Ilipoishia sehemu ya tano ya In the name of LOVE
Upepo ulikua ukisukuma nywele zake, nilipata shahuku ya kutaka kuongeaย naye. Nilielekea mlangoni nikafungua mlango taratibu, sauti ya mlangoย ilimfanya ashtuke na kugeuka. Aliniona nikiwa nimesimama mlangoniย nikimtazama, alikua akidondosha chozi bila kuficha.ย
Tulitazamana bila kusemeshana kwa sekunde kadhaa huku nikitafakariย nini maana ya chozi lake, mbona Kila niwapo karibu naye hua nahisi Haliย isiyo ya kawaida. Nilisogea taratibu nikimtazama, macho yetu yalikuaย thabiti yasiyo kwepanaย ย
Hadi namfikia hakuna aliyeongea na mwenzake, nilijikuta nikimweka vizuriย nywele zake.ย Endelea
SEHEMU YA SITA
โClara, Kwanini unalia, muda huu nilitegemea ungekua chumbani kwakoโย nilimuuliza, swali langu liliamsha chozi lake zaidi. Alidondosha choziย
โNafikiria kuhusu Melisa, alichokisema wakati wa chakulaโ alisema Clara,ย nilikumbuka alichokisema Melisa. Ni kuhusu kunitia Mimi โBabaโย
โHilo halina shida, Mimi ni sawa na Baba yake. Au naweza kua Baba yakeย pale anapohisi anahitaji faraja ya Babaโ nilisema, sikujua Masikini Kilaย neno lilikua kama mwiba kwake, alinitazama kwa jicho la maumivu zaidiย
โNatamani Baba yake Angekua Hapa Jacob, Angekua anajua kua Melisa niย Binti yakeโ alisema.ย
โKwani Baba yake yupo wapi?โย ย
โBaba yake hamkumbuki tena Melisa, ameenda mbali na kumbukumbuย zake nzuri. Mara ya mwisho ilikua ni siku ya Kumbukumbu ya Kuzaliwaย kwa Melisa, tangu hapo hamkumbuki tenaโ alisema akiwa anamwaga chozi.ย
โAmemkimbia Mtoto au kimetokea nini?โย
Akatikisa kichwa chake, akaniambiaย
โAsingeliweza kumkimbia, anampenda sana. Naamini ipo sikuย atamkumbuka Binti yake Melisaโ alisema Kisha aliondoka mbele ya machoย yangu mithiri ya nyoya la Kuku, upepo ulinipitia akinipita ubavuni naย kurejea ndani, aliniacha na maswali mengi yasiyo na Majibu.ย
Upepo wa baridi ulinisindikiza nikiwa kama nimemwagiwa na Maji yaย baridi.ย ย
โJacobโ Sauti ya Zaylisa ilisikika nyuma yangu, nilipogeuka nilimwona yeyeย akiwa anatabasamu.
โUmeniacha chumbani peke yangu Mpenzi, umekuja kupigwa na Baridiย huku kweli?โ nilitabasamu bila kua muwazi.ย
โNilikuaโฆโ kabla sijamaliza alinikatisha, akaniambiaย
โUlikua unapunga upepo, Mpenzi naumia ukiwa hivi. Kama Kuna chochoteย unanificha siwezi kujisikia vizuri Jacob, nimeachana na Mwanaume yuleย kwasababu niliolewa naye kwa shinikizo la Wazazi tu lakini siyo Upendoโย alisema, sikutaka ajisikie vibaya. Nilimvuta na kumkumbatia kwa Hubaย liwakalo moto.ย
***ย
Siku iliyofuata, asubuhi ilianza kwa baridi Kali. Nilishtuka na kutokaย kitandani, nilitikisa kichwa changu, kidogo nilihisi maumivu ya kichwaย hasa upande wa Kushoto.ย ย
Nilijikuta nikiwa mwenyewe pale kitandani, Zaylisa hakuwepo.ย ย
โAaah, Aaahโ niligugumia kidogo sababu ya maumivu ya Kichwani,ย nilishusha pumzi nzito huku swali pekee nililojiuliza lilikuaย
โZaylisa yupo wapi?โ basi nilishusha miguu yangu pole pole, nikaikanyagaย sakafu Iliyo baridi. Sakafu Iliyo Kimya isiyonikumbuka, nilitembea taratibuย nikafungua mlango pole pole, nikaangaza eneo la Korido. Eneo lote lilikuaย kimya kama Chumba kilicho tupu.ย
