Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ni tukio kubwa la kandanda barani Afrika ambalo huleta pamoja timu bora zilizofuzu kupigania taji hili kubwa zaidi…
Safari ya soka ya Afrika Kusini imejaa mafanikio makubwa na changamoto kubwa kwenye michuano ya soka barani Afrika. Kilele cha mafanikio yao kilifikia mwaka 1996 walipokuwa…
Michuano ya mataifa barani Afrika kwa mwaka 2023 inatarajiwa kuanza kufanyika kuanzia Januari 13 mwaka huu 2024 ni moja kati ya michuano ambayo inashirikisha timu nyingi…
Mara baada ya kuwa nchi ya kwanza ya kiarabu ikiliwakilisha bara la Afrika kutinga hatua ya nusu fainali kombe la dunia baada ya kuwa na mwendo…
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika 2023 (AFCON) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 13 nchini Ivory Coast huku mataifa 24 yamefuzu katika michuano hiyo ya 34…
Mashindano ya AFCON 2023 yataanza rasmi Januari 13 nchini Ivory Coast kwa mchezo wa ufunguzi utakaowakutanisha wenyeji Ivory Coast wakikutana na Guinea-Bissau. Leo hii tutazame wachezaji…
Kuelekea michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) itakayofanyika nchini Ivory Coast, yapo matukio kadhaa ambayo yalishika vichwa vya habari na kuwafanya watu wengi kutaka kuyafuatilia ili…
Msimu huu wa AFCON 2023 utakaofanyika nchini Ivory Coast shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF likiungana na kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA…
Tarehe 13/01/2024 bila shaka ni siku inayosubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa soka barani Afrika kwa lengo kubwa la kutazama timu zao za Taifa…
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya kuanza kwa michuano ya AFCON nchini Ivory Coast tayari vikosi vitakavyowakilisha nchi zilizofuzu vimekwishatangazwa na moja ya kikosi kilichotangazwa ni…