Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Ukitazama timu nyingi katika michuano ya Mataifa barani Afrika mwaka huu inayofanyikia nchini Ivory Coast kuna vijana weni sana ambao wanawatumia katika baadhi ya mechi zao…
Baada ya Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF kumfungia kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche mechi 8 kwa…
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) imekuwa jukwaa la kuonesha vipaji vya wachezaji wa soka kutoka bara la Afrika. Katika toleo la hivi karibuni…
Klabu ya Simba ni mojawapo ya vilabu vikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mchakato wa kubadilisha muundo…
Mengi yamekua yakijadiliwa na kuzungumzwa katika vijiwe mbalimbali vya soka nchini Tanzania haswa baada ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuanza vibaya michuano hii…
Mawakala wa soka nchini Tanzania wana jukumu kubwa katika kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji, kusimamia mikataba, na kushiriki katika mchakato wa kuleta mafanikio katika soka…
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ni moja kati ya michuano ya ngazi ya juu kabisa katika bara la Afrika ikiyakutanisha mataifa mbalimbali makubwa…
Kuna wakati unaweza kujiuliza hivi mashabiki wanataka nini?Maana kila mmoja huwa na kauli zake endapo kutakua ni kipindi kuhusu jambo Fulani. Ukitazama kwasasa macho na masikio…
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na idadi kubwa ya wachezaji ambao wamekua wakijitokeza na kusema kuwa wana asili ya Tanzania na hivyo kuomba uraia ili…
Nitakuwa tofauti na wengi wanavyoweza kufikiri kwenye hili na hii ni kutokana na kila mtu anavyoweza kutazama haswa kuhusiana na safari ya Jean Baleke na klabu…