alikua akifika. Nusura choziย linitoke nilimwangalia kwa huruma, sikupenda kumpiga Kofi ila nilifanyaย vile ili kumkinga na hasira ya Zaylisa.ย
MWISHO
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย
Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Loveย




203 Comments
9k7htg
Sijaelewa hapa maana ya neno MWISHO.
Mwisho gani tena sijaelewa samahani
Mbona mmeandika mwisho ko ndio imeishaje xx
https://shorturl.fm/C8X07
Daaahh bonge moja la story nzuri Sana nimeipenda hakika ndugu mwandishi Mungu azidi kukuongezea ufahamu kwenye hii kazi yako
Natumaini kutakuwepo na season two
Mbona mmeandika mwisho ko ndio imeishaje xx
83jqa4
Nimeipenda sana story jaman
Mwisho?? Inaishaje hivi na ww
Mbona mwisho tena Clara yupo wapi
Bhana inaisha kama muvi za kibongo jaman๐ญ๐ญ๐ญ
Bhana inaishaje ivo kam muvi la kibongo
Admin mwisho kvp
Hatujaelewaaa ๐ค๐ณ๐
Tamu sana admn ila neno mwisho limenichanganya samahan lakin
Riwaya nzuri sana ila neno [MWISHO] lanichanganya
https://shorturl.fm/Uj3im
https://shorturl.fm/S0VtW
Nimeipenda sana ila sijapenda ulivyo imaliza Yani bado Kuna visa viwili bado Kuna mama na mtoto
Bado Mzee wa mipamgo atajua kama ndo mume wake au n mchati tu umemaliza kiasara kweli
https://shorturl.fm/sUu0X
https://shorturl.fm/2y40s
Mwisho kivipi Tena hapo2 ndo mnapo alibu vp kuhusu Clara atajuaj kama kacobo kaludisha kmbkmb vp kh zayls n mipng yake ๐ญ
https://shorturl.fm/xK5hp
https://shorturl.fm/R4NZ9
https://shorturl.fm/brQB0
https://shorturl.fm/D3KP7
https://shorturl.fm/Tncwf
Admin kiukweli hapo umefail mwisho gani sasa hujasema maisha yaliendelea vipi baada ya kumbukumbu kurudi upya, Je Jacob aliendelea na Zaylisa au Clara na muda huo wote Clara alikuwa wapi na mwanae na akiwa anafanya nini?Tunaomba muunganiko mzuri wa visa na matukio plz
https://shorturl.fm/nE80q
https://shorturl.fm/8JBgr
https://shorturl.fm/drPl5
https://shorturl.fm/zFeL0
https://shorturl.fm/UDuRb
https://shorturl.fm/JcNQF
https://shorturl.fm/gD1ea
https://shorturl.fm/8lfzs
https://shorturl.fm/nQGXA
https://shorturl.fm/NghYj
https://shorturl.fm/0tT9p
https://shorturl.fm/YjieY
78sd8c
https://shorturl.fm/uVrBU
https://shorturl.fm/ZaNfi
https://shorturl.fm/a3Fw4
https://shorturl.fm/i4Dkd
https://shorturl.fm/rYRBp
t0o3hp
https://shorturl.fm/oE8oh
https://shorturl.fm/yqUh5
6xby2y
https://shorturl.fm/dS0nY
https://shorturl.fm/ReVIg
https://shorturl.fm/Xhc0Y
https://shorturl.fm/AX5uN
esn5fo
https://shorturl.fm/TSRiC
https://shorturl.fm/tqyNt
https://shorturl.fm/Pg3mo
https://shorturl.fm/LQZdg
https://shorturl.fm/ENTJx
https://shorturl.fm/YnmbE
https://shorturl.fm/ZT56P
https://shorturl.fm/XVaZa
https://shorturl.fm/HWPH6
https://shorturl.fm/mrsNP
https://shorturl.fm/4qoXD
Clara yu wapi????
Mapenzi ya Jacob na Zaylisa yaliishia wapi baada ya Jacob kurudisha kumbukumbu??
Mzee wa mipango alikuwa nani na alikuwa na mipango gani?
