Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ni moja kati ya michuano ya ngazi ya juu kabisa katika bara la Afrika ikiyakutanisha mataifa mbalimbali makubwa…
Kuna wakati unaweza kujiuliza hivi mashabiki wanataka nini?Maana kila mmoja huwa na kauli zake endapo kutakua ni kipindi kuhusu jambo Fulani. Ukitazama kwasasa macho na masikio…
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na idadi kubwa ya wachezaji ambao wamekua wakijitokeza na kusema kuwa wana asili ya Tanzania na hivyo kuomba uraia ili…
Nitakuwa tofauti na wengi wanavyoweza kufikiri kwenye hili na hii ni kutokana na kila mtu anavyoweza kutazama haswa kuhusiana na safari ya Jean Baleke na klabu…
Hamu na shauku kubwa ambayo watanzania wengi walikua nayo katika michuano ya mataifa barani Afrika bila shaka ilikua kuitazama timu yao yaani Taifa Stars ambao walikua…
Edwin Balua amejiunga Simba kutoka Tanzania Prisons, huu ni usajili wa mchezaji wa kizawa ambaye anakuwa wa tatu baada ya Karabaka na Chasambu. Usajili huu unakuja…
Mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania umekua ni moja kati ya kitu ambacho kinawakutanisha watu wengi sana kwa wakati mmoja na kuweza kushuhudia mchezo wenyewe…
Katika ulimwengu wa michezo, kampuni za uzalishaji wa vifaa vya michezo zimekua na jukumu muhimu katika kukuza vipaji na kuimarisha tasnia ya michezo katika nchi mbalimbali.…
Tanzania (Taifa Stars) ni mojawapo ya nchi ambayo imebarikiwa kuwa na vipaji vingi sana vya soka ambavyo tumekua tukivishuhudia miaka na miaka kuanzia kizazi cha kina…
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ni mojawapo ya matukio makubwa ya soka barani Afrika. Timu kutoka kote barani hushiriki katika mashindano haya, na…









