Ilipoishia sehemu ya tisa ya In the name of LOVE
โKumbe haikua inshu kubwa sana Mpenzi, Presha ilipanda kidogo. Ah!ย Mama yangu naye akalikuza sanaโ alisema huku naye akichukua kipandeย Cha tunda kwa kutumia mkono wake Kisha akaliweka Mdomoni.ย
โNa vipi kuhusu hiyo simu, una furaha sanaโย ย
โEeh! Mama alikua akinipa mrejesho kuhusu Hali Babaโ alisema Zaylisa.ย Niliguna tu Kisha niliendelea kula matunda.ย
Siku iliyofuata asubuhi mapema, Zaylisa aliniaga kua anaenda kumjuliaย Hali Baba yake, tukakumbushana kua ilikua ni siku ya Clara kurudi kutokaย Arusha. Endelea
SEHEMU YA KUMI
Zaylisa alipoondoka, niliitafuta tena lile Bahasha yenye jina langu,ย haikuwepo popote pale, niliitafuta sana lakini halikuwepo, jasho lilikuaย linanitoka. Nilipoona kua siwezi kuipata nilielekea bafuni kwa ajili yaย kuoga, nilipomaliza kuoga Maji ya baridi nilirudi chumbani na kuanzaย kujifuta Maji, mara nilisikia โalamโย ย
โMh! Itakua Clara huyoโ nilijisemea tu, nilimalizia kujifuta Maji. Kishaย nilitoka chumbani taratibu nikaelekea sebleni, nilimkuta Matildaย akiendelea na usafi, aliponiona alinisalimiaย
Baada ya salamu Niliketi kochini nikisubiria kuambiwa kua Clara alikuaย amerudi, kwakua tulikwaruzana alipoondoka sikutaka kuonesha Wazi kuaย nilikua najali kuhusu yeye maana niliamini hakupenda niendelee kuishiย kwake, nilijishughulisha na kuangalia Televisheni.ย
Matilda aliendelea na kazi zake bila kusema chochote kile, nilizuga kwaย muda kidogo. Nilipoona kua Matilda hawezi kusema chochoteย nilijikoholesha Kisha nikamuulizaย
โDada Yako hajarudi?โ niliuliza kwa sauti iliyoonesha kutojali. Matildaย alinitazama Kisha akanijibu kwa sauti ya utaratibuย
โNdiyoโ nilimtazamaย
โHajarudi? Wakati nimesikia Mtu akibisha hodi?โย ย
โWalikosea nyumba, ni mafundi wa Umemeโ alisema.
โAah! Unafikiri najali sana? Hapana wala sijaliโ nilisema ili kumwoneshaย Matilda kua nilikua sijali kuhusu Clara lakini ukweli ni kwamba licha yaย yote ila yeye alisaidia Maisha yangu.ย
โHaujali kuhusu nini?โ aliniuliza kwa sauti ya utaratibu iliyojaa heshima.ย
โAh! Nazungumza mwenyeweโ nilizuga Kisha niliondoka pale sebleniย nikarudi chumbani. Nilihisi kutamani sana kumwona Clara japo nilikua naย hasira naye, sikujua Hali ile ilitokana na Nini.ย ย
โKwanza sijali kuhusu wewe, urudi au usirudi wala hainihusu Mimiโย nilijisemea kwa sauti ya kunungโunika. Nilihisi Kuna Upendo Fulani ndaniย yangu juu ya Clara lakini sikujua ulikua Upendo wa aina gani.ย ย
Mara sauti ya Alam ya Getini ililia tena, Ilinishtua. Nikafungua mlangoย haraka ili nikaangalie ni Nani aliyekua getini, nilipofika sebleni nilimwonaย Matilda akielekea getini, nilizuga naelekea lilipo friji ili kupata Maji yaย kunywa ya Baridi. Sikutaka Matilda agundue kua nilikua na kiu ya kutakaย kumwona Clara.ย
Baada ya dakika mbili alirudi ndani, alinikuta nikiwa nimeketi kitini, mbeleย yangu kukiwa na meza ndogo niliyoweka glasi. Nilizisikia hatua zake lakiniย ghafla zilipotea, nilikua nimempa mgongo hivyo ilinibidi nigeuka niangalieย kama Kuna Ugeni wowote au yeye alipotelea wapiย
Nilipogeuka nilikutana naye macho kwa macho, ilikua kama nimemshtuaย hivi maana alikua amesimama akiniangalia. Alijishtukia Kisha alizuga kuaย alikua bize na Mambo yake, sikutaka kumuuliza chochote kile nilikaza suraย yangu. Nilielewa kua hapakua na ujio wa Mtu yeyote yule pale ndaniย
