Karibu sana kutazama kile ambacho wahariri wa magazeti ya michezo leo tarehe 29-11-2023 wamekiandika katika kurasa za magazeti ya hapa nyumbani Tanzania.
Kocha mkuu mpya wa klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ameelezea namna atakavyofanya kazi katika kikosi cha Simba ili kuhakikisha kuwa wekundu hao wa msimbazi wanapata mafanikio…