Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ligi Kuu ya Hispania Sevilla vs Leganes -> Under 1.5 mapumziko (U1.5 FH). Ubashiri huu una odds 1.25. Sababu. Historia inaonyesha human hawafungani mabao mengi. Kwa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 07 Hatimaye Mama yangu aliungana na Zena na Caren kwenye makazi ya milele. Kilichokua kimebakia kwangu kilikua fumbo kubwa, hakuna aliyejua…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 06 Nilikua nikihema, Wazazi wangu walikua wamesimama vile vile kama Watu wasiojitambua. Yule Bibi aliendelea kunisogelea huku mguu wake mmoja akiwa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 05 Taratibu nilitembea kuelekea mbele ya gari kumsikiliza yule Mwanaume, alikua mnene kiasi na pia alikua na ndevu nyingi mfupi wa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?” “Ndiyo!” “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…
Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…
Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…
Baaada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa sifuri katika uwanja wa New Amaan Zanzibar ni wazi kuwa kwa sasa ni moja kati ya mchezo unaosubiriwa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi, hofu ilikua imenitawala vya kutosha. “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…
Tunaanza simulizi yetu ya Nyumba Juu Ya KABURI kwa namna hii Ilikua ni ndoto ya Baba yangu, siku moja akistaafu angenunua nyumba nzuri ya kuishi, wazo…





