Browsing: Stori Mpya

Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Fabrizio Romano, Margentina Leandro Paredes, mmoja wa wachezaji ambao PSG walimtema, yuko katika hatua za mwisho za kujiunga na Roma…

Paris St-Germain wameafikiana na klabu ya Saudi Pro League, Al Hilal, kuhusu uhamisho wa mshambuliaji kutoka Brazil, Neymar, na makubaliano hayo yanahitaji mchezaji kukamilisha vipimo vyake…