Sikuacha kujiuliza kua Clara atarudi saa ngapi, kingine nilijiuliza hisia ile yaย kutaka kumwona Clara ilitokana na Nini, masaa yalienda.ย
Hapakua na Clara wala hapakua na ujio wa yeyote yule, hata simu yaย Zaylisa ilikua haipatikani. Ilinifanya nijiulize maswali mengi ambayoย hayakua na Majibu. Nilikua Mtu wa kuingia na kutoka chumbani, maraย nikae sebleni, mara niende kukaa eneo la Bustani ilimradi tu nisikie getiย likigongwaย
Hadi Giza linaingia palikua kimya sana, Giza lilinikuta nikiwa nimeketiย kwenye Bembea ndani ya Bustani nzuri ya mauwa. Taratibu niliondokaย nikarudi ndani, nilimkuta Matilda akiwa ameshikilia kisikilizio Cha simu yaย Mezani, aliponiona wala hakushtukaย
Nilimwona ni Mtu mnyonge aliyejawa na huzuni, Ilinishtua kidogo.ย Nikataka kufahamu sababu ya mabadiliko yake, nilisogea taratibu Hadiย
alipokua amesimama, alikua akiniangalia Hadi namfikia, macho yakeย yalipoteza uchangamfu kabisaย
โWeweโ nilimwita, namna alivyokua akinitazama ni kama Mtu aliyezamaย sana mawazoni, jicho lake kwangu halikubanduka. Aliweka kisikilizioย Sehemu yake Kisha akanitazama kwa jicho lile lile la huzuniย
โSi naongea na wewe, mbona umekua mnyonge hivyo?โ nilimuuliza wakatiย huo tayari na Mimi nilikua nimeingiwa na wasiwasi japo kidogo.ย
โDada hapatikani kwenye simu yake, mara ya mwisho niliongea nayeย Mchana kua anaondoka na ndege ya Mchana kutoka Arusha, angefika hukuย mapema sanaโ alisema, kidogo nilisisimka. Nikameza funda zito la mateย huku nikitafakari, nikamuulizaย
โHakukwambia kua atapitia popote?โ nilimuuliza kwa sauti ya utaratibuย iliyojaa umakini sana huku macho yangu yakishindwa kuvumilia wasiwasiย nilionaoย
Matilda akanitazama kwa sura ile ile ya huzuni Kisha chozi kidogoย lilimtoka, halikua chozi la kawaida, lilikua chozi la Upendo na kujali.ย Akajifuta kwa kutumia mkono wake wa kulia Kisha nikaisikia sauti yake yaย kuvuta hewaย ย
โHapana, alisema anakuja Moja kwa moja lakini pia alisema akifikaย ataongea na wewe kuhusu jambo muhimuโ alisema Matilda, alizidiย kunifanya nisisimke kwa wasiwasiย ย
โMimi?โ nilihoji huku kidole kikiwa kinaonesha kifua changu, nilitakaย uhakika wa alichokisema Matilda.ย
โNdiyoโ alisema Matilda akiwa anamaliza kufuta chozi, alinitazama kwaย jicho lililojaa Siri fulani nisiyoifahamu. Nilimeza funda zito la mateย
โAlisema ni jambo gani Hilo?โ niliuliza huku nikisikia mapigo ya Moyoย Wangu yakienda mbio, nilipepesa macho yangu haraka haraka. Kichwaniย nilikua na jambo Moja ambalo niliamini lilikua muhimu nalo ni kufukuzwaย nyumbani kwa Clara kutokana na kilichotokea kati ya Zaylisa na Clara.ย
Nilikuna nywele zangu katika Hali ya kuchanganyikiwa huku nikisubiriaย jibu la Matildaย
โHakuniambia, lakiniโฆ..โ nilikua makini, Matilda alitaka kusema jamboย Fulani ambalo nilihisi lilikua likimfanya anitazame kwa jicho kavuย
Moyo Wangu ulikua ukijisemea na kuhimiza kua Matilda aseme haraka iliย nijuwe kama alitaka kunifukuza au laa. Alipoanza kunyanyua midomo yakeย
mara Mlango uligongwa, haukuwa mlango wa geti Bali ulikua ni mlango waย kuingilia sebleni, nilimtazama Matildaย
Hisia zangu ziliniambia alikua Clara au Zaylisa, nilitegemea ujio wao. Mtuย asiyeifahamu nyumba asingeliweza kuingia getini Kisha kuja kugongaย mlango wa kuingilia Sebleni.ย ย
Sote tulijawa na kiu ya kutaka kujua alikua ni Nani, mlango uliendeleaย kugongwa ndipo nilipoanza kuhisi pengine alikua Mtu mgeni,ย isingeliwezekana kwa Zaylisa au Clara kugonga mlango muda wote huoย maana ilikua inaelekea dakika Moja.ย