haahir
https://shorturl.fm/lafTz
https://shorturl.fm/J6WAC
https://shorturl.fm/8zpt5
https://shorturl.fm/e9KsE
gkthqvhysjopgwjftyehhqdqeldzzs
loqmppnvzedojpysuqflpdfxzfukyv
**๏ปฟmindvault**
mindvault is a premium cognitive support formula created for adults 45+. Itโs thoughtfully designed to help maintain clear thinking
https://shorturl.fm/sJhBP
https://shorturl.fm/dQ6cP
https://shorturl.fm/U8JDr
https://shorturl.fm/tkv5X
https://shorturl.fm/yblMZ
upcfrg
https://shorturl.fm/BUEc9
https://shorturl.fm/me54m
https://shorturl.fm/PFXZN
ๆฟไธญ็งๆฏใๆณกๅฆๆๅฆนใไธฐ่ธ็พไฝใๅฅๆทซๅทงๆ๏ผไปทๅผๅไธ็ตๅญไนฆไธ่ฝฝ็ฝๅ๏ผhttps://www.1199.pw/
https://shorturl.fm/qCu5t
Bulk commenting service. 100,000 comments on independent websites for $100 or 1000,000 comments for $500. You can read this comment, it means my bulk sending is successful. Payment account-USDT TRC20๏ผใTLRH8hompAphv4YJQa7Jy4xaXfbgbspEFKใใAfter payment, contact me via email ๏ผ[email protected]๏ผ๏ผtell me your nickname, email, website URL, and comment content. Bulk sending will be completed within 24 hours. I’ll give you links for each comment.Please contact us after payment is made. We do not respond to inquiries prior to payment. Let’s work with integrity for long-term cooperation.
https://shorturl.fm/wAqhF
https://shorturl.fm/APkY8
https://shorturl.fm/NyF6T
https://shorturl.fm/6cElk
https://shorturl.fm/gRzqz
https://shorturl.fm/9WnK9
https://shorturl.fm/h7NIV
https://shorturl.fm/GOH3x
https://shorturl.fm/t00lL
https://shorturl.fm/vjWZ7
https://shorturl.fm/4FvxH
**๏ปฟprostadine**
prostadine is a next-generation prostate support formula designed to help maintain, restore, and enhance optimal male prostate performance.
https://shorturl.fm/2Ficl
https://shorturl.fm/qqClv
ๅฐ็ซฏ่ตๆบ๏ผไปทๅผ็พไธ๏ผไธ็ฝๆๅฐฝ๏ผ็ฌ้ดๆฅๆ๏ผๅค้ๆถ็๏ผไบไบๅๅข๏ผๅ ซ็บงๆๆ๏ผๅๅฒๆ ็ฉท๏ผๆธๅธ็ฝ๏ผๆๅฃๅผ ็ไธ็บฟๆฟไธ็บฟ่ต้ฑ็ฝ็ซ๏ผhttps://1925.mobi/
https://shorturl.fm/76oPp
https://shorturl.fm/XebMH
https://shorturl.fm/RiRjB
**๏ปฟsugarmute**
sugarmute is a science-guided nutritional supplement created to help maintain balanced blood sugar while supporting steady energy and mental clarity.
npwyhkxjxntjxoxqpuylljforsfjmk
nnokntlwfexsdxmhgvdqsnvimszrvv
https://shorturl.fm/1J3Tl
https://shorturl.fm/iv7OG
**๏ปฟglpro**
glpro is a natural dietary supplement designed to promote balanced blood sugar levels and curb sugar cravings.
https://shorturl.fm/Hh5Cy
https://shorturl.fm/eYkUn
**zencortex**
zencortex contains only the natural ingredients that are effective in supporting incredible hearing naturally.
**๏ปฟmitolyn**
mitolyn a nature-inspired supplement crafted to elevate metabolic activity and support sustainable weight management.
**๏ปฟyusleep**
yusleep is a gentle, nano-enhanced nightly blend designed to help you drift off quickly, stay asleep longer, and wake feeling clear.
**prodentim**
prodentim an advanced probiotic formulation designed to support exceptional oral hygiene while fortifying teeth and gums.
**synaptigen**
synaptigen is a next-generation brain support supplement that blends natural nootropics, adaptogens
**vitta burn**
vitta burn is a liquid dietary supplement formulated to support healthy weight reduction by increasing metabolic rate, reducing hunger, and promoting fat loss.
**nitric boost**
nitric boost is a dietary formula crafted to enhance vitality and promote overall well-being.
**glucore**
glucore is a nutritional supplement that is given to patients daily to assist in maintaining healthy blood sugar and metabolic rates.
https://shorturl.fm/CxJNa
**๏ปฟwildgut**
wildgutis a precision-crafted nutritional blend designed to nurture your dogโs digestive tract.
**pineal xt**
pinealxt is a revolutionary supplement that promotes proper pineal gland function and energy levels to support healthy body function.
**energeia**
energeia is the first and only recipe that targets the root cause of stubborn belly fat and Deadly visceral fat.
**boostaro**
boostaro is a specially crafted dietary supplement for men who want to elevate their overall health and vitality.
**๏ปฟprostabliss**
prostabliss is a carefully developed dietary formula aimed at nurturing prostate vitality and improving urinary comfort.
https://shorturl.fm/YbBfL
**๏ปฟpotentstream**
potentstream is engineered to promote prostate well-being by counteracting the residue that can build up from hard-water minerals within the urinary tract.
**hepato burn**
hepato burn is a premium nutritional formula designed to enhance liver function, boost metabolism, and support natural fat breakdown.
**breathe**
breathe is a plant-powered tincture crafted to promote lung performance and enhance your breathing quality.
https://shorturl.fm/5EeRO
**๏ปฟhepato burn**
hepato burn is a potent, plant-based formula created to promote optimal liver performance and naturally stimulate fat-burning mechanisms.
https://shorturl.fm/NFQE2
https://shorturl.fm/ODAyi
**cellufend**
cellufend is a natural supplement developed to support balanced blood sugar levels through a blend of botanical extracts and essential nutrients.
**prodentim**
prodentim is a forward-thinking oral wellness blend crafted to nurture and maintain a balanced mouth microbiome.
https://shorturl.fm/iHsrj
**๏ปฟneurogenica**
neurogenica is a dietary supplement formulated to support nerve health and ease discomfort associated with neuropathy.
**๏ปฟrevitag**
revitag is a daily skin-support formula created to promote a healthy complexion and visibly diminish the appearance of skin tags.
**๏ปฟflowforce max**
flowforce max delivers a forward-thinking, plant-focused way to support prostate healthโwhile also helping maintain everyday energy, libido, and overall vitality.
https://shorturl.fm/hqUCY
**sleep lean**
sleeplean is a US-trusted, naturally focused nighttime support formula that helps your body burn fat while you rest.
https://shorturl.fm/4pUXn
https://shorturl.fm/ppR0s
**memorylift**
memorylift is an innovative dietary formula designed to naturally nurture brain wellness and sharpen cognitive performance.
https://shorturl.fm/chmHo
https://shorturl.fm/IfzZR
https://shorturl.fm/FfdVh
https://shorturl.fm/Zhph1
https://shorturl.fm/pl0tL
็ๅ ่ดน๏ผไปทๅผไธๅ ่ตๆบ๏ผไธ่ฆไธๅ้ฑ๏ผ็ฝๅ๏ผhttps://www.53278.xyz/
https://shorturl.fm/cctIg
https://shorturl.fm/QuD8x
https://shorturl.fm/ZXve3
https://shorturl.fm/5WXxP
https://shorturl.fm/JPLbr
https://shorturl.fm/3XmVb
https://shorturl.fm/76eA4
https://shorturl.fm/MbkNg
https://shorturl.fm/ZMd7o
https://shorturl.fm/ZMd7o
https://shorturl.fm/2Mvt8
Turkey sightseeing tours Rebecca W. – ฤฐzlanda http://www.tecnoac.com/?p=56090
Turkey historical tours Wonderful Turkey tours! Professional organization from airport pickup to final goodbye. Flawless experience. https://evolvff.com/?p=3712
https://shorturl.fm/kmfje
https://shorturl.fm/kzwSH
https://shorturl.fm/cNHtp
https://shorturl.fm/oEYt3
https://shorturl.fm/m9D3C
https://shorturl.fm/uv9z9
https://shorturl.fm/uv9z9
https://shorturl.fm/SMgyt
https://shorturl.fm/wBpUO
https://shorturl.fm/bFmmt
https://shorturl.fm/gMcyd
https://shorturl.fm/whWw4
https://shorturl.fm/yyG2n
็็พค็ฝ๏ผ็ป่บซๅ็บข๏ผ้ๅๆจ่๏ผไธๆไธ็บฟ๏ผไนๆ้ฑ่ต๏ผๅฐ็ซฏ่ตๆบ๏ผไปทๅผ็พไธ๏ผไธ็ฝๆๅฐฝ๏ผ็ฌ้ดๆฅๆ๏ผๅค้ๆถ็๏ผไบไบๅๅข๏ผๅ ซ็บงๆๆ๏ผๅๅฒๆ ็ฉท๏ผ็ฝๅ๏ผ1199.pw
https://shorturl.fm/0nzPH
https://shorturl.fm/NspyJ
https://shorturl.fm/X1dHU
https://shorturl.fm/C3JkN
https://t.me/s/Top_BestCasino/135
https://shorturl.fm/OVXdf
https://shorturl.fm/4fdCW
https://shorturl.fm/ErKKi
7hs4vf
https://t.me/s/leon_casino_play
https://shorturl.fm/PVELb
https://shorturl.fm/13e5c
https://shorturl.fm/LkuHz
https://shorturl.fm/y9VJz
https://shorturl.fm/usbxg
https://shorturl.fm/Uh8rn
https://shorturl.fm/O7uHk
https://shorturl.fm/E4ffR
You have mentioned very interesting details ! ps decent web site.
https://shorturl.fm/u7azc
I really wanted to jot down a brief note so as to thank you for all of the splendid advice you are giving out on this website. My extended internet lookup has at the end of the day been recognized with good quality strategies to go over with my colleagues. I ‘d suppose that many of us website visitors actually are very much blessed to live in a magnificent network with many special individuals with useful guidelines. I feel somewhat grateful to have seen your web site and look forward to plenty of more brilliant minutes reading here. Thanks a lot once more for all the details.
https://shorturl.fm/tXGFB
https://shorturl.fm/z0caX
https://shorturl.fm/zTlIv