Kabla sijafanya maamuzi ya kwenda popote nilianza kusikia sauti mbiliย zikiongea, zilikua ni sauti zenye kumbukumbu ndani yangu. Mojaย niliitambua kua ni ya Mpenzi wangu Zaylisa, nyingine ilikua ya Clara. Sautiย zao hazikuashiria amani, walikua wakiongea kwa mafumbo sanaย ย
โMhโผโ niliguna, nikapikicha macho yangu katika Hali ya kuondoa uzitoย machoni, nikahisi wepesi machoni lakini uzito masikioni niliposikia Claraย akisemaย
โHuu haukua mpango wetu Zaylisa, wewe ni Mke wa Mtu. Kilichokuletaย hapa ni nini?โ lilikua ni swali dogo lakini lilibeba hatma ya Maisha yangu,ย hapo hapo nilihisi Ubaridi puani.ย
Nilivuta tena hewa Kisha niliitoa pole pole, nilikua nimesimama mlangoniย Bado.ย
โClara, ukitaka kua salama usiyaguse Maisha yangu. Nina ufunguo,ย nikiamua nafungua popote. Muda wowote ninaoutakaโ alisema Zaylisa,ย sikuelewa walikua wakibishania kitu gani ambacho Kila mmoja alikuaย
akiongea kwa mafumbo. Basi, niliamua kuzifuata sauti zao nikipita Koridoย Iliyo Kimyaย
Baada ya hatua mbili nilijikuta nikisimama taratibu, miguu yangu iligomaย kufanya safari. Nilihisi palikua na Mtu nyuma yangu, Mtu huyo alikuaย kimya lakini alikua na hisia iliyounganishwa na Mimiย
Taratibu niligeuka kuangalia nyuma, chumba Cha Mwisho kabisa Mlangoniย alikua amesimama Melisa. Huyu siyo Melisa Mtoto, Bali ni Mdogo wanguย Melisa, alikua amevalia nguo nyeupe mithiri ya Malaika.ย
Tabasamu lake lilikua linanipa ujumbe wa Siri niliokua nashindwaย kuufungua. Jicho langu Moja lilianza kudondosha chozi, pole pole midomoย yangu ilianza kutetemekaย
Tabasamu la Melisa lilikua thabiti machoni pangu, lilikua ni tabasamu lileย lile lililofanana na Marehemu Mama. Jicho lingine likadondosha chozi laย Hisia Kali ya maumivu, nilinyoosha Mkono ili Melisa aje kwanguย
Alikua ameshafariki lakini kwanini nilikua namwona, sikuweza kupataย Majibu.ย ย
โMelisaโ niliita, aliendelea kutabasamu tu. Kisha alisemaย
โKumbuka Kaka, usijipoteze kamwe, kumbuka wewe ni Nani. Wewe niย Jacob, Ndiyo jikumbuke Kakaโฆ.โ Alisema huku akinitazama Usoni, nilikuaย na maswali mengi lakini mdomo Wangu uligoma kuuliza chochote.ย
Nilianza kutembea kuelekea alipokua amesimama, sikutaka kuchelewaย nilitaka kumkumbatia Melisa, nilikua nimemkumbuka sana. Nilisogea naย kumkumbatia kwa hisia Kali sana, nililipata joto lake, nilihisi kua Sehemuย salama sana Maishani mwanguย
โMelisa, nimekukumbuka sana. Usiondoke ukaniacha tenaโ nilisema hukuย chozi langu likimdondoka mabegani kwa Melisaย
โUsiniache tena, Baki na Mimi. Nakuahidi sitaondoka tena, sitakuacha pekeย Yakoโฆ..nitakulinda Maisha yangu yote, nitatimiza ahadi zangu..โ nililiaย sana, sikutegemea kama ningemwona tena Mdogo wangu Melisaย
Nilikaa kimya kusubiria aseme chochote, nilipepesa macho yangu poleย pole.ย ย
Japo nilizungumza sana lakini kwa Melisa ilikua kimya, palikua kimya zaidiย ya kimya nilichowahi kukisikia. Kama vile Dunia ilikua ikisimama na Kilaย Mtu akiwa anasubiria jambo Fulani, ghafla nikaisikia sauti kutoka kwaย Melisa