Matilda alielekea mlangoni huku nikimsindikiza kwa macho ya utayari waย kumwona mgongaji, pumzi zangu zilikua kama za kuhesabu huku nikiwekaย umakini zaidi mlangoni, sikuruhusu jicho langu hata Moja kufumbaย
Matilda alipotekenya kitasa niliyasikia mapigo ya Moyo Wanguย yakiongezeka, mara nilipatwa na Hali ya Ubaridi sana niliposikia sauti yaย Mwanaume akiuliza.ย
โHapa ni nyumbani kwa Clara?โ Matilda aligeuka kunitazama Mimi, Kilaย mmoja alikua na wasiwasi maana kutopatikana kwa Clara Kisha ujio waย Mwanaume tusiyemfahamu kulifanya wasiwasi uongezeke. Nilitembeaย taratibu Hadi mlangoni, nikamwona Mwanaume mmoja mwenye ndevuย nyingi nyeusi, mnene kidogo, mfupi kiasi na mwenye macho yaliyoingiaย ndani, alikua amevalia tisheti nyeusi na Suruali ya kaki.ย
Nilimtazama juu Hadi chini, alikua mgeni machoni pangu hata machoni paย Matilda maana hata sura ya Matilda ilionesha Wazi kua alikua akimwonaย kwa mara ya kwanza.ย
Alikua na sauti nzito ya Kiume.ย
โNdiyoโ niliitikia kwa sauti ya taratibu iliyojaa wasiwasi na kiu ya kutakaย kujua ni kwanini alikua akiulizia.ย
Alinitazama kwa sekunde kadhaa, ghafla tulisikia geti likifunguliwa ilibidiย sote tuangalie getini, aliingia Zaylisa akiwa anayumba kama Mtu aliyelewa,ย sote tulihamisha umakini kutoka kwa yule Mwanaume kuelekea kwaย Zaylisa.ย
Nilikua wa kwanza kumkimbilia na kumdaka asianguke, huku kichwaย changu kikizunguka maswali mengi sana yasiyo na Majibu. Niligeukaย kumtazama Matilda aliyekua tayari ameshafika tuliposimama, nayeย alinitazama kwa jicho lenye maswali mengi sana
Kisha sote kwa pamoja Mimi na Matilda tuligeuka kumtazama yuleย Mwanaume pale tulipomwacha, tulishangaa hakuwepo, Zaylisa alikuaย amezima mikononi mwangu.ย ย
Matilda akaangaza huku na kule Kisha akaniambiaย
โHayupoโย ย
Hatukujua alienda wapi, alipotea kama Mzimu? Yeye ni Nani na alikujaย kufanya nini pale, hatukua na Majibu ya maswali yetu. Zilikua dakikaย chache za kustaajabisha, dakika zilizozaa maswali zaidi ya majibu.ย
Tulisaidiana kumpeleka Zaylisa ndani, Matilda alibeba mkoba pamoja naย viatu vya Zaylisa. Tulimpeleka Hadi chumbani, alikua hajitambui kabisaย yaani alilewa kwa kiwango kisicho Cha Kawaida.ย ย
Matilda aliondoka pale chumbani, nilimfuata Kisha nilimsimamishaย kwenye korido, alisimama akiangalia mbele bila kugeuka. Taratibuย nilimfuata nikasimama nyuma yake, ukimya wenye maswali mengiย ulinizongaย
โAhsante Matildaโ nilisema, aliondoka zake bila kunijibu chochote kile.ย Nilihema kidogo, Kisha nilirudi chumbani, nilimpunguza nguo Zaylisaย Kisha nilimlaza vizuri, alikua hajitambui kabisaย
Kisha nilitembea taratibu na Kuketi kitini, nilimtazama tena Zaylisa Kishaย nilijiuliza ni kwanini amelewa, lini alianza kutumia kilevi? Maana katikaย mahusiano yetu sikupata kabisa kumwona akitumia pombeย ย
Nilipogeuza shingo yangu kuelekea Upande mwingine ilinijia ile taswira yaย yule Mtu nisiyemfahamu, yule Mwanaume aliyekuja muda mfupi kabla yaย Zaylisa kuingia. Nilijiuliza alihitaji kusema nini, kwanini aliuliza kama hapa ni nyumbani kwa Clara?ย
Kichwa changu kilikua kizito kikiwa na maswali mengi, yaliyotokea sikuย iliyopita yaliendelea kuniwinda huku nikiamini kua palikua na Maishaย yangu yaliyorukwa, sikua na kumbukumbu za Maisha Fulani. Nilijikuta tuย chozi likinitiririka bila kujizuia.ย
