Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Hatua ya 32 bora kombe la FA inaendelea hii leo nchini Uingereza ambapo Crystal Palace anamkaribisha Everton katika mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Selhurst Park katika…
Wakiwa katika uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan klabu ya Sevilla hii leo wana kibarua kigumu cha kukutana na Athletic Bilbao katika mchezo wa ligi kuu ya…
Ligi kuu ya nchini Hispania inaendelea tena leo kwa Las Palmas akimkaribisha Barcelona katika mchezo unaotarajiwa kupigwa majira ya saa 5 za usiku kwa masaa ya…
Ni takribani wiki kadhaa zimebakia kabla michuano ya mataifa barani Afrika haijaanza kutimua vumbi nchini Ivory Coast na tayari baadhi ya nchi zimekwishataja vikosi vyake vitakavyowakilsha…
Katika jiji la Roma hii leo kwenye uwanja wa Olimpico klabu ya AS Roma inawakaribisha Cremonese katika michuano ya Copa Italia ambapo mshindi katika mchezo huo…
Baada ya kuuwasha vilivyo mwaka 2023 na kushikilia nafasi ya 2 mpaka hivi sasa katika msimamo wa La Liga klabu ya Girona wana kibarua cha kumkaribisha…
Baada ya kumaliza mwaka 2013 wakiwa kileleni kabisa mwa msimamo wa La Liga , Real Madrid wanarejea tena dimbani kuvaana na Mallorca mchezo utakaopigwa katika uwanja…
Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) itaanza Januari 13, nchini Ivory Coast na kumalizika Februari 11 jijini Abidjan. Timu kadhaa za Ligi…
Ujio wa mchezaji Augustine Okrah katika kikosi cha Yanga unaelezwa unahitimisha maisha ya beki wa kati kutoka Uganda, Gift Fred ambaye tangu asajiliwe hajapata nafasi ya…
Kama ulikua hujui basi nikutaarifu kuwa Getafe dhidi ya Rayo Vallecano ni mechi inayowahusisha watani wa jadi kutoka Kusini mwa jiji la Madrid na mechi hii…