โBabaaโ ilikua ni sauti ya Mtoto mdogo, nilihisi kurukwa na akili yangu.ย Nilijikuta nikiwa nimechuchumaa nikiwa nimemkumbatia Mtoto Melisa,ย sikuamini kua ilikua ni ndoto ya kutisha iliyokua ikitembea.ย
Niliinua uso wangu, Ndiyoโผ Melisa Alikua mbele yangu, aliniita tenaย
โBabaaโผโ huku chozi likiwa linamtiririka, nilihisi kuvuta hewa nzito yenyeย joto, halafu kabla hata sijafikiria zaidi nilisikia sauti ya kugombana. Claraย na Zaylisa walikua wakigombana Sebleniย
Haraka nilikimbilia Sebleni, nilimkuta Msichana wa kazi akiwa anaamuaย ugomvi wao, sikujua walikua wakigombana nini lakini Zaylisa alikua akiliaย baada ya kuniona Kisha alinifuata na kunikumbatia akiniambiaย
โJacob, Clara hataki niishi hapaโ alisema huku chozi likiwa linamvuja,ย nilinyanyua uso na kumtazama Clara, niliona jinsi alivyopata Kigugumiziย kusema. Lakini nilihisi alikua anataka kujitetea, nilimkagua na Msichanaย wa kazi. Naye alinitazama kidogo kwa aibu halafu akamtazama Claraย
Pale pale Melisa aliingia na kwenda Moja kwa moja kwa Mama yake Kishaย akamkumbatia huku naye chozi likimbubujika, hata sura yake ilioneshaย huzuni sana. Nilijihisi kutoelewa Kila kitu nilichokiona na kukisikiaย
Chembe chembe ya maumivu iliniingia ghafla, macho yangu yakachemkaย chem chem ya Machozi mithiri ya Mtu aliyewekwa pilipili machoni,ย nilimkubatia zaidi Zaylisa.ย
Sikujua walikua wakigombana nini lakini nilichagua kua Upande waย Zaylisa, hisia ziliniambia alikua akionewa na Clara.ย
Nilimtazama tena Clara, niliona akinyanyua midomo yake ili aongee lakiniย nilitikisa kichwa changu kuashiria kua asiongee chochote sababu nilielewa.ย
Niliondoka na Zaylisa, tukaelekea chumbani taratibu huku Zaylisa akiliaย kwa sauti ya chini, Melisa alinitazama, nilihisi alihitaji sana kuniambia kituย Fulani muhimu lakini alikua amefungwa minyororo ndani ya akili yake .ย
Miguu yangu ilihesabu hatua pole pole Hadi tulipozama na kufungaย Mlango. Nilimtazama Zaylisa, macho yake yalikua mekundu kwasababu yaย kulia, nilimketisha kitandani Kisha nilitumia kitambaa kumfuta chozi lakeย taratibu kama Daktari wa Macho.ย ย
โAsante..โ alisema. Nilimshika mikono yake huku uso wangu ukiwa naย Upole usio mithirika.ย ย
โMpenzi wanguโ hatimaye nilisema. Alinitazama zaidi, sikuona hataย chembe ya Uwongo machoni pake
โPole kwa kilichotokea, sijui ilianzaje lakiniโฆ.โย ย
โJacob, hauniamini?โย ย
โHapana Mpenzi sijasema sikuamini, lakini haikua njia nzuri kulumbanaย naye kiasi kile. Nafikiria ingekua busara zaidi ungenieleza bila kubishanaย nayeโ nilisema kwa sauti ya Upole, Mungu alinijaalia sauti nzuri na nzitoย iliyotoka kwa mpangilioย
โKilichomiuma, aliniita Masikini pia changudoa. Tokea umenijua umewahiย kuniona Mimi nikiwa changudoa Jacob? Hilo la Umasikini halina shidaย kwangu kwasababu pesa zinatafutwaโ nilishusha pumzi zangu Kishaย nilipepesa macho yangu huku feni ya juu ikiendelea kuzunguka naย kutupatia Upepoย
โWacha nikazungumze naye, nimkanye asirudie kukuita hivyo na kamaย atarudia basi tutaondoka hapaโย
โJacobโฆ.Haina haja, sitaki uende mbali Mpenzi wangu, kaa kando yanguโย alisema Zaylisa Kisha alijilaza mapajani mwangu, aliizuia rasmi nia yanguย ya kwenda kwa Clara. Nilitabasamu na kuanza kuchezea nywele zakeย
