Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Kocha msaidizi wa Chelsea, Anthony Barry amechukua uamuzi wa kuungana na Thomas Tuchel katika klabu ya Bayern Munich. Tuchel kwa sasa ndiye kocha mpya wa Bayern…
Licha ya kuwa na kibarua kizito cha hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameanza kupiga hesabu za…
Manchester United wamemwambia Mason Greenwood kwamba hawezi kurejea mazoezini kabla ya msimu kuisha, kwa mujibu wa MailOnline. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hajaichezea Mashetani…
Kutokana na mtifuano ulivyo baina ya Kitayosce na Pamba katika vita ya kupanda ligi kuu, huenda mikoa ya timu hizo ikakata kiu ya kuziona tena Simba…
Safari ya kikosi cha Yanga ikielekea jijini Lubumbashi iliingia dosari baada ya kukwama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa takribani masaa 12. Yanga…
KWA SASA Yanga inahitaji pointi zote sita dhidi ya TP Mazembe katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na wachezaji wote wa kikosi…
Mnamo Januari, Paratici alipigwa marufuku ya miezi 30 ya kufanya shughuli ndani ya Shirikisho la Soka la Italia – sehemu ya uchunguzi wa madai ya ubadhirifu…
Katika Dirisha kubwa la usajili lililopita winga Jesus Moloko alikua na hatihati kutemwa kikosini lakini kiwango chake mahiri alichokionyesha baada ya hapo akafanikiwa kubadili mawazo ya…
FIFA imeiondoa Indonesia kama mwenyeji baada ya kisiwa cha Bali kukataa kuwa mwenyeji wa Israel kwa droo ya mashindano; mwenyeji mpya kutangazwa hivi karibuni. Indonesia imepokonywa…
Luton Town na Watford watarejea uwanjani Jumamosi (Aprili 1) watakapomenyana kwenye Kenilworth Road katika raundi ya 39 ya michuano ya EFL. Wenyeji wanaelekea wikendi wakitaka kuwapita…












