Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Barcelona Tayari Kusikiliza Ofa Zenye Kuanzia €70 Milioni kwa Mshambuliaji Mwenye Umri wa Miaka 26 Barcelona itaanza kuondoa wachezaji wengi sana katika dirisha hili la usajili…
Nyota wa Chelsea, N’Golo Kante, amekamilisha vipimo vya afya yake jijini London kabla ya kuhamia klabu ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia. Mail Sport iliripoti hapo awali…
Inter Miami inasemekana kuanza mazungumzo na mastaa watatu wa Barcelona baada ya kumsajili Messi Inter Miami wako katika hatua ya kufanikisha mafanikio makubwa zaidi katika historia…
Chelsea imeripotiwa kuwasiliana na Paris Saint-Germain kuhusu uhamisho wa kushangaza wa Neymar. Mchezaji huyu wa Brazil anaweza kuuzwa msimu huu wakati PSG inatafuta kuachana na mkakati…
Lionel Messi amethibitisha kuwa atahamia Inter Miami CF katika makubaliano ambayo yanaripotiwa kuwa na chaguo kwa Margentina huyo kuwa mmiliki sehemu ya klabu ya MLS. Kumekuwa…
Nahodha wa West Ham, Declan Rice, ameonyesha furaha yake kubwa baada ya kushinda taji la Europa Conference League… na kusisitiza kuwa yeye bado hajafanya uamuzi wa…
West Ham wameishinda Fiorentina 2-1 na kutwaa ubingwa wa Europa Conference League; Jarrod Bowen alifunga bao la ushindi katika dakika ya 90 ushindi huo unahakikisha taji…
Wakati Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2022/23 ikifikia mwisho Ijumaa ya Juni 9, 2023, Mdhamini Mkuu wa ligi hiyo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)…
Bodi ya Ligi Kuu imetengaza mechi zote za mwisho kumalizia msimu Juni 9 zitachezwa saa 9:30 alasiri badala ya saa 10:00 jioni. Katika taarifa waliyotoa, wamesema…
Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeanza mazungumzo na beki wa Simba, Joash Onyango kwa ajili ya msimu ujao. Beki huyo raia wa Kenya licha…