Sikuweza kupata hata lepe la Usingizi, nilielekea sebleni. Palikua kimyaย sana, nilielekea ilipo simu ya Mezani, nilinyanyua na kuipiga namba yaย Clara, Bado ilikua haipatikani. Nilizidi kuchoka sana, nikaketi kochiniย nikiendelea kufikiria. Nilijikuta nikipitiwa na Usingizi wa ajabu, Usingiziย ulionichukua bila magutu Hadi kulipo pambazuka
Niliposhtuka asubuhi, nilipiga mihayo ya Uchovu huku nikijinyooshaย kidogo. Akiili yangu ilivyotulia ilimkumbuka Zaylisa, haraka nilielekeaย Chumbani.ย
Zaylisa hakuwepo kitandani, moyo ulinidunda sana nikawa nimekodoaย macho kitandani nilipomwacha ule Usiku, nilijiuliza alikua ameenda wapi?ย Mara nilisikia Maji yakimwagika mafuni, nikashusha pumzi zangu baada yaย kugundua Zaylisa alikua bafuni.ย
Niliketi kitandani nikiwa nimejiinamia, nilihitaji zaidi kuongea na Zaylisaย ili aniambie kwanini alirudi akiwa amelewa.ย ย
Alipotoka bafuni alinikuta nikiwa nimekaa kitandani, alikua akijifuta Majiย mwilini mwake akiwa amevalia taulo tu. Alisogea Hadi karibu yanguย
โUmeamkaje my loveโ alinisalimia kwa sauti nzuri huku akitoa tabasamu.ย ย
โSalama japo sio salama sanaโ nilijibu kama Mtu aliyesusa, basi akaachaย kujifuta Maji akasogea karibu yangu zaidiย
โKuna nini?โ aliuliza akiwa ananitazama kwa umakini usoni kwangu.ย
โJana ulirudi ukiwa umelewa, sikuwahi kukuona ukiwa umelewa hata sikuย Moja tangu nimekufahamuโ nilisema, alipepesa macho yake kama aliingiwaย na mdudu Kisha alinionesha uso wake wa huzuni kidogo akasemaย
โJana nilipoenda kwa Baba, nilikutana na Mjomba wangu. Alinisemeaย maneno mabaya sana kua simjali Baba yanguโ alisema Kisha alikatishwa naย chozi, halafu akaendeleaย
โKiukweli niliumia sana. Sikuweza kuzuia hisia zangu niligombana naye,ย nilipotoka nilikua na hasira nikajikuta nikipata wazo la kunywaโ alisema,ย alikua akidondosha chozi lake. Baada ya Mama yangu na Melisa huyu ndiyeย Mwanamke ninaye mwamini sana, sikupata hata huo muda wa kuchujaย maneno yakeย
Nilimvuta na kumkumbatia huku nikikisikia kilio chake kwa karibu zaidi.ย Nililengwa na Mchozi lakini sikutaka utoke, niliuzuia huku nikimbembelezaย
โPole Mpenzi wangu, ukiwa katika Hali ya huzuni unanifanya naumia.โย Nilisema kwa sauti ya utaratibu iliyojaa mapenzi, Zaylisa akajitoa mwiliniย Kisha akafuta chozi lake kwa kutumia mikono yake, akanitazama usoniย akaniambiaย
โSamahani sana Jacobโย ย
โHata usijali Mpenzi, nimekuelewaโย
Nini Kitaendelea? Usikose sehemu ya KUMI NA MOJA
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย
Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Loveย



68 Comments
Usituche kila siku kurudia hadithi hiyohiyo kama bando ni bureee.
Unazingua hadithi kali ila unazingua unachelewa kuleta muendelezo kaka
Unachelewa sana mkuu adi tunaisahau
i5gjcx
5tqjkq
6fqcl0
bt5769
76p9s1
https://shorturl.fm/I3pnH
qjskwy
lyj97b
1wrae4
go2fqx
**๏ปฟmindvault**
mindvault is a premium cognitive support formula created for adults 45+. Itโs thoughtfully designed to help maintain clear thinking
thhgnm
xoptkb
https://shorturl.fm/M33LR
**prostadine**
prostadine is a next-generation prostate support formula designed to help maintain, restore, and enhance optimal male prostate performance.
xtpciz
https://shorturl.fm/5I3RU
**๏ปฟsugarmute**
sugarmute is a science-guided nutritional supplement created to help maintain balanced blood sugar while supporting steady energy and mental clarity.
