Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Huenda hii ndio vita yenye mvuto zaidi inayosubiriwa kati ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga ambao wote hadi…
Ilipoishia “Kazini siku hiyo nilishinda sina amani, sina raha, mwili ulikuwa kama umetoka kufanya kazi nzito ambayo sijawahi kuifanya kwa siku nyingi, wenyeji wa Pwani wanaita…
Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo…
Ilipoishia “Nje, nilikuta taa inawaka, ndani pia taa inawaka, lakini si sebuleni bali kwenye korido. Hii iliashiria kwamba, wale wapangaji wenzangu walisharudi kutoka kwenye biashara zao.…
Sehemu Ya Kwanza “KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si…
Aubin Kramo Kouamé(28) ni miongoni mwa majina ambayo Msimu huu wa mashindano unaomalizika mashabiki wa Simba na wadau wengi wa soka walitamani kumuona uwanjani, watu walitaka…
Bila shaka kila ukitazama mechi za Al Ahly kwenye warmup huwa unaona wachezaji wote wamevaa jezi namba 72. Unajua maana yake!? twende sawa. Februari Mosi, 2012…
Swali langu ni dogo sana kuhusu Azam FC kukosa ubingwa wa Ligi Kuu. Kama tunaitazama Azam FC haina mvuto kwa upande wa KIBIASHARA Sasa hua tunatumiaga…
Ilipoishia ” Robson alijawa na mshangao kumsikia Mama yake akisema kuwa anamjuwa aliyemuuwa Sylvia, alishusha munkari kisha akamuuliza Mama yake kwa utaratibu sana “Unamjuwa aliyempiga risasi…
Ilipoishia “Sylvia akanyanyuka taratibu na kuuelekea Mlangoni ili aangalie ni nani alikuwa akigonga, laiti kama angelijuwa asingeliinuka akaenda mlangoni, Baba yake Robson alitumia maelekezo ya Robson…