โItakuaje akitufukuza?โ aliniuliza Zaylisa.ย
โTutatafuta Sehemu ya kuishi Zaylisa.โย
โJacob, hauna kazi upo hapa tu unafikiria itakua rahisi?โย
โSasa nifanye nini au nikueleze nini Mpenzi, nimefukuzwa kazi kuleย Mgahawani. Nimewapoteza Mama na Mdogo wangu Melisa, ndani yaย kipindi kifupi Kila jambo limebadilika, nikuonapo nahisi tumaini kubwaย likichipua ndani yangu, sitaacha nitapambanaโย
โSiku Moja ntakuambia nini Cha Kufanya Jacob, ukifanya hicho utakua naย pesa nyingi na hakuna Mtu atakaye thubutu kucheza na Utu wakoโ alisemaย Zaylisa, aliniacha na mzigo mzito wa maswali yasiyo na Majibu, nilijiulizaย ataniambia nifanye nini ili nipate pesa nyingi kiasi hichoย
Niliendelea kumbembeleza taratibu huku tukiuruhusu ukimya utawale.ย Nywele za Zaylisa zilikua laini, zilinipa Raha kuzipapasaย
Mara mlango uligongwa, Zaylisa aliinuka Kisha alinitazama. Sote tulijiulizaย ni Nani aliyekua anaugonga mlango, Mimi nilinyanyuka na kuelekeaย Mlangoni, nilipofungua nilikutana na sura ya Msichana wa kazi, alianzaย kunitazama kwa jicho la Upole sana Kisha akaniambia
โDada anakuitaโ niligeuka kumwangalia Zaylisa, hakusema chochote ilaย alinitazama kwa jicho la kuniambia kua nitakacho kiamua kitakua sawaย kwake. Nilishusha pumzi kidogo halafu nikamjibuย
โSawa, nakujaโ sauti ya taratibu iliyojaa uzito ilinitoka. Yule Msichanaย aliondoka zake, nilifunga mlango. Nikamwangalia tena Zaylisa, nilishushaย pumzi Kisha nikafungua tena mlango nikatoka kwa ajili ya kwendaย kuonana na Clara.ย
Nini Kitaendelea? Usikose sehemu ya SABA
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย
Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Loveย



83 Comments
https://shorturl.fm/LlJaN
https://shorturl.fm/O0Tph
https://shorturl.fm/mMIxk
https://shorturl.fm/NBE87
https://shorturl.fm/uwcun
https://shorturl.fm/0XnvE
Nasoma huku moyo unawaka moto da๐๐
https://shorturl.fm/KpZUO
https://shorturl.fm/n6PFH
k0qf4s
https://shorturl.fm/0tzG1
https://shorturl.fm/lxeJZ
https://shorturl.fm/KCUeL
https://shorturl.fm/5NP7o
https://shorturl.fm/Ut6Ui
https://shorturl.fm/kPpRH
https://shorturl.fm/7To7J
https://shorturl.fm/IAgIi
https://shorturl.fm/fadIY
jbaejw
https://shorturl.fm/0933z
https://shorturl.fm/wHQUm
https://shorturl.fm/pgT16
https://shorturl.fm/eqVca
https://shorturl.fm/MVuqX
https://shorturl.fm/zZjFh
https://shorturl.fm/pex7J
https://shorturl.fm/YafKa
https://shorturl.fm/OkpPI
**mind vault**
mind vault is a premium cognitive support formula created for adults 45+. Itโs thoughtfully designed to help maintain clear thinking
Couldn’t have said it better myself.
https://shorturl.fm/QMmrK
https://shorturl.fm/n46ry
**prostadine**
prostadine is a next-generation prostate support formula designed to help maintain, restore, and enhance optimal male prostate performance.
https://shorturl.fm/kVWEF
**๏ปฟsugarmute**
sugarmute is a science-guided nutritional supplement created to help maintain balanced blood sugar while supporting steady energy and mental clarity.