**๏ปฟglpro**
glpro is a natural dietary supplement designed to promote balanced blood sugar levels and curb sugar cravings.
**๏ปฟzencortex**
zencortex contains only the natural ingredients that are effective in supporting incredible hearing naturally.
**mitolyn**
mitolyn a nature-inspired supplement crafted to elevate metabolic activity and support sustainable weight management.
**yu sleep**
yusleep is a gentle, nano-enhanced nightly blend designed to help you drift off quickly, stay asleep longer, and wake feeling clear.
**prodentim**
prodentim an advanced probiotic formulation designed to support exceptional oral hygiene while fortifying teeth and gums.
**๏ปฟsynaptigen**
synaptigen is a next-generation brain support supplement that blends natural nootropics, adaptogens
**๏ปฟvittaburn**
vittaburn is a liquid dietary supplement formulated to support healthy weight reduction by increasing metabolic rate, reducing hunger, and promoting fat loss.
**๏ปฟnitric boost**
nitric boost is a dietary formula crafted to enhance vitality and promote overall well-being.
**glucore**
glucore is a nutritional supplement that is given to patients daily to assist in maintaining healthy blood sugar and metabolic rates.
**๏ปฟwildgut**
wildgutis a precision-crafted nutritional blend designed to nurture your dogโs digestive tract.
**๏ปฟpinealxt**
pinealxt is a revolutionary supplement that promotes proper pineal gland function and energy levels to support healthy body function.
**energeia**
energeia is the first and only recipe that targets the root cause of stubborn belly fat and Deadly visceral fat.
**๏ปฟboostaro**
boostaro is a specially crafted dietary supplement for men who want to elevate their overall health and vitality.
**๏ปฟprostabliss**
prostabliss is a carefully developed dietary formula aimed at nurturing prostate vitality and improving urinary comfort.
**potent stream**
potent stream is engineered to promote prostate well-being by counteracting the residue that can build up from hard-water minerals within the urinary tract.
**hepato burn**
hepato burn is a premium nutritional formula designed to enhance liver function, boost metabolism, and support natural fat breakdown.
**breathe**
breathe is a plant-powered tincture crafted to promote lung performance and enhance your breathing quality.
**hepatoburn**
hepatoburn is a potent, plant-based formula created to promote optimal liver performance and naturally stimulate fat-burning mechanisms.
**๏ปฟcellufend**
cellufend is a natural supplement developed to support balanced blood sugar levels through a blend of botanical extracts and essential nutrients.
**๏ปฟprodentim**
prodentim is a forward-thinking oral wellness blend crafted to nurture and maintain a balanced mouth microbiome.
https://shorturl.fm/A2vdZ
**neuro genica**
neuro genica is a dietary supplement formulated to support nerve health and ease discomfort associated with neuropathy.
**revitag**
revitag is a daily skin-support formula created to promote a healthy complexion and visibly diminish the appearance of skin tags.
**flow force max**
flow force max delivers a forward-thinking, plant-focused way to support prostate healthโwhile also helping maintain everyday energy, libido, and overall vitality.
**sleep lean**
sleeplean is a US-trusted, naturally focused nighttime support formula that helps your body burn fat while you rest.
**๏ปฟmemory lift**
memory lift is an innovative dietary formula designed to naturally nurture brain wellness and sharpen cognitive performance.
https://shorturl.fm/GSLlA
https://shorturl.fm/DGJTn
https://shorturl.fm/2FEh2
https://shorturl.fm/Adp9C
https://t.me/s/Top_BestCasino/165
https://shorturl.fm/SjIzb
https://shorturl.fm/BRjxF
https://shorturl.fm/zlCIO
https://shorturl.fm/S1Nx6
https://shorturl.fm/nIAns
https://shorturl.fm/Phh7x
https://shorturl.fm/Xg1yp
https://shorturl.fm/u5euV
https://shorturl.fm/ki0DR
This design is spectacular! You most certainly know how to keep a reader entertained. Between your wit and your videos, I was almost moved to start my own blog (well, almost…HaHa!) Wonderful job. I really loved what you had to say, and more than that, how you presented it. Too cool!
https://shorturl.fm/uYMls
https://shorturl.fm/NhCMf
https://shorturl.fm/DiFCx
Real instructive and superb complex body part of subject material, now that’s user pleasant (:.
https://shorturl.fm/pM9dr
https://shorturl.fm/DPxE4