**gl pro**
gl pro is a natural dietary supplement designed to promote balanced blood sugar levels and curb sugar cravings.
https://shorturl.fm/Vp06k
**๏ปฟzencortex**
zencortex contains only the natural ingredients that are effective in supporting incredible hearing naturally.
**mitolyn**
mitolyn a nature-inspired supplement crafted to elevate metabolic activity and support sustainable weight management.
**๏ปฟyusleep**
yusleep is a gentle, nano-enhanced nightly blend designed to help you drift off quickly, stay asleep longer, and wake feeling clear.
**๏ปฟprodentim**
prodentim an advanced probiotic formulation designed to support exceptional oral hygiene while fortifying teeth and gums.
**synaptigen**
synaptigen is a next-generation brain support supplement that blends natural nootropics, adaptogens
**๏ปฟvittaburn**
vittaburn is a liquid dietary supplement formulated to support healthy weight reduction by increasing metabolic rate, reducing hunger, and promoting fat loss.
**๏ปฟnitric boost**
nitric boost is a dietary formula crafted to enhance vitality and promote overall well-being.
https://shorturl.fm/aPBRF
**glucore**
glucore is a nutritional supplement that is given to patients daily to assist in maintaining healthy blood sugar and metabolic rates.
**wildgut**
wildgutis a precision-crafted nutritional blend designed to nurture your dogโs digestive tract.
**pineal xt**
pinealxt is a revolutionary supplement that promotes proper pineal gland function and energy levels to support healthy body function.
**๏ปฟenergeia**
energeia is the first and only recipe that targets the root cause of stubborn belly fat and Deadly visceral fat.
**boostaro**
boostaro is a specially crafted dietary supplement for men who want to elevate their overall health and vitality.
**๏ปฟprostabliss**
prostabliss is a carefully developed dietary formula aimed at nurturing prostate vitality and improving urinary comfort.
**potent stream**
potent stream is engineered to promote prostate well-being by counteracting the residue that can build up from hard-water minerals within the urinary tract.
**๏ปฟhepatoburn**
hepatoburn is a premium nutritional formula designed to enhance liver function, boost metabolism, and support natural fat breakdown.
**breathe**
breathe is a plant-powered tincture crafted to promote lung performance and enhance your breathing quality.
https://shorturl.fm/7Ymj2
**hepatoburn**
hepatoburn is a potent, plant-based formula created to promote optimal liver performance and naturally stimulate fat-burning mechanisms.
**cellufend**
cellufend is a natural supplement developed to support balanced blood sugar levels through a blend of botanical extracts and essential nutrients.
**๏ปฟprodentim**
prodentim is a forward-thinking oral wellness blend crafted to nurture and maintain a balanced mouth microbiome.
**neuro genica**
neuro genica is a dietary supplement formulated to support nerve health and ease discomfort associated with neuropathy.
**revitag**
revitag is a daily skin-support formula created to promote a healthy complexion and visibly diminish the appearance of skin tags.
**๏ปฟflowforce max**
flowforce max delivers a forward-thinking, plant-focused way to support prostate healthโwhile also helping maintain everyday energy, libido, and overall vitality.
**sleep lean**
sleeplean is a US-trusted, naturally focused nighttime support formula that helps your body burn fat while you rest.
**memorylift**
memorylift is an innovative dietary formula designed to naturally nurture brain wellness and sharpen cognitive performance.
https://shorturl.fm/APCYu
https://shorturl.fm/Uot3w
https://shorturl.fm/fZbfm
https://shorturl.fm/18HxB
https://shorturl.fm/JqXXc
https://shorturl.fm/4Sbw6
https://shorturl.fm/k4hSt
https://shorturl.fm/FyDLY
https://shorturl.fm/pGgco
https://shorturl.fm/DXsUb
https://t.me/Top_BestCasino/144
https://shorturl.fm/4wfcF
https://shorturl.fm/MrdpV
https://shorturl.fm/vin2c
https://shorturl.fm/NHpSN
https://shorturl.fm/ZNjOz
https://shorturl.fm/Vsm0M
https://shorturl.fm/kHltf
https://shorturl.fm